Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
maelezo ya watu wa chini bana dah š¤£Maelezo kutoka juu, hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maelezo ya watu wa chini bana dah š¤£Maelezo kutoka juu, hatari sana
Scrow juu kuna maelezo ya Lisu kuhusu maelezo aliyopewa na Wasafi.Weka ushahidi wa yeye kuridhika kuahirishwa kipindi kwa maagizo toka juu.
Haya ni maelezo ya Sasa, ngoja nimsikilize.Scrow juu kuna maelezo ya Lisu kuhusu maelezo aliyopewa na Wasafi.
Atawafungulia kesi ya madai ya usumbufu, labda nako hakimu atapewa maelekezo.Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba interview ya Mh. Tundu Lissu pale Wasafi FM imefutwa.
Awali ilielezwa kwamba Tundu Lissu angefanya mahojiano katika kituo cha Wasafi. Taarifa zisizowekwa wazi ni kwamba mahojiano hayo yamefutwa kufuatia maelekezo ya CCM
---
Taarifa kutoka ukurasa rasmi wa CHADEMA mtandao wa X
Leo tarehe 07 Februari 2024 Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. Tundu Lissu alipata mwaliko wa kufanya mahojiano maalum na kituo cha Luninga cha Wasafi Tv katika kupindi cha Good Morning kinachoanza saa 11 alfajiri mpaka saa mbili asubuhi. Jana usiku moja ya watangazaji wa kipindi hicho alimpigia Mhe. Lissu na kumjuza kuwa mahojiano hayo yameahirishwa kutokana na maelekezo kutoka juu.
Aidha, asubuhi ya leo Mhe. Tundu Lissu amefika Wasafi Tv kujua sababu za kuahirishwa kwa mahojiano hayo. Tunaendelea kufuatilia kinachoendelea muda huu katika ofisi za Wasafi Tv.
Updates
Tundu Lissu sasa yupo Wasafi FM kupata sababu za msingi za kufutwa kwa mahojiano. Licha ya kupewa taarifa kwa njia ya simu, Lissu hakuridhika na badala yake amekuja mwenyewe Wasafi. Uongozi wa Wasafi umeomba radhi bila kueleza sababu za msingi.
Facts kwenu ni matusi?nikuchefue kidogo ili uanze kuyaorodhesha mwenyewe kwa umahiri, viwango na ustadi š¤£
ni mihemko ya kinyumbu šFacts kwenu ni matusi?
Sasa usitake watanzania wawe mafisi au waoga kudai haki zao ambazo zipo kikatibaMie sio mtanzania .ila awe makini
Wanahisi alikwenda na mahesabu ya RUZUKU inayokomba CCM kwa mwezi, ni balaa.Ujinga tu kwani wangemuacha kungekuwa na shida gani?
Hahahahaha..Sasa usitake watanzania wawe mafisi au waoga kudai haki zao ambazo zipo kikatiba
Maafili gani ? Anaongeaga uwongo ? Nimekuelewa mzee lakini wameoversee risk , kutokana na ulivyosema basi wamedeal na ishue accordingly, basi kama ndio hivyo basi this country is not as free as it has been preached by people..Tatizo Lisu Hana self control hazingatii kanuni za TCRA akiongea vyombo vya habari
Ni mtu risk Kwa vyombo vya habari vyaweza fungiwa na TCRA labda mahojiano yafanyike Private wahariri ndio warushe Lakini akiongea Live Kuna uwezekano mkubwa chombo Cha habari kufungiwa na TCRA Kwa kukiuka maadili
Mbona nyie mlikuwa mnasema "Lowassa kajinyea" au mumesahau?ni mihemko ya kinyumbu š
Mafia weusi wameliteka nyara Taifa letu.Nchi hii kila kitu kiko controlled na watu fulani.
Hatari sana..
huo ni ufukunyuku š¤£Mbona nyie mlikuwa mnasema "Lowassa kajinyea" au mumesahau?
vibaraka ni mwiko kupewa nafasiMafia weusi wameliteka nyara Taifa letu.
Kabadilishe cheti chako cha kuzaliwa na ndoa kiwe kwenye jina lakoLissu ni Shujaa