Mimi ni Mzee wa ku-take-over the show mfuniko mbovu yaan hata presentations nilikua nawekwa wa mwishoni sababu wanajua nikianza mimi hua simalizi au naweza nikamaliza kila kitu watu wakabakia hawana cha kusema, nabeba jukwaa naliweka begani na show naimalizaa mwenyeweIpi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako?
Tusisahau kuacha nafasi ya vitu ambavyo havinunuliki Kwa Pesa mkuuSisi tusake pesa bila kelele tu bwashee 😁 gademiiit
Gademiiit, kama kipi bwashee?Tusisahau kuacha nafasi ya vitu ambavyo havinunuliki Kwa Pesa mkuu
Ukiona unatafuta hela halafu hauna muda na familia Yako acha mara Moja,Gademiiit, kama kipi bwashee?
Kimbamba kama mwiko wa pilau🤣🤣🤣 ndio wife material nyieHahahaaaa. Ila Mzab. Lol.
Mi ni kembamba hatari hivyo hiyo misambwandaz huwa naionaga tu kwa wengine. 🤣🤣🤣
Ni Mimi kabisa..nikizungukwa na kundi la watu naona kama wananinyonya nishatiHiyo para yako ya mwisho ndio nilivyo Sasa Nina uwezo mkubwa sana wa kuvumilia mambo na kujiepusha na ugomvi, ila Sasa siku nikichoka ni balaa, sina circle kubwa ya marafiki mtu wa kushinda ndani tu ,
Kabisa yaani we acha tu Mzab.Kimbamba kama mwiko wa pilau🤣🤣🤣
Kumbe. 😅ndio wife material nyie
Hah achana namimi mroho.comHaha fckkkyo.
I hope umegundua hiyo ni msg yako ya wasapu nimekopi na kupaste 😂
Umesahau ubishi… Tubishane hadi nikununie 🤣
Hii week ina neema sana kwangu. Kuna mwingine asubuhi alinihisi TISSHahahaaa. Ila Mzab bwana.
Genius mwenzio ni huyu Mwasibu na ametulia zake tu huko alipo. 🤣🤣
cc. Kipenzi Changu.
Liongo! Wanawake wembamba wana midomo sana, sasa wewe mbona huna mdomoHahahaaaa. Ila Mzab. Lol.
Mi ni kembamba hatari hivyo hiyo misambwandaz huwa naionaga tu kwa wengine. 🤣🤣🤣
Haya bana wee tulia kwa ndoa shemeji ndio kashapenda mwiko wa pilau maisha yanaenda muhimu yanga inakupa rahaKabisa yaani we acha tu Mzab.
Kumbe. 😅
Umbea team hukosiMimi mlokole msinisumbue 😹
Yani saa Hizi tumezeeka 😂😂
🤣🤣🤣🤣 them good day daah!
Mimi sio mtoto mwenzio ujue🤣🤣🤣Kumbe hadi shindikanaa Alikuwepo🤣🤣🤣
Nasikitika sana shindiiMimi sio mtoto mwenzio ujue🤣🤣🤣