Irene Uwoya afanya sherehe ya milioni 100 ya kipaimara cha mwanaye

Status
Not open for further replies.
Alishasema anapenda wanaume wasovutia
H.baba alikula sana enzi hizooo
 
Duh watu mna mawazo mabaya sana aisee. Anyway ni kweli kwamba anakamix sana na wanawake ila mkuu hudhani kwamba sio sawa mtoto mdogo kufikiria haya unayofikiri juu yake?
Kwani mkuu wewe hukaoni hako katoto pigo zake?
 
Kwani mkuu wewe hukaoni hako katoto pigo zake?
Mama yake ndizo pigo anazokapiga na malezi ila sidhani kama kamefika huko maana ukisema kanafanywa na watoto wenzake shule ina maana pia unasema kwamba kanaposoma kuna watoto wenye tabia za kishoga...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…