gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Atomic bomb na nuclear bomb ni kama andazi na donati,tofauti ni donati ina umbo duara na ombwe katikatiHyo ilikua ni Atomic bomb wew! Jitahd kusoma na kuelewa historia ili ujue leo na kesho .
Hayo ni maneno tu ya kutafuta faraja baada ya kipigo cha Mbwa-koko alichopigwa Iran na majeshi ya Israel.Iran haijaanzisha hii vita. Iran inachofanya ni kujilinda.
Huo ndo ukweli wa mambo, licha ya upande ambao mtu upo au upande unaoushabikia.
Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote.
Na pamoja na kuzidiwa kwa karibu kila namna, Iran inajitahidi sana kwa kweli.
Hakuna anayemsaidia Iran. Hata majirani zake wanaisaidia Israel. Marekani na Uingereza wao ndo wako ten toes down katika kuisaidia Israel!
Pia, naamini madhara ya makombora ya Iran yanayotua kwenye miji tofauti huko Israel, ni makubwa zaidi ya tunavyoona.
Ndani ya Israel sasa hivi kuna military censorship ya media. Hivyo, picha halisi ya madhara ya mabomu na makombora ya Iran, haijulikani.
Ila kwa kuangalia tu baadhi ya picha chache zilizopatikana, unapata idea ni kiasi gani cha madhara ambayo Iran imesababisha.
Kwa kutokuwa na msaada wowote ule na kusababisha madhara yote hayo, Iran inajitahidi sana.
Pata picha kama Israel asingekuwa anasaidiwa na hao washirika wake….
View attachment 3370904View attachment 3370905View attachment 3370908
Taarifa zinafichwa sana Israel.Kwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
Na hicho ndicho watu wengi wasichokijua.Israel ana lengo lake juu ya nyukilia ya iran. Maana kama makundi yote yanayopigana na Israel mfadhili ni Iran unamwachaje MTU wa namna hiyo awe na nyukilia na uku ukijua anatengeneza kwa akili yako?. Akija kuwapa hivyo vikundi anavyovifadhili je?. Ndiyo maana Israel akai kimbwege middle east pale anajua amezungukwa na maadui kila kona.Hujafatilia vizuri..... Israel anamtreat Iran kama Gaza tu, Israel lengo lake kuu hataki Iran atengeneze nuclear, that's it, ndo maana ana target na kuua top nuclear researchers wa Iran wa muda mrefu, Iran ye anarusha tu makombora liwalo na liwe, Leo Israel ameshatoa taarifa maeneo ambayo wananchi wanatakiwa kuondoka atapiga maeneo hayo, imagine mpo vitani na mtu kabla hajakupiga ana pin point target kabisa, anajua huwezi kufanya lolote
Israel anajilinda Sana kutarget raia ovyo maana anajua atapata upinzani Toka Kwa washirika wake(us na Europe)..... Sio viongozi Hawa Kina trump(not that they care).... Ila tofauti na tunavyofikiri wananchi wengi wa hizi nchi wako against na huu upuuzi wa Israel na wanashinikiza serikali zao kutotoa msaada wowote kupitia Kodi zao
Unapingana na ukweli aisee kwa kuwa na uchache wa maarifa.Unatamani visivyokuepo.
Iran pamoja na uwezo wake hawezi kumshinda Israel. Omba uhai na afya ushuhudie kwa macho yako. Watajitahidi kujibu lakini mwisho wa siku hawezi fanya lolote.
Nafikiri JF, wamefuta Uzi wetu ule!!Netanyahu kura hazikutosha,akafanya kolabo na vyama vya wahafidhina akina smotrich
Ndiyona Triump amaewekwa na wamerekani wote???....
Iran haijaanzisha hii vita. Iran inachofanya ni kujilinda.
Huo ndo ukweli wa mambo, licha ya upande ambao mtu upo au upande unaoushabikia.
Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote.
Na pamoja na kuzidiwa kwa karibu kila namna, Iran inajitahidi sana kwa kweli.
Hakuna anayemsaidia Iran. Hata majirani zake wanaisaidia Israel. Marekani na Uingereza wao ndo wako ten toes down katika kuisaidia Israel!
Pia, naamini madhara ya makombora ya Iran yanayotua kwenye miji tofauti huko Israel, ni makubwa zaidi ya tunavyoona.
Ndani ya Israel sasa hivi kuna military censorship ya media. Hivyo, picha halisi ya madhara ya mabomu na makombora ya Iran, haijulikani.
Ila kwa kuangalia tu baadhi ya picha chache zilizopatikana, unapata idea ni kiasi gani cha madhara ambayo Iran imesababisha.
Kwa kutokuwa na msaada wowote ule na kusababisha madhara yote hayo, Iran inajitahidi sana.
Pata picha kama Israel asingekuwa anasaidiwa na hao washirika wake….
View attachment 3370904View attachment 3370905View attachment 3370908
Ukisema hivyo inatakiwa urudi 1948.Nyani.
Kusema Iran haijaanzisha vita una maana gani. Mwaka jana nani alianza kurusha makombora kama si Iran ?!. Nani amekuwa akifadhili vikundi visumbufu vyenye itikadi kali dhidi ya Israel ?!. Hamas, Hezboullah, Houthis nk nani ni sponsor wake kama si Iran ?!
Iran walifikiri wako salama kwa sababu za umbali wa ki jiografia. Lakini adui yake yuko advanced ki technology. Sasa wacha mwisho useme . Kujibu watajibu lakini mwisho wa siku hata viongozi wake wote watauliwa.
yeye anakataza mwenzake asiwe na nuclear, yeye kama nani, na nani kampa hayo mamlaka..? mbona yeye anayo? mbona Pakistan wanayo? mbona China wanayo? mbona NK wanayo? mbona nchi karibu zote za EU wanayo? Israel ni nani?Hujafatilia vizuri..... Israel anamtreat Iran kama Gaza tu, Israel lengo lake kuu hataki Iran atengeneze nuclear, that's it, ndo maana ana target na kuua top nuclear researchers wa Iran wa muda mrefu, Iran ye anarusha tu makombora liwalo na liwe, Leo Israel ameshatoa taarifa maeneo ambayo wananchi wanatakiwa kuondoka atapiga maeneo hayo, imagine mpo vitani na mtu kabla hajakupiga ana pin point target kabisa, anajua huwezi kufanya lolote
Israel anajilinda Sana kutarget raia ovyo maana anajua atapata upinzani Toka Kwa washirika wake(us na Europe)..... Sio viongozi Hawa Kina trump(not that they care).... Ila tofauti na tunavyofikiri wananchi wengi wa hizi nchi wako against na huu upuuzi wa Israel na wanashinikiza serikali zao kutotoa msaada wowote kupitia Kodi zao
Mkongwe ule uzi wetu umefutwa kule, mbona ghafla sioni kitu hata notifications sioni?Ukisema hivyo inatakiwa urudi 1948.
Usiutizame mzozo kiwepesi hivyo.
Tukisema tutoke huko tuje kwa Iran vs Israel.
Israel tangu 2003 amekua akiua wanasayansi wa Iran kwa suicide bombs na kwa gunmen.
Shambulizi la kuharibu nuclear plant 2008 pale Iran Israel ilihusika.
Unautizama mzozo kwa ufinyu sana.
....Ndani ya Israel sasa hivi kuna military censorship ya media. Hivyo, picha halisi ya madhara ya mabomu na makombora ya Iran, haijulikani....Iran haijaanzisha hii vita. Iran inachofanya ni kujilinda.
Huo ndo ukweli wa mambo, licha ya upande ambao mtu upo au upande unaoushabikia.
Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote.
Na pamoja na kuzidiwa kwa karibu kila namna, Iran inajitahidi sana kwa kweli.
Hakuna anayemsaidia Iran. Hata majirani zake wanaisaidia Israel. Marekani na Uingereza wao ndo wako ten toes down katika kuisaidia Israel!
Pia, naamini madhara ya makombora ya Iran yanayotua kwenye miji tofauti huko Israel, ni makubwa zaidi ya tunavyoona.
Ndani ya Israel sasa hivi kuna military censorship ya media. Hivyo, picha halisi ya madhara ya mabomu na makombora ya Iran, haijulikani.
Ila kwa kuangalia tu baadhi ya picha chache zilizopatikana, unapata idea ni kiasi gani cha madhara ambayo Iran imesababisha.
Kwa kutokuwa na msaada wowote ule na kusababisha madhara yote hayo, Iran inajitahidi sana.
Pata picha kama Israel asingekuwa anasaidiwa na hao washirika wake….
View attachment 3370904View attachment 3370905View attachment 3370908
Aljazeera waliwatimia kipindi kile wanaanza vita na Hamas. Kwenye vita propaganda zinakuwaga nyingi na mara nyingi ukweli unakuja kujulikana baadae. Sasa kila upande utadai kwamba wapo salama.Iran haijaanzisha hii vita. Iran inachofanya ni kujilinda.
Huo ndo ukweli wa mambo, licha ya upande ambao mtu upo au upande unaoushabikia.
Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote.
Na pamoja na kuzidiwa kwa karibu kila namna, Iran inajitahidi sana kwa kweli.
Hakuna anayemsaidia Iran. Hata majirani zake wanaisaidia Israel. Marekani na Uingereza wao ndo wako ten toes down katika kuisaidia Israel!
Pia, naamini madhara ya makombora ya Iran yanayotua kwenye miji tofauti huko Israel, ni makubwa zaidi ya tunavyoona.
Ndani ya Israel sasa hivi kuna military censorship ya media. Hivyo, picha halisi ya madhara ya mabomu na makombora ya Iran, haijulikani.
Ila kwa kuangalia tu baadhi ya picha chache zilizopatikana, unapata idea ni kiasi gani cha madhara ambayo Iran imesababisha.
Kwa kutokuwa na msaada wowote ule na kusababisha madhara yote hayo, Iran inajitahidi sana.
Pata picha kama Israel asingekuwa anasaidiwa na hao washirika wake….
View attachment 3370904View attachment 3370905View attachment 3370908
Nadhani utakuwa mafiaKwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
IRAN SHIKILIA HAPOHAPO USIACHIE
Iran ni mkorofi ila anajifanya mkimya sana
Acha utani bana?Mkongwe ule uzi wetu umefutwa kule, mbona ghafla sioni kitu hata notifications sioni?
SAsa sikia kuanzia leo elewa Atomic Bomb ni aina ya Nuclear Bomb.Hyo ilikua ni Atomic bomb wew! Jitahd kusoma na kuelewa historia ili ujue leo na kesho .