Pambana brother, kazi za mgodoni sio poa kabisaTukiwaambia ccm hawajitambui msiwe mnang'aka jamani, nadhani leo mmejionea wenyewe, okay Ngoja niingie zangu mgodini hapa saza chunya nikapige fonka
Utaskia uhuru wa vyombo vya habari, sijui takataka gani?Wafunguliwe tu ili kupitia hao(Wasafi media),media nyingine zijifunze.
Ni uhuru wa vyombo vya habari wa mdomoni.Utaskia uhuru wa vyombo vya habari, sijui takataka gani?
Kutokuwa na self control sio kosa kisheria.Tatizo Lisu Hana self control hazingatii kanuni za TCRA akiongea vyombo vya habari
Ni mtu risk Kwa vyombo vya habari vyaweza fungiwa na TCRA labda mahojiano yafanyike Private wahariri ndio warushe Lakini akiongea Live Kuna uwezekano mkubwa chombo Cha habari kufungiwa na TCRA Kwa kukiuka maadili
Huyu akianza kuleta huu upumbavu ni media ya nani itaenda kufanya coverage ya habari zao Sasa.Lissu aliitwa kwenye interview WASAFI nakugfanya kila mtu kuwa makini kutaka kujua atakacho zungumza. , ghafla wakamchelewesha na kutomjuza kinachoendelea.
Uongozi wa WASAFI FM Watamueleza Lissu, na wasipotaka waache vile vile na ikiwezekana akitoka hapo achapishe tweet/post moja nzito sana kueleza huo upumbavu wao.
Kwa kuwa mtaji wa mwanasiasa ni watu, Tundu Lissu anao hao watu, awaeleze watu wake huo mchezo wa WASAFI kwa kushirikiana na dola katili la CCM.
Wasafi walitumia jina la Tundu Lissu kuvuta wasikilizaji katika kipindi chao leo. Wameuza maudhui kupitia jina la Tundu Lissu.
Watu wengi leo wamewasha radio wamsikilize Tundu Lissu (watu ambao siyo wasikilizaji wa WASAFI FM). Wameishia kulishwa habari za Bashite na matangazo ya kubeti.
Mwanasiasa makini lazima alinde hisia za watu wake ambao waliwasha radio tangu saa 11 alfajiri ili wamsikilize na wameishia kuambiwa mahojiano yamehairishwa kutoka juu.
Lakini moreover ni nzuri zaidi kisiasa kwamba Tanzania hakuna uhuru wa vyombo vya habari na kwamba waziri wa habari anaweza kupiga simu kuzuia mahojiano ya mpinzani yasifanyike.
Mwanasiasa mkubwa mwenye sifa na jina la Tundu Lissu anazo ratiba zake za kila siku, unapompa taarifa kwamba kutakuwa na kipindi cha radio, anajianda na kuvunja ratiba nyingine, ghafla asubuhi unahairisha. Ni utovu wa nidhamu.
Kumbe Kinana alikuwa anaongea kwa kutetemeka kiasi kile kila anapoitaja CHADDMA.Lissu aliitwa kwenye interview WASAFI nakugfanya kila mtu kuwa makini kutaka kujua atakacho zungumza. , ghafla wakamchelewesha na kutomjuza kinachoendelea.
Uongozi wa WASAFI FM Watamueleza Lissu, na wasipotaka waache vile vile na ikiwezekana akitoka hapo achapishe tweet/post moja nzito sana kueleza huo upumbavu wao.
Kwa kuwa mtaji wa mwanasiasa ni watu, Tundu Lissu anao hao watu, awaeleze watu wake huo mchezo wa WASAFI kwa kushirikiana na dola katili la CCM.
Wasafi walitumia jina la Tundu Lissu kuvuta wasikilizaji katika kipindi chao leo. Wameuza maudhui kupitia jina la Tundu Lissu.
Watu wengi leo wamewasha radio wamsikilize Tundu Lissu (watu ambao siyo wasikilizaji wa WASAFI FM). Wameishia kulishwa habari za Bashite na matangazo ya kubeti.
Mwanasiasa makini lazima alinde hisia za watu wake ambao waliwasha radio tangu saa 11 alfajiri ili wamsikilize na wameishia kuambiwa mahojiano yamehairishwa kutoka juu.
Lakini moreover ni nzuri zaidi kisiasa kwamba Tanzania hakuna uhuru wa vyombo vya habari na kwamba waziri wa habari anaweza kupiga simu kuzuia mahojiano ya mpinzani yasifanyike.
Mwanasiasa mkubwa mwenye sifa na jina la Tundu Lissu anazo ratiba zake za kila siku, unapompa taarifa kwamba kutakuwa na kipindi cha radio, anajianda na kuvunja ratiba nyingine, ghafla asubuhi unahairisha. Ni utovu wa nidhamu.
Wasafi FM ndi Ofisi za CCM?Tukiwaambia ccm hawajitambui msiwe mnang'aka jamani, nadhani leo mmejionea wenyewe, okay Ngoja niingie zangu mgodini hapa saza chunya nikapige fonka
Mbuta, angewafungua macho wa-danganyika kuhusu ziara ya kimkakati ya Makonda, fedha zilipotoka, upotoshaji, Covid 19, aliyekimbia maridhianano, Ole Mushi, SGR, Stigler! WAtu wangesahau kama kuna AFCON.Ujinga tu kwani wangemuacha kungekuwa na shida gani?
Jipigepige kifua kwa kujidai huku ukisema MIMI NI MPUMBAVUHuyu akianza kuleta huu upumbavu ni media ya nani ita
Huyu akianza kuleta huu upumbavu ni media ya nani itaenda kufanya coverage ya habari zao Sasa.
Tatizo ni kinachotoka mtu akishakosa self control kinachokuwa generated mdomoni ndio kinazalisha tatizo kisheriaKutokuwa na self control sio kosa kisheria.
Mbona na baba yako anakula misaada ya mashoga.Fungueni tv yenu kazi kula ruzuku na misaada ya mashoga tu.
Mpumbavu ni wewe ni huyo Lisu wenu.Naukiza tena huyo akianza kutishia media za watu,nani ataenda kufanya coverage ya habari zenu?Jipigepige kifua kwa kujidai huku ukisema MIMI NI MPUMBAVU