Iran Imethibitisha Kuwa Kiongozi Mkuu, Ayatollah Ali Khomeini ameuawa

Huko Iran ni furaha tupu, sawa.
Ila rafiki yako wa karibu ana machungu ya kumpoteza Ayatollah!
Haumuonei huruma rafiki yako!?
Au ni uboya wake kuchagua kuwa Muislamu?
Kwani Wairan 3000+ waliouliwa na utaawala wa Ayatollah sio waislamu? Au ni uboya wao kumpinga Ayatollah?
 
Chief, are you sure mama yako mzazi ni Muislamu?
Mbona unakashifu sana dini ya mama yako mzazi?
Mama yako bado yupo hai?
Mama yako anajua mtazamo wako kuhusu Waislamu?
Huna hoja wewe ndio maana unang'ang'ana kunidiscuss mimi badala ya Gaidi Ayatollah. Leo mmejua nguvu ya Marekani, ni siku ndefu kwenu πŸ˜‚
 
Huna hoja wewe ndio maana unang'ang'ana kunidiscuss mimi badala ya Gaidi Ayatollah. Leo mmejua nguvu ya Marekani, ni siku ndefu kwenu πŸ˜‚
Nakudiscuss wewe kwasababu umeleta vitu vyako binafsi katika huu uzi, sijaanza tu kukudiscuss wewe from nowhere!
Ni wewe mwenyewe umeleta screenshot ya status ya WhatsApp ya rafiki yako, kitu ambacho ni binafsi sisi wana JF hakituhusu.
Ni wewe mwenyewe umesema kuwa mama yako ni Muislamu, hii ni taarifa binafsi ila umeamua kushare na sisi hapa jukwaani, sasa kama wewe mwenyewe umeamua kushare taarifa zako binafsi hapa jukwaani, kwanini niache "kudiscuss" hizi taarifa ulizoleta. Hizi taarifa zimekuwa sehemu ya hoja!

Jibu maswali niliyokuuza mkongwe!?
Mama yako anajua kama unawadharau Waislamu?
 
How comes Iran viongozi wao wanauwawa kizembe namna hii?
If you don't know, now you know

Ukiona rais wa USA anatoka anaongea vile ujue kila kitu kipo on target, wakuu wanasubiri ruksa tuu.

Huyu kobaz alikaa on target Hata kabla Trump hajaongea
 
Kobaz na upumbavu ni nyama na mfupa, hauwezi kutenganisha
 
Ww n mpumbavu tuu, kutoka kusema Ayatollah hajafa mpaka kusema Ayatollah alikuwa haogopi kufa πŸ˜‚
 
Basi sawa, stop discussing me. Can you do that?
 
Yaani adui yako anakusanya zana za kivita jirani yako kwa muda wa wiki mbili na anatangaza hadharani kweupe kabisa kuwa ana nia ya kukudhambulia halafu wewe umetulia tuu unasema hujui kuwa kuna vita? Kweli umeishiwa maneno.
wanasemaga Allah atawakingaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Okay, be careful...next time!
Sawa, ila bado I'm curious
Kwa nini unamsupport Ayatollah? Binafsi sipendi dikteta yoyote yule anayethubutu kuua maelfu ya raia wake, hata sipo interested na hayo masuala yao ya nyuklia, au ugomvi wao na USA/Israel. Nimefurahi kifo chake kwa sababu serikali yake iliua raia 3000+ wa Iran kikatili kwa sababu tu ya kuandamana against his regime
Ila wewe binafsi, kwa nini unaona Ayatollah kuuliwa si sawa wakati yeye aliwaua wenzake as if sio binadamu?
 
3000+?
Tuanzie hapa kwanza, where did you get this number?
Are you sure hii number ni sahihi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…