Iran yapeleka malalamiko rasmi Baraza la Usalama la umoja wa mataifa

Mjinga wewe usiyejua diplomasia,unaanza kumtia ubaya kwanza mtu anayeonekana mtakatifu na kupenda kutumia kete ya 'haki ya kujilinda'
Watu huku ni wajinga na wana ushabiki mwingi ..iran amerumia diplomasia ya juu ili akishusha mvua ya makombora watu wale wanafki waanze kusmea Israeli ana haki ya kujilinda
 

: Reuters
Lazima walalamike. Sio kwa kipigo walichopata. Soma hii:
Report: "More than 20 were killed in the attack in Iran; the radars were hacked and froze"
Sources quoted in the Persian-language British "Independent" claimed that 26 people were killed, contrary to the official statement in Iran: "The radar screens were hacked and froze about five minutes before the first wave of attack. The Israeli planes were not detected." It was also claimed that the defense systems of an oil refinery and defense systems - including the S-300 - were also destroyed.
 
Watoto hawa pia, wanachembechembe walizopandikiwa kuwa Israeli nj taifa teule na huwezi kuwaambia kitu
 
Ukiona hivyo umepuyanga mkuu.

Unanielimisha kwani nimeomba hivyo?

Waarabu siyo kabila bali jamii. Ni sawa na waafrika ambapo tuna nasaba kibao mkuu.

Pokea elimu hiyo ambayo hujaiomba pia
Vipi mkuu, Kigoma moja hiyo?
 
Safar hii tunaenda na njia izo izo zakwenu mpk mkae sawa.
Nyie si ndio wazee wa vikwazo
Wewe pambania uenyekiti wa kitongoji, hayo mengine yamekuzidi akili na nguvu.
 
Iran awachape Iraq kwa kukiuka amri aliyoitoa kuwa nchi yoyote itakayoruhusu Israel kutumia anga lake kuishambulia ataichapa.
iran ni wapuuzi wanaweza kuirushia iraq makombora kama kulipiza kisasi
 
Kwenda UN ni kupoteza muda tu ni sawa na kwenda kumshitakia mtoto kwa baba yake na huku baba yake ndio kashirikiana naye kufanya uovu.

Hiyo UN ni kipengele kingine natamani kina PUTIN waanzishe UN yao kisha wawaachie hao west litaasisi lao nchi zote duniani zitajiunga kwa PUTIN
 
Walipoishambulia Israel walikuwa wanatekeleza mkataba Gani wa umoja wa mataifa??
Hawa na Mungu wao wote ni Kama nyama ya nguruwe pamoja na mpumbavu mmnoja anajiita sijui FAIZA FOXY humu ingekuwa bora Huyu Faiza apakwe mafuta ya Pididi
 
Iran mjanja sana anatafuta baraka za Umoja wa mataifa kabla ya kumshushia mtu kipigo
 
Juzi kuna wachambuzi mchwara si walisema Israel ilirusha makombora ikiwa nje ya anga la Iran?
Yako wapi sasa.
Yako wapi ndio nn ukweli wenyewe taarifa zinaendelea kuvuja walirusha wakiwa nje na taarifa latest Arzebaijan pia kuna makombora yalitokea huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…