Inakuwaje mwanamke aliyeolewa anakopa pesa kwa mtu baki?

we umeoa kwanza?
 
Umeongea nn sasa.... Yaani kuna million 1 katika familia imetumika laki 5 mwanaume,uNataka laki 5 nyingine ya mwanamke isitumike ikae tu
 
Mzazi wako akiumwa na ikakosekana hela ya kumtibu maana yake wewe masikini, kaka zako, dada zako, wajomba, mashangazi n.k wote masikini. Iweje lawama zibebwe na mume wakati ndugu wa karibu wote masikini
Hakuna aliyeomba kuzaliwa kwenye familia maskini ndio bahat Ilikuwa kuzaliwa hapo kusaidia mtu sio tu kumpa mtu fedha ni kuwa na moyo safi na upendo.

kunawatoto kwenye familia ni nguzo kuwa na dada na kaka na hata kuwa na fedha sio ndio kuwa na upendo
 
Yaani unamkaza mtu kisa 15k ?
Hata mimi nimejiuliza hivo..!
Watu hawajithamini/hawajielewi!!
Kalipa 15,000 kapewa ****!"

Kwa mtu anaejielewa, 15,000 haiwezi sababisha umtommbe mke wa mtu!

Malaya wa kiume anamsema malaya mwenzie wq kike!"
 
Mtego huo anakutaka ila ndio vile hajaweza kukuweka kwenye mfumo wa kumfuata fuata. Sasa kwa huo mkopo utaanza mfuata fuata ndio atajileta vyedi.
 
Alikuwa anataka muhogo wa jang'ombe
 
Hata mimi nimejiuliza hivo..!
Watu hawajithamini/hawajielewi!!
Kalipa 15,000 kapewa ****!"

Kwa mtu anaejielewa, 15,000 haiwezi sababisha umtommbe mke wa mtu!

Malaya wa kiume anamsema malaya mwenzie wq kike!"
Noma, vitu vingine unapotezea! Mwanamke ukimpa 15 K unavunga tu,
 
kuna watu na viatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…