Irene Uwoya afanya sherehe ya milioni 100 ya kipaimara cha mwanaye

Status
Not open for further replies.
Hili gauni alilovaa tajiri unyoya linathamani ya 15 million!View attachment 2199989
Acheni masihara udangaji unalipa wadau na ndo mana vijana wa kiume usije jilinganisha na mwanamke hasa yule mwenye mvuto ,na kwa sasa binti akishajijua ni mzuri anawavutia wanaume na akapata marafiki wadangaji watamwambia ww shoga yangu mbona ww mzuri nakwambia tukienda viwanja utapiga hela wanamwambia wanaume wanapenda wanawake wenye mvuto sana
 
Tatizo hawadangi kwa malengo ,wakishachuja hamna kazi tena
 
Mbn kila Mara anafanyiwa sherehe HV huyu dad anakitega uchumi au anatumia utelezi wake kwa muda huu

HV Kwan huy Ana elimu gani huyu mam chuo alisoma wapi au diploma yake kachuluwa wapi

Nani main sponsor wake Ni Nani na Ana uchumi gani
M7
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom