Lucas philipo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,040
- 2,689
Eti kuuuliwa na kufungiwa leseni jinga kabisaThe hate is real usifanye mzaha!! Ila kwa nyie msio na uwezo wa kuchanganua mambo hamuwezi kuiona.
Hebu mwambie aache uhuru wa vyombo vya habari waandike kama wakati wa Awamu ya 4 na aruhusu vyama vya upinzani vifanye kazi yake kadri ya katiba. Nakuhakikishia Magufuri hawezi kupata hata 10%.
Hiyo 10% Ni watu wa Mkoa wa Geita na sehemu kidogo ya lake zone na Watanzania wachache waliozoea kuchagua CCM.
Unajidanganya sana kwa kuwa watu wanaogopa kusema chuki zao wazi wazi kwa kuwa wamekuwa wanatekwa na kuuliwa. Na vyombo vya habari vinashtakiwa au kufungiwa leseni.
MAGUFURI HAKUBALIKI, believe me nguvu yake inategemea Police, TPDF na NEC
It isamkaWananchi wa migodini huko waliokuwa na akili miaka ya 1990 wanajua vile T.Lissu alivyopigania maslahi yao.
Achana na ndoto za mchanaThe hate is real usifanye mzaha!! Ila kwa nyie msio na uwezo wa kuchanganua mambo hamuwezi kuiona.
Hebu mwambie aache uhuru wa vyombo vya habari waandike kama wakati wa Awamu ya 4 na aruhusu vyama vya upinzani vifanye kazi yake kadri ya katiba. Nakuhakikishia Magufuri hawezi kupata hata 10%.
Hiyo 10% Ni watu wa Mkoa wa Geita na sehemu kidogo ya lake zone na Watanzania wachache waliozoea kuchagua CCM.
Unajidanganya sana kwa kuwa watu wanaogopa kusema chuki zao wazi wazi kwa kuwa wamekuwa wanatekwa na kuuliwa. Na vyombo vya habari vinashtakiwa au kufungiwa leseni.
MAGUFURI HAKUBALIKI, believe me nguvu yake inategemea Police, TPDF na NEC
Ukiona mtu anakuja kwa matusi badala ya takwimu usimjibu kadri ya upumbavu wake usije kuwa sawa na yeye... Mithali 26:4Umeharibu kuingiza mambo ya ukanda na ukabila ,,kwa maana hiyo wewe ni mpumbavu ! Na kweli wewe ni mpambavu sana ! Kuminya vyombo vya habari na kupata kura 10 asilimia inahusiana vipi ? Halafu ma wewe unajiita mchambuzi what an embicile , kwani ahadi ilikuwa ni huo ujinga wako unaotaka kutuaminisha?
Yeye hakuahidi mambo ya hovyo hivyo na kwa maana hiyo atawakomesha hadi muote vipara na upumbavu wenu wa kutofikiri vzr,,,, mnajifanya hamuoni kazi inayofanyika mnabaki kulalamika kwa kutafuta huruma!
Hamna hata means ya kuondoa hizo challenge mnalia tu
Hujui nani alimuua BenSanane, Azory Gwanda na hujui nani alimtuma Bashite kumshambulia Lissu?Eti kuuuliwa na kufungiwa leseni jinga kabisa
Kwa Mahakama ipi? Wakati yeye mwenyewe kaziweka Mamlaka mfukoniMfungulie kesi kama una uhakika
Labda Mitaa ya Nansio huko mnakogawana vyeo raslimali za taifaHakubaliki kwa wachache wa jamii forum, mtaani anakubalika sanaaa
Baba wa umoja wa taifa hili tunaambiwa ni Nyerere, unafahamu kuna watu walipanga mara kadhaa auawe?!Mkuu kwetu haya ni mageni kidogo. Sijawahi kuona kitu kama hii aisee. Marais wote waliopita haikuwa kiasi hiki.
Hahaha nilijaribu nikapitiliza beyond PCB, nimefurahi kusikia hayo mavitu tuliyaimba sana.Huko huko. Mzee ulikuwa na usongo na PCB inaonekana.
giza hutumika kuonyesha mwisho wa Nuru
Acha kujifariji!!
Endele kufunika kichwa kwenye mchanga huku makalio yako wazi kama mbuni.
Hilo halina uhusiano na hoja yangu hata kidogo.
Kweli kabisa mkuuMungu wetu amesikia maombi yetu kwa mpendwa wetu.
Kwa aina hii ya watu waliokuwa wanazusha, nasimama na rais wetu!
Ninyamaze !! Kwani unanilipia bundle? Ondoa Ukerewe wako hapa, kama umeondoa ubongo wako kwenye mambo ya wazi kama haya wewe ni tabular rasa. Uko sawa na zamani wa kisiwa cha Nansio.Then nyamaza maana unajichosha kwa kulalamika
Rais John Magufuli muda mfupi ujao anatarajia kuwaapisha viongozi aliowateua jana Oktoba 19
View attachment 1239213
Mimi sina shida na Maghufuli kasoro ni issue za Lissu na Ben Saanane. Kama hujui misimamo ya watu humu tuliza mshono.hoja zimekuishia umerudi kwenye mipasho hahahaa, mmeumbuka vibaya mno
kafatilie na hiyo halafu useme hapendwi, labda hapendwi na familia yako tu
Kipindi kile mambo ya kupinduana yalikuwa yametapakaa kwenye nchi nyingi tu za Africa mara baada ya kupata uhuru.Baba wa umoja wa taifa hili tunaambiwa ni Nyerere, unafahamu kuna watu walipanga mara kadhaa auawe?!
Kweli kwenye hip hop sikuelewi. Ila nakuelewa kwenye hip pop, "Ujanja mwingi mbele giza!Hata kwenye hip hop hunielewi.
Unafikiri tu unanielewa.
Hapo mwisho umeandika uafrika wako wa kiwango cha juu kabisa.Ndio hivyo, kaeni mkijidanganya kwamba kuna siku mtaingia ikulu
Mtabaki kuiona kwenye YouTubers tu huku mkijifariji mmeibiwa kura wakati watanzania hawawatambui
2020 mkiingiza mbunge hata mmoja bungeni natembea uchi