Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine


Hao wenye vituo vya matangazo watakula wapi? Huu ushauri wape pia simba na yanga wawe na viwanja vyao.
 
Lissu bhana sasa hao ni viongozi wa wasafi au ni wafanyakazi tuu hao na watapewa barua ya onyo kuandaa kipindi bila kuwajuza wenye tv….
Sio juu ya Lisu kuwajua viongozi wa wasafi, yeye kaalikwa na alikuwa tayari. Kwahiyo Kila anayeenda kwenye kipindi hapo wasafi TV ni lazima wenye TV wajulishwe? Hao waendesha kipindi mkiwaandikia barua mnawaonea, na mkiwaacha mmewaogopa.
 

Ila ingekuwa ni wa kumsifia Rais hilo sio tatizo bila kujali atasema Nini! Huu ujinga wa kupenda kutukuzwa, ndio umewalemaza Hadi ikifikia mahali hamsifiwi mnaona kama ni kukosewa nidhamu. Cha ajabu mnaotaka kusifiwa na kusujudiwa mnaingia madarakani kwa chaguzi za kishenzi kupita maelezo.
 
Sio juu ya Lisu kuwajua viongozi wa wasafi, yeye kaalikwa na alikuwa tayari. Kwahiyo Kila anayeenda kwenye kipindi hapo wasafi TV ni lazima wenye TV wajulishwe? Hao waendesha kipindi mkiwaandikia barua mnawaonea, na mkiwaacha mmewaogopa.
Basi Lissu awachukulie hatu ili siku nyingine wasimpotezee muda kama hawakujipanga….. au asitoke hapo mpaka ahojiwe …
 
Ubaya wa Tundu ni jina lake, ni mtundu kweli kweli. Anakupa elimu huku anakusimanga, yaani unajifunza huku unaumia
 
wamejifunza kwaTaifa STarz kule Abidjan πŸ’
Taifa stars iliyohalibiwa na wapumbavu WA ccm kwa kufanya maigizo kwenye mpira eti milion mia mara milion miambili mama ametoa.
Huyu mtu anasemaga uongo na kueneza falsafa isiyofaa ya uliberali tanzania. Eti kila kitu ruksa na kushindana. Wanaruhusu ushoga umalaya eti ni uhuru wa mtu. Asante wasafi kufuta mahojiano na hii kibaraka wa sera za sisi kunyonywa na wageni.
Ushoga anaeneza mamako na mamayenu huko ccm.
 
Taifa stars iliyohalibiwa na wapumbavu WA ccm kwa kufanya maigizo kwenye mpira eti milion mia mara milion miambili mama ametoa.

Ushoga anaeneza mamako na mamayenu huko ccm.
shida ilikua ni uwepo wa puppet tu pale iwanjani, laiti asingekuepo tulikua tunapiga mtu vizuri sana na kusonga mbele..

uwepo wake ulikua na nuksi...
 
Wanaokula ruzuku na misaada anayozurura mamayenu kwa mashoga kuomba.

Nuksi yanayo hayo mashoga ya wasafi yanayoogopa hadi interview Za mwanaume.
kukataliwa hadharani ni nuksi inayouma sana πŸ˜€
 
Lissu akiongelea hili nimecheka sana, ati kipindi kuchomolewa... ndio yaleyale. Lols

Nahisi walitangaza kuwepo na kipindi hicho kwa muda mfupi, hivyo wenye nchi yao hawakuwa 'wamewaandaa' watangazaji jinsi ya kuendesha hayo mahojiano.
Kwamba aulizwe maswali gani na ambayo asipewe nafasi ya kuyaongelea.
 
Unaelewa kuwa kile tayari ni chombo cha habari chenye maslahi ya umma? Lissu hakuomba mahojiano hayo bali amealikwa na wao wakatangaza kuwa kuta kuwa na mahojiano hayo na muda wake kwa umma.
Hapo tena sio suala la kuweka hiari ya nataka sitaki maana maelfu ya watanzania (nikiwepo mimi) tayari tulisha switch Wasafi hata kama huwa hatuisikilizi tayari kulisikia gwiji la siasa za Tanzania.
Tundu angekuwa mpuuzi kama asingeenda kupata ufafanuzi kwa nini ufute mahojiano yake (ambayo kwa vile ni mtu makini sio kama Bashite) alishafanya home work yake ya nini atakisema kwa watanzania na huku watu wakiacha baadhi ya kazi zao ili wasikie.
Pia alisisitiza kutaka kujua ni nani huyo "toka juu" aliyetoa amri hiyo ale naye sahani moja bila kujali nafasi aliyo nayo.
Ndani ya Serikali ya CCM kuna uduanzi kupindukia.
Bangladeshi!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…