Naona mumewe hajui nafasi yake , mke anaweza kukopa kwa kununua nguo zake ila sio kwa majukumu ya nyumbani ...Kuna wakati anajua mumewe hana hela...na ni dharura ya uhitaji wa tiba kwa mtoto, kukopa kwa fellow staff sio issue. Mi naona tatizo lipo kwako unawaza kuhusu mke wa mtu kukukopa!
Hiyo ndo nadharia...lakini kwenye maisha halisi kuna mke ana kipato, pengine kuliko hata mume, na anasaidia baadhi ya majukumu ya familia...Naona mumewe hajui nafasi yake , mke anaweza kukopa kwa kununua nguo zake ila sio kwa majukumu ya nyumbani ...
You would think so but this bloody kenges dont think like that...infwact they are thinking and wishing we die first....so wee ilikuwa safe side mzeya kataa ndoaSema kukopa bila ya mume kujua ni tatizo ,niliona stori mke kasababisha nyuma yao kutaka kuuzwa...Mkishakuwa wanandoa basi mambo muhimu muwe kitu kimoja.
😄😄Kwani lazima uwaite KENGE mkuu?Sio kwamba wanapenda wake zao wapate tabu, hizi kenge zinakopaga zenyewe kwa siri bila kumtaarifu mume ila yakishabuma ndio wanakuja kujiliza kwa mume
Wao wanatuta mbwa mie niwaita kenge😄😄Kwani lazima uwaite KENGE mkuu?
MImi peke yangu inanitosha.Kungwi Demi je buku kumi inakutosha kwa siku?
Upo sahihiNinavyojua mimi na uzoefu wangu si rahisi mwanamke anayefanya kazi kukopa hovyo hata kama analipwa 200k ; anakuwa na support kubwa kutoka kwa mume , pesa ndogo ndogo si rahisi kumpiga chenga.
Ananikopa Sana Mzee,au nimwage mboga hapaMie mke wangu hajawahi kukopa
We wasema......Kama hampi ,nafasi ya mume iko wapi hapo..Mke kuishi na mume asiyekuwa na msaada kwake ni kupoteza muda .
Sheria ya Tz inatambua mke anaweza kukopa kwa niaba ya mume , ina maana hata akikopa mume atahusika kulipa deni.
Ooh una wake wangapi? Hauhitaji kuongeza mke?Hizi si tamaduni zetu sisi watu wa Tanga ,mume atahusika kwa kila kitu hata awe na mshahara mdogo ...Hauwezi kuwa na akili timamu ukamuacha mkeo akakope ,anaweza kuwa na shida binafsi ila mume unatakiwa kukopa kwa ajili.
Huku kwetu ,mke akiwa anaweza kuchukua vitu dukani ila analipa mume so nimeshangaa sana.
Wanawake wamekua na shida nyingi kuliko hata sisi wanaume. Harakati za 50/50 na ufeminia zimewapandisha mzuka sasa wakizi-apply kwenye maisha halisi kuna sehemu wanakwama, kwaiyo ku-maintain ile status quo ya kuonekana mwanamke wa shoga ndio wanaishia kwenye madeni ya kausha damu na michezo yao ya elfu 3 kila siku ambayo mumewe anakua hajui loloteHabari wakuu ,
Kama kichwa cha mada hapo juu: wanaume wenzangu ambao mmeoa inakuwaje mkeo anakopa japo anafanya kazi ? Kwa nn usikompee wewe?
Mwanamke ana kazi ila anakopa pesa ndogo ndogo kama 20k ,30k,50k...Ukiangalia ana mume wa ndoa tena ana kazi ...Hivi kweli kwa nn watu wanapenda wake zao wapate tabu?
Umeolewa?Ndoa zinasiri nying kunawanaume hawahudumii wakezao Zaid ya chakula
Kuhusu mavazi,wazazi wa mke hata wakiumwa hamna kitu anafanya
Mzazi wako akiumwa na ikakosekana hela ya kumtibu maana yake wewe masikini, kaka zako, dada zako, wajomba, mashangazi n.k wote masikini. Iweje lawama zibebwe na mume wakati ndugu wa karibu wote masikiniNdoa zinasiri nying kunawanaume hawahudumii wakezao Zaid ya chakula
Kuhusu mavazi,wazazi wa mke hata wakiumwa hamna kitu anafanya
Kumbe basi sawa nikajua ni baba wa familia, basi ukioa mke wa kwanza na wa pili.....unicheki niwe wa tatu nimependa utaratibu wa huko TangaSina mke wala mtoto ...Nipo nipo tu nakabiliana na matatizo ya dunia .
Naomba buku 5 mamaIla tuseme ukweli Kuna waume wengine Ata kuhudumia atak lkn anataka akirudi akute chakula kizuri asipo pewa unyumba analia ila ndoa 💔
Mambo ya kuolewa na vichaaKuna mwingine aliua mke , hajaacha kitu lakini kakuta nyama ya mbuzi imepikwa ugomvi ukaanza umetoa wapi! Mboga ikamwagwa akatoa mia 2 zinunuliwe dagaa mke kanunua kapika kama zilivyo ugomvi ukaanza tena hizi mboga sili kataka kumpigia mke akakimbia anarudi baadaye ulikuwa wapi kachukua panga basi