Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Nilimuelewa msimamo wake wa kutokubali uongozi huu, ila hii ya kushangilia 'kifo' cha kiongozi wa nchi kusema ukweli ameniacha na maswali mengi sana
Ngoma droo naye kachungulia kaburi, alitaka kumtanguliza lissu,

Kama ni muungwana amuombe lisu msamaha, amlipe gharama za matibabu na stahiki zake za ubunge, vinginevyo alistahili kilichotokea
 
Nakumbuka
Alli Bujiku Sakila. Mzee Sakila nakumbuka aliwahi kuwa Naibu waziri Elimu. Naona mwanae kateuliwa kuwa Balozi.
Nakumbuka yule mzee alikua mwalimu shule moja kule Singida baadae Rais Mkapa akampa shavu. Ila alipataga stroke
 
Na chuki nayo vivyo hivyo....
Unafiki ndio issue kubwa,kwa watu waliosherekea Magu asiwe hai,usishangae ukakuta ni watu hao hao watakao thibiti uhai wa Magu kama Raisi kwa sauti kubwa.
Mungu ndie anajua nani mkweli.
 
Kuna hawa watu, niliona post zako hadi nikashangaa kama kweli upinzani kuna watu wenye akili timamu
- Lema
- Heche
- Zitto
- Mashinji
- Lissu
Ila namuomba mh. Raisi awakanyage kwelikweli, safari hii asione huruma hata kidogo kwa hawa
Pimbi mkubwa.. tupe hizo post walizo post. Una roho mbaya kama ya meko
 
Ngoma droo naye kachungulia kaburi, alitaka kumtanguliza lissu,

Kama ni muungwana amuombe lisu msamaha, amlipe gharama za matibabu na stahiki zake za ubunge, vinginevyo alistahili kilichotokea
Mbw wewe?
 
Nyani ngabu haoni kundule... watu wameonesha mioyo yao sasa huwezi lazimisha wote tuwe na mioyo mimoja actually tuliambiwa ukiwa unalima nyoka akatokea kukusumbua unagonga kichwa unaendelea na kazi... labda nao walihisi the same!! Dunia niyetu sote walakini Paradise ni ya wachache!!! Hii inaitwa mpende akupendaye
 
Hongera mkuu.

Maana nikiona bandiko lako tu lazima niwe na dictionary pembeni. Leo umetiririka kiswahili maridhawa kabisa na nimenyaka neno MADHILA.

Kudos.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…