Sasa kama nimesha jenga hata zaidi ya nyumba moja na watoto wangu wasoma shule za maana nisinywe pombe bwashee? Kila mtu ana malengo yake mekuUko sahihi pombe Inaweka shida chini juzi kuna mlevi nilimsikia kunywa pombe siyo uoga wa maisha lakini kujenga nyumba ni uoga wa maisha kumbe ulichosema ni kweli kwamba kwamba pombe zinakufanya uzitue shida chini kwa muda na kufurahia ukimaliza pesa shida ulizo zitua unashindwa kuzinyanyua
Hahhaha eeh, na pombe ikiisha shida zinakuambia welcome againHahhahahha pombe ina vibe tamu sana unaweka shida chini unatupa mikono juu๐ ๐ ๐
Mkuu unaishi kwa Michale kama digidigi hata ukisikia panya anakatiza una kaa mguu sawa tulikofikia ni hakufaiBinafsi japo nimelewa ila naonaga mtu akishindwa kuelewana na mimi atakua ni mbaya sana , sio kwamba najisifia ila mimi mpaka nitambue mtu fulani sio rafiki ni ngumu sana๐
Baba Mchungaji uwanja ni wako atii. ๐Ohhhh....๐
Aaah weee huwa hazikimbilii chini.Juu ya meza tena mie nilijua unapanda juu ya fimbo ya asali
Basi wee mbususu yako fekiAaah weee huwa hazikimbilii chini.
Pombe ikiisha shida yangu nikufikiri mno yani nakua mtata sanaHahhaha eeh, na pombe ikiisha shida zinakuambia welcome again
Kwa wewe nakupa ruksa lakini usichimbe migodi hovyo ili uishi zaidi ya miaka 90Sasa kama nimesha jenga hata zaidi ya nyumba moja na watoto wangu wasoma shule za maana nisinywe pombe bwashee? Kila mtu ana malengo yake meku
Hahahhaaha mimi pombe tu bwasheeKwa wewe nakupa ruksa lakini usichimbe migodi hovyo ili uishi zaidi ya miaka 90
Tena alikuwa kiranja. Sema saivi watu wamekuwa wake za watu, mama za watu majukumu yamebana. Maana raha ya vita uwe na muda wa kufuatilia sio upo online leo mara umepotea unarudi baada ya wiki.Kumbe hadi shindikanaa Alikuwepo๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Tena kwenye suala la mbususu nina uhakika hii ni OG.๐คฃ๐คฃ๐คฃBasi wee mbususu yako feki
Kumbe, inapendeza kama unajijali kwakuto chimba migodi hovyo utaishi maisha marefu, (no stress)Hahahhaaha mimi pombe tu bwashee
Mweee!!Tena kwenye suala la mbususu nina uhakika hii ni OG.๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hahhahaha now tunywe pombe tu ๐Tena alikuwa kiranja. Sema saivi watu wamekuwa wake za watu, mama za watu majukumu yamebana. Maana raha ya vita uwe na muda wa kufuatilia sio upo online leo mara umepotea unarudi baada ya wiki.
SureKumbe, inapendeza kama inajijali utaishi maisha marefu, (no stress)
Eehh tunywe tu hamna namna.Hahhahaha now tunywe pombe tu ๐
๐๐๐Ukinikwaza sana I consider you dead! ๐ฎ๐ฎ
Uneza nisemesha mi kama sikusikia vile hata ujiongeleshe vipi mie sina mudaa wala habari naweye!
Ukijifanya hunioni najifanya sikujui.
Ukijifanya hunijui najifanya sikuoni ivo yani
Cc Smart911
Mimi pombe mziki hata yesu arudi siachiEehh tunywe tu hamna namna.