Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

Hata ikitokea kweli akaenda mahakamani , waliowaagiza wasafi ndio wataiagiza mahakama aina ya hukumu waitakayo. Katika kosa kubwa lilifanyika nchi hii ni kuruhusu chama kimoja kukaa madarakani muda mrefu, hata wananchi walipokichoka. Haya ndio sehemu ya madhara yake. Sasa hivi utawala wa Sheria haupo, ila amri toka juu ndio zenye nguvu kuliko Sheria na katiba.
 
Tatizo Lisu Hana self control hazingatii kanuni za TCRA akiongea vyombo vya habari

Ni mtu risk Kwa vyombo vya habari vyaweza fungiwa na TCRA labda mahojiano yafanyike Private wahariri ndio warushe Lakini akiongea Live Kuna uwezekano mkubwa chombo Cha habari kufungiwa na TCRA Kwa kukiuka maadili
Kutokuwa na self control sio kosa kisheria.
 
Tatizo mahakama zenyewe zipo? Atapata haki yake kweli? Jaji gani ana uthubutu wa kutenda haki?
 
Huyu akianza kuleta huu upumbavu ni media ya nani ita
Lissu aliitwa kwenye interview WASAFI nakugfanya kila mtu kuwa makini kutaka kujua atakacho zungumza. , ghafla wakamchelewesha na kutomjuza kinachoendelea.
Uongozi wa WASAFI FM Watamueleza Lissu, na wasipotaka waache vile vile na ikiwezekana akitoka hapo achapishe tweet/post moja nzito sana kueleza huo upumbavu wao.

Kwa kuwa mtaji wa mwanasiasa ni watu, Tundu Lissu anao hao watu, awaeleze watu wake huo mchezo wa WASAFI kwa kushirikiana na dola katili la CCM.

Wasafi walitumia jina la Tundu Lissu kuvuta wasikilizaji katika kipindi chao leo. Wameuza maudhui kupitia jina la Tundu Lissu.

Watu wengi leo wamewasha radio wamsikilize Tundu Lissu (watu ambao siyo wasikilizaji wa WASAFI FM). Wameishia kulishwa habari za Bashite na matangazo ya kubeti.

Mwanasiasa makini lazima alinde hisia za watu wake ambao waliwasha radio tangu saa 11 alfajiri ili wamsikilize na wameishia kuambiwa mahojiano yamehairishwa kutoka juu.

Lakini moreover ni nzuri zaidi kisiasa kwamba Tanzania hakuna uhuru wa vyombo vya habari na kwamba waziri wa habari anaweza kupiga simu kuzuia mahojiano ya mpinzani yasifanyike.

Mwanasiasa mkubwa mwenye sifa na jina la Tundu Lissu anazo ratiba zake za kila siku, unapompa taarifa kwamba kutakuwa na kipindi cha radio, anajianda na kuvunja ratiba nyingine, ghafla asubuhi unahairisha. Ni utovu wa nidhamu.
Huyu akianza kuleta huu upumbavu ni media ya nani itaenda kufanya coverage ya habari zao Sasa.
 
Usikute Wasafi wamejipima na kukuta hawatoshi kwa shughuli hiyo wakacancel.Hivi huko Wasafi kuna watangazaji wenye weledi na ukomavu kwenye tasnia ya habari wa kuweza kuendesha mahojiano na Lisu yenye uzito na upana wa hoja zinazostahili?Acheni masihara jamani,hivi ni mtangazai yupi angeendesha mahojiano hayo?Zembwela?au Hando?
 
Lissu aliitwa kwenye interview WASAFI nakugfanya kila mtu kuwa makini kutaka kujua atakacho zungumza. , ghafla wakamchelewesha na kutomjuza kinachoendelea.
Uongozi wa WASAFI FM Watamueleza Lissu, na wasipotaka waache vile vile na ikiwezekana akitoka hapo achapishe tweet/post moja nzito sana kueleza huo upumbavu wao.

Kwa kuwa mtaji wa mwanasiasa ni watu, Tundu Lissu anao hao watu, awaeleze watu wake huo mchezo wa WASAFI kwa kushirikiana na dola katili la CCM.

Wasafi walitumia jina la Tundu Lissu kuvuta wasikilizaji katika kipindi chao leo. Wameuza maudhui kupitia jina la Tundu Lissu.

Watu wengi leo wamewasha radio wamsikilize Tundu Lissu (watu ambao siyo wasikilizaji wa WASAFI FM). Wameishia kulishwa habari za Bashite na matangazo ya kubeti.

Mwanasiasa makini lazima alinde hisia za watu wake ambao waliwasha radio tangu saa 11 alfajiri ili wamsikilize na wameishia kuambiwa mahojiano yamehairishwa kutoka juu.

Lakini moreover ni nzuri zaidi kisiasa kwamba Tanzania hakuna uhuru wa vyombo vya habari na kwamba waziri wa habari anaweza kupiga simu kuzuia mahojiano ya mpinzani yasifanyike.

Mwanasiasa mkubwa mwenye sifa na jina la Tundu Lissu anazo ratiba zake za kila siku, unapompa taarifa kwamba kutakuwa na kipindi cha radio, anajianda na kuvunja ratiba nyingine, ghafla asubuhi unahairisha. Ni utovu wa nidhamu.
Kumbe Kinana alikuwa anaongea kwa kutetemeka kiasi kile kila anapoitaja CHADDMA.

Tumegundua kwa hili lililotokea leo
 
Back
Top Bottom