Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki?

Ni vile tu naogopa kuonekana akili za kitoto kwa kuzingatia angalizo lako. Lakini kimsingi sijaelewa leo umeandika nini... Umejaribu kutumia lugha fikirishi lakini ndio umepotea kabisa bro... Sijajua ni nidhamu ya uoga?? Au umo miongoni mwao lakini hupendi uonevu?? Unaogopa kukosa nafasi kesho?? Au shida nini bro...??? Trust me hata wachangiaji hutawapata wa kiasi kile kutokana na kuweka mada 'fungwa'... Open it up, toa wigo mpana wa michango...

Subject to correction...
 
Unawalisha maneno wananchi.Ccm ndio hamtaki katiba mpya.

Wananchi haohao wa Tanzania ndio waliotoa maoni yao kuhusu namna tume huru ya uchaguzi inavyotakiwa kuwa wakati wa mchakato wa katiba mpya ile ya Warioba.
 
Hakuna mabadiliko hakuna uchafuzi,nyie kaeni tu madarakani msituharibie kodi zetu bure.
 
...
 
Hakuna mabadiliko hakuna uchafuzi,nyie kaeni tu madarakani msituharibie kodi zetu bure.
ni kujidanganya tu kwamba eti kubadili sheria za uchaguzi na katiba ya nchi ndiyo haki,

na kupuuzia nahitaji msingi ya kilasiku ya mwananchi mathalani maji, elimu, afya, kilimo n.k

wananchi wa Tanzania wataendelea kuwaamini na kuwapa dhamana za kuongoza taifa, wale ambao wanajali mahitaji yao ya msingi ya kila siku, na sio matapeli wa kupambania vyeo na madaraka kwa maslahi yao binafsi na familia zao 🐒
 
Akili za kina wasira hizi. Unaandika ujinga ujinga kwa kuwa umepata cheo cha uchawa mpuuzi mmoja wewe!
 
Unawalisha maneno wananchi.Ccm ndio hamtaki katiba mpya.

Wananchi haohao wa Tanzania ndio waliotoa maoni yao kuhusu namna tume huru ya uchaguzi inavyotakiwa kuwa wakati wa mchakato wa katiba mpya ile ya Warioba.
huo mchakato walioupinga na kuukwamisha si ndio hawa hawa wanafiki wanaoudai tena au?

ilionyesha wazi ni utapeli kama ambavyo wananchi wanavyowaona watu wanaopiga makelele na mdomo kuhusu katiba mpya hivi sasa.

For sure ni wakupuuzwa tu, katiba sio hitaji wala kipaumbele cha waTanzania 🐒
 
Akili za kina wasira hizi. Unaandika ujinga ujinga kwa kuwa umepata cheo cha uchawa mpuuzi mmoja wewe!
Relax,
na sasa wewe si uandike ujanja mbadala wa ujinga gentleman? Mbona weo sasa?

na si umekatazwa kutaja majina ya watu ingawa hata hoja huna, dah ajabu sana hii 🤣
 
Wewe hakika unazidi kuudhihirisha upumbavu wako na njaa uliyonayo. Hopeless kabisa.
 
Sawa, hakuna kutaja majina, lakini viwakilishi nadhani vinaruhusiwa!

Kama inasemwa katiba ni batili, unazungumziaje Tena habari za Sheria mpya ya Uchaguzi ambayo imetungwa kwa mujibu wa katiba hiyo hiyo isemwayo ni batili? Kwa nini isifunguliwe kesi kwenye Mahakama ya kikatiba kupinga ubatili wa Katiba inayosemwa?

Ni kumuonea juu ya hili; kwa sababu, Yeye hajaona ubatili kwenye katiba ndiyo maana aliridhia itumike ili kukidhi takwa la utaratibu wakati wa mabadiliko.

Kwa hiyo, aonaye ubatili wa Katiba afungue kesi ya kikatiba kwenye Mahakama ya Kikatiba kwa ajili ya kupinga ubatili wa Katiba.
 
Japo kwa angalizo kwamba asitajwe jina(?), lakini kwa mistari miwili mitatu ya kwanza ameshajulikana na jina umeshamtaja(100%), nafikiri muda mwingine ni vizuri kuweka mambo wazi tu haina haja ya kumficha mtu wakati anajulikana. Ni vizuri kuheshimu hisia zetu kuliko hisia za mtu mwingine maana "Hisia zetu ni za kipekee, lakini zote zinahitaji usikivu." na lazima uelewe kwamba "Siku zote kuna mwanga baada ya giza'' yangu ni hayo tu, mengine na kuacha wewe na clock100 huku mkisaidiwa na watu wa JMT. Ahsante.​
 
"Eti wabongo wanataka maji sio katiba,haya hayo maji yako wapi akati wakazi wa ubungo na kwingineko huwa wanalalamika humu jamiiforums kuna shida ya maji!!! Mmebugia kiazi cha moto mdomo unacheza sebene"- Roma Mkatoliki.

Tlaatlaa umebugia kiazi cha moto mdomo unacheza sebene. Ma-ccm huwa hata hamuelewi maana ya hili fumbo "Mmebugia kiazi cha moto mdomo unacheza sebene."
 
Pasco, namba 3 ndiyo muarobaini wa ubabaishaji hapa Tanzania. Mgombea Binafsi!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…