Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
huku Dr.slaa akirejea chadema kimtindo na nyalandu akirejea CCM kiaina 🐒Baadae tena magufuli akaja kumpokea kwa sherehe kubwa aliporudi ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huku Dr.slaa akirejea chadema kimtindo na nyalandu akirejea CCM kiaina 🐒Baadae tena magufuli akaja kumpokea kwa sherehe kubwa aliporudi ccm
Dunia inakwenda kasi sanaa.
Yaani Lissu anawabembeleza waajiriwa wa Diamond wamhoji!
Kwa nini Chadema wasiwe na TV yao kama ilivyo kwa CCM na channel 10 yao?
Wanajua kupiga tu ruzuku lakini maendeleo ya chama ni bure kabisaa. Ovyo sana hawa manyumbu.
Hayo mabilioni wanashindwa kwa na TV kweli? Kweli?
Nimechukia sanaaa
Mahakama zipo. Kutokuwa na self control si kosa kisheria.Tatizo ni kinachotoka mtu akishakosa self control kinachokuwa generated mdomoni ndio kinazalisha tatizo kisheria
Sio juu ya Lisu kuwajua viongozi wa wasafi, yeye kaalikwa na alikuwa tayari. Kwahiyo Kila anayeenda kwenye kipindi hapo wasafi TV ni lazima wenye TV wajulishwe? Hao waendesha kipindi mkiwaandikia barua mnawaonea, na mkiwaacha mmewaogopa.Lissu bhana sasa hao ni viongozi wa wasafi au ni wafanyakazi tuu hao na watapewa barua ya onyo kuandaa kipindi bila kuwajuza wenye tv….
Tatizo Lisu Hana self control hazingatii kanuni za TCRA akiongea vyombo vya habari
Ni mtu risk Kwa vyombo vya habari vyaweza fungiwa na TCRA labda mahojiano yafanyike Private wahariri ndio warushe Lakini akiongea Live Kuna uwezekano mkubwa chombo Cha habari kufungiwa na TCRA Kwa kukiuka maadili
Basi Lissu awachukulie hatu ili siku nyingine wasimpotezee muda kama hawakujipanga….. au asitoke hapo mpaka ahojiwe …Sio juu ya Lisu kuwajua viongozi wa wasafi, yeye kaalikwa na alikuwa tayari. Kwahiyo Kila anayeenda kwenye kipindi hapo wasafi TV ni lazima wenye TV wajulishwe? Hao waendesha kipindi mkiwaandikia barua mnawaonea, na mkiwaacha mmewaogopa.
Ubaya wa Tundu ni jina lake, ni mtundu kweli kweli. Anakupa elimu huku anakusimanga, yaani unajifunza huku unaumiaKwani wasafi ni ya CCM? Halafu kwanini Tundu wanamwogopaga sana? Watakubali mahojiano na watu wote lakini sio Tundu, why? Si wanasema demokrasia na utawala bora ikiwa pamoja na ukweli na uwazi vimetamalaki mbona wanaogopa watu kuexpresi feelings zao, si for the people by the people? Au nasema uwongo ndugu zangu?
Ndiyo uwezo wako wa majadiliano ulipoishiaFungueni tv yenu kazi kula ruzuku na misaada ya mashoga tu.
Wanaokula ruzuku na misaada anayozurura mamayenu kwa mashoga kuomba.Fungueni tv yenu kazi kula ruzuku na misaada ya mashoga tu.
Nuksi yanayo hayo mashoga ya wasafi yanayoogopa hadi interview Za mwanaume.Wasafi wameepuka Nuksi 🐒
Mashoga lazima yaogope wanaume yakiwemo hayo mnayoyaita wasafi uchwara.Kabisaa ,walikuwa waingize kirusi kwenye mfumo wao
Ccm nani amewahi kugombea kama mwenyekiti wake anarithishwa bila kugombea na wengine.Katiba mpaya wakati katiba ya cdm ina mwenyekiti wa Milele
Upumbavu Nayo Ni ElimuFungueni tv yenu kazi kula ruzuku na misaada ya mashoga tu.
Hilo swali la kipuuzi kamuulize mamako hukoblumumba atakujibu maana akili zenu zinafanana.Kwani anashare pale wasafi hadi aelezwe sababu?
Taifa stars iliyohalibiwa na wapumbavu WA ccm kwa kufanya maigizo kwenye mpira eti milion mia mara milion miambili mama ametoa.wamejifunza kwaTaifa STarz kule Abidjan 🐒
Ushoga anaeneza mamako na mamayenu huko ccm.Huyu mtu anasemaga uongo na kueneza falsafa isiyofaa ya uliberali tanzania. Eti kila kitu ruksa na kushindana. Wanaruhusu ushoga umalaya eti ni uhuru wa mtu. Asante wasafi kufuta mahojiano na hii kibaraka wa sera za sisi kunyonywa na wageni.
shida ilikua ni uwepo wa puppet tu pale iwanjani, laiti asingekuepo tulikua tunapiga mtu vizuri sana na kusonga mbele..Taifa stars iliyohalibiwa na wapumbavu WA ccm kwa kufanya maigizo kwenye mpira eti milion mia mara milion miambili mama ametoa.
Ushoga anaeneza mamako na mamayenu huko ccm.
kukataliwa hadharani ni nuksi inayouma sana 😀Wanaokula ruzuku na misaada anayozurura mamayenu kwa mashoga kuomba.
Nuksi yanayo hayo mashoga ya wasafi yanayoogopa hadi interview Za mwanaume.
Yule mama hakuwa na uelewa wa kutosha kuhusu zile four RUjinga tu kwani wangemuacha kungekuwa na shida gani?
Unaelewa kuwa kile tayari ni chombo cha habari chenye maslahi ya umma? Lissu hakuomba mahojiano hayo bali amealikwa na wao wakatangaza kuwa kuta kuwa na mahojiano hayo na muda wake kwa umma.Wasafi, nao Wana mumunya mumunya tu.
Hatahivyo, tabia ya kukurupuka na kwenda kuvamia kituo cha redio, eti kwasababu hakuridhika na taarifa ya kufutwa au kubadilishiwa Mahojiano yake-Kina uashiria wa Udikteta. Ubabe Ubabe.
Sidhani kama Diamond ana wajibu. Labda kama makubaliano hayakuwekewa kipengele cha "Kusitisha mahojiano bila ya sababu yeyote ile"
....anywho