Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

Unatamani visivyokuepo.

Iran pamoja na uwezo wake hawezi kumshinda Israel. Omba uhai na afya ushuhudie kwa macho yako. Watajitahidi kujibu lakini mwisho wa siku hawezi fanya lolote.
Israel hana Ubavu wakupigana yeye kama Yeye
Pale ni jina Tu Israel
Kuanzia Vifaa Silaha mpaka waendesha Ndege wengi Wamarekan
 
Ila ipo Israel ? Mwana demokrasia uchwara
Netanyahu amechaguliwa na raia kupitia kura, Ayatollah amewekwa na masheikh 12 wanaoitwa guardian council.
 
Hayo ni maneno ya kujifariji tu hakuna nchi inayoweza kuficha habari za vita kama hizi!, jengo limepigwa na linaonekana wazi na watu wana simu,camera Mbona wanazirusha tu bila shida. Wajinga tu mlishaaminishwa kuwa israel inaficha habari mimi sioni habari inayofichwa hapo.

Unasikia jumuia za Kimataifa eti zimeanza kuto milio!!! Wewe endelea kushabikia usiyoyajua sasa Iran kwa kichapo anachokipata kuna hatari kubwa hata nchi inaweza kupinduliwa maana watu sasa hivi wanakimbia mji na kwenda maeneo salama baada ya kipigo cha majeshi ya Israel kuongezeka.

Hakuna somo lolote Iran anaweza Kulitoa kwa majeshi ya Israel maana yeye mwenyewe safu karibu yote ya makamanda wake wote wameangamizwa na sasa IDF inajipigia popote inapotaka bila shida yoyote ile maana tayari sasa wanalitawala anga la Iran.
 
Kwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
Hahahahahahaha inaonekana muIsrael anamtengenezea MuIran Missiles zinasobomoa majengo tu haziui!

Ila kuna mawili:
-Wa Israel wanaandaliwa yanapokuja mabomu ya Irani na kujificha kama mipanya
-Israel sawa na washirika wake, kama kawaida yao, waongo wa kupindukia. Hata Ukraine hali ilipoanza, Makombora ya Russia hayakuwa yanaua.Teh teh teh teh teh. Lakini majuzi wakati wa kukabidhiana maiti za wanajeshi, kumbe Ukraine imeumizwa. Hivyo wa Israel kutokufa, ni taarifa tu zinazofichwa.


Vita ni vita, nadhani hata Israel hakutegemea kama anaweza chapwa kiasi kile. Sidhani kama iliwahi mtokea akapigwa kiasi kile. Hata akishinda hii vita,lakini ameumia na kuvuliwa nguo. Na mpaka Iran anarusha kitu,kinavuka nchi,kinatua, nae si wa mchezo mchezo. Moto wa kuotea mbali.
 

HAYA MANENO YA KUJITIA MOYO KILA MWAKA TUNAYO. AYATOLLAH MOJA YA MAFICHO YAKE YAMESHAMBULIWA.

 

Tulikubaliana Ijumaa kuwa tuendelee kuitetea Iran na kuwafariji wenzetu. Tuache na sisi tuwapambanie wenzetu. Ila Israel wamejua kutuweka uchi. Yaani wametuweka uchi wa mnyama halafu wametuinamisha ... Nyuma kumebak waaaaaaah
 
Mwenyewe si mwanasiasa,lakini kibuli cha Israel kinaudhi basi tu.Ila nadhani kinachomtokea,hakutegemea. Pengine alijua washikaji wanaogopa hawana chochote. Hajui kwao, kifo ni jambo la kawaida. Hata akiua wote,lakini hata yeye mpaka aje asimame tena, si leo wala kesho. Na uzuri waislam wanavopendeleana, kusimamisha Iran tena kwao jambo la kawaida. Na mwisho wa siku, ukanda ule,utakuja kuisha vibaya.Kuna nchi itakuja kuwa majivu.
Hawa USA wenye kihelehele, walishaga shinda vita ipi labda? Kote wanakoenda si kuvuruga tu!!! Haya, Ukraine waliemzagamua leo ana hali gani? Kwa hiyo, USA ana ubavu wa kupigana vita hizi mbili kwa wakati mmoja? Na hakika ndo master-Planner wa huu ujinga wote.

Acha Qasseem apate haki yake lakini.
 
Kweli kabisa. Wapi picha mkuu?
 
Asante sana Iran umejua kutueshimisha


Bandari ya Haifa imekutana na mzigo wa Balistic
 

Attachments

  • 4_5945082950755292841.mp4
    613.8 KB
Vitani lazima kuwa na damage Kwa kila upande, Israel wakifanikiwa kuondosha utawala wa ayatollah wataishi Kwa Amani zaidi ya Miaka 50 mbele pia hata kama kuna uaribifu ni rahisi Kwa wao kujenga tena sehemu zote zilizopata uaribifu.
Hapana,v akinshamdonsosha Iran anaefuata ni Pakistan, Israel hataki ata sikumoja nchi nyingine maeneo yale awe na uwezo mkubwa wa kijeshi kulingana nayeye au kumpiku yeye.
 
Hizo image za zamani, show sasa ipo anga la Iran, Israel wanachagua targets kwa utuvu sana, na Mungu wao Ayatollah amekimbia nchi, inawezekanaje mteule wa Allah akaji exile??
 
Your browser is not able to display this video.

Muajemi akishusha hizi hypersonic 2000 myahudi lazima atii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…