Irene Uwoya afanya sherehe ya milioni 100 ya kipaimara cha mwanaye

Irene Uwoya afanya sherehe ya milioni 100 ya kipaimara cha mwanaye

Status
Not open for further replies.
Ila huyu mtoto wake hata mimi nilikua na walakini kidogo, ila Mungu amsaidie tu....
 
Staa gani hapo na wewe......Kwanza how old are u?? Inaonekana unapenda hizi Mambo za kitoto kitoto.......je ushampost ndugu yako hapa jukwaani hata Tu siku yake ya kununua kiwanja?? Ukiona bado basi ujue wewe bado ujapazoea mjini.....hakuna staa hapo.....wote tunakutana kwenye vibanda umiza na kwenye pantoni mwendo WA daladala......haafu utasikia jinga Lina kwambia nimevaa Gucci ya milioni kumi na mbili .........nyambafu
Exactly
 
Wanawake uwa wanazaliwa na mitaji usijiulize sana.
Unaweza ukawa na demu nyote mmepigika mtaani ila maisha yake yakabadilika wiki inayofuata akawa sio level yako kabisa.
Best luck for her, bila shaka ana investment za kutosha tayari kuziba mapengo hapo baadaye, otherwise anaikatili future yake
 
Kweli hela anayo ila kwa gharama hiyo bado kuna maswali mengi sana anyway kaongeza sifuri tu
 
Acheni ujinga na uongo.
Eti sherehe ya milioni 100, gauni la milioni 13. Thubutu.
Hivi mnaijua milioni 100 nyie?
Ngoja waugue ndio utajua maisha yao halisi.
 
Acheni ujinga na uongo.
Eti sherehe ya milioni 100, gauni la milioni 13. Thubutu.
Hivi mnaijua milioni 100 nyie?
Ngoja waugue ndio utajua maisha yao halisi.
Acha ushirikina bado mdogo sana!
 
Acheni kumzushia uwongo!
Mjini sjui umekuja lini...
Ulizia habari za ababuu mwana Zanzibar tulishamzika miaka mingi na Kila mtu anafaham yule bwana aliondoka na Nini...
Na huu ndo ulikua mwembe wake wa uani Hadi anaondoka dunian.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom