kosa la iran ni kuweka wazi madhara na maumivu wanayopata. tofauti na wenzao.Kwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
US mnafiki anacho ongea sio anacho kifanya, DW wmaeripoti wamewasaidia kutungua baadhi ya mabomu kutoka Iran.Nyuma ya Iran kuna baba Russia, Baba China, Baba Pakistan
USA hawezi kurisk base zake na uwekezaji wake mashariki ya kati kutokana na UPUMBAVU wa Israel ambaye amechokoza balaa.....
Ulaya nzima imeshachoshwa na UPUMBAVU wa Israel na wenyewe wameshamtenga na kumuachia mwenyewe.....mtu pekee aliyebakia ni Trump ambaye na yeye anakibilia na UPINZANI mkali kwenye baraza la maseneti......
IRAN anatakiwa kupiga panapouma ili hata kama akipuruchuka ashike adabu
Wamefuta Uzi wetu banaaa!Mkongwe ule uzi wetu umefutwa kule, mbona ghafla sioni kitu hata notifications sioni?
Kibuli gani cha Israel kinakuudhi wewe?Mwenyewe si mwanasiasa,lakini kibuli cha Israel kinaudhi basi tu.Ila nadhani kinachomtokea,hakutegemea. Pengine alijua washikaji wanaogopa hawana chochote. Hajui kwao, kifo ni jambo la kawaida. Hata akiua wote,lakini hata yeye mpaka aje asimame tena, si leo wala kesho. Na uzuri waislam wanavopendeleana, kusimamisha iran tena kwao jambo la kawaida.
Acha Qasseem apate haki yake lakini.
nani atakwambia ukweli pale tel aviv wakati washakataza watu kufanya coverage ndani ya israeli juu ya vipigo wanavyopigwaKwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
Al jazeera wenyewe vipi, ndo maana interview zao nying ni vs Tehran correspondentWanakufa sana ila idadi inayotangazwa ni ndogo ili kuficha madhara..
Waandish wa habar wanakatazwa kutangaza hali halisi, ndio maana mashirika mengi ya habari yamezuiwa kuingia israel, wako,BBC, FOX na CNN hao ndo wameruhusiwa
Ogopa vita na mfadhili wa vikundi kadhaa, Iran ni hatari wakweliNi hatari sana aisee mzayuni kaenda kukorofisha wahuni hapo Labda apewe msaada bila hivyo atapata tabu sana..
Hakuna vita isyo na washirika tuache kudanganyanaHakuna anayemsaidia Iran.
Israel wamepata walichokua wanakitafutaMwaka huu Israel ina la kusimulia aisee
Israel hawasemi kweli mkuu, lakini zaidi inalengwa miundo mbinu ya silaha Iran mbona wamefanikiwa sana huko Haifa ambako ndo kuna mtambo mkubwa wa Israel wa nuclear, usiangalie juu juu madhara kwa Israel ni makubwa sana tena ni kwa mashambulizi ya siku 2 tuKwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
Pakistan sio tishio kwa Israel......ukizingatia amepakana na Kibaraka wao mkubwa India ambaye anammudu vizuri......Hapana,v akinshamdonsosha Iran anaefuata ni Pakistan, Israel hataki ata sikumoja nchi nyingine maeneo yale awe na uwezo mkubwa wa kijeshi kulingana nayeye au kumpiku yeye.
Kuna tofauti kubwa kati ya atomic bomb na Nuclear Bomb.SAsa sikia kuanzia leo elewa Atomic Bomb ni aina ya Nuclear Bomb.
Hapo kuna maswala ya Nuclear fission na Nuclear fussion.
Usichokifaham wanasayansi wa iran wanaotengeneza nuclearHujafatilia vizuri..... Israel anamtreat Iran kama Gaza tu, Israel lengo lake kuu hataki Iran atengeneze nuclear, that's it, ndo maana ana target na kuua top nuclear researchers wa Iran wa muda mrefu, Iran ye anarusha tu makombora liwalo na liwe, Leo Israel ameshatoa taarifa maeneo ambayo wananchi wanatakiwa kuondoka atapiga maeneo hayo, imagine mpo vitani na mtu kabla hajakupiga ana pin point target kabisa, anajua huwezi kufanya lolote
Israel anajilinda Sana kutarget raia ovyo maana anajua atapata upinzani Toka Kwa washirika wake(us na Europe)..... Sio viongozi Hawa Kina trump(not that they care).... Ila tofauti na tunavyofikiri wananchi wengi wa hizi nchi wako against na huu upuuzi wa Israel na wanashinikiza serikali zao kutotoa msaada wowote kupitia Kodi zao
Naona ulikuwa umejaa Propaganda na Upotoshaji mwingi sana ndiyo Mods wameamua kupita nao!!!Wamefuta Uzi wetu banaaa!
Nimeusaka sijauona pia.
kwa hilo iran wanajitahidikijeshi, kiuchumi na kiintelejensia kumuondoa Israel
Mtanyooka tu safari hii!!Utashangaa hao western ambao wanamsaidia Israel wakiona kichapo kinazidi kwa Israel wataomba poo. Ila kama Iran ndio inatandikwa kisawasawa hawatasema chochote watakaa kimya kama walivyokaa kule Gaza
Kwa uongo we jamaa haujambo. Hivi acheni ushabiki usiyo na maana watu wanaumia kuliko mnavyofikili. Hivi mtu aliyechakaa anaweka kuwaambia RAIA wa Iran wasogee kutoka katika maeneo aliyotageti kuyapiga huu ushabiki mwingine tuwe makini nao.Unapingana na ukweli aisee kwa kuwa na uchache wa maarifa.
Israel imeshachakaa vibaya.
UK na France wanaandaa namna ya kusogeza msaada wa kijeshi Israel.
Wewe unabisha nini mkuu?
Huko Ukraine msaada ushakua diverted unaletwa Israel.