Iltokea siku moja msanii wa nyimbo za Asili akazuia mvua isinyeshe sehemu walipo washabiki tu!

Malehemu Mjomba wangu(mwana lukundekeja au wamiligo), alikua mcheza ngoma. Mkazi wa maeneo hayo wilaya nyang"whale.

Alikua na maajabu pia. Moja nililoshuhudia.. Alipita jamaa anaendesha baiskel bila kusalim, alichofanya mjomba alimnyoshea mkono tu, jamaa alidondoka kule mbele.
Nilshangaa sana
 
Nipo nae mwaka wa 9 huu mkuu kawa kama mtoto wetu...
Kuna siku waligombana na jirani kwny biashara zetu ni mtu mzima kidogo huyo jirani sema ni mkorofi madharau na kujifanya yeye ndo yeye...so msichana wangu akamwambia cheza na mimi nikugeuze mamba...😁😆😆😁nikaogopa nikamuuliza how? Mbona maneno ya kutisha haya akasema hamna mimi siwezi ila nikitaka kumfanya lolote naweza kumwambia tuu mjomba akamaliza...nikasema Nahene lolo...😅😅
 
Hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…