Irene Uwoya afanya sherehe ya milioni 100 ya kipaimara cha mwanaye

Irene Uwoya afanya sherehe ya milioni 100 ya kipaimara cha mwanaye

Status
Not open for further replies.
sio kwa ubaya lakini, ila huyu mtoto wa irene huyu, acha tu tusiseme mengi.

tumuachie Mungu, yeye ndio anajua hatma ya huyu mtoto atakapokuwa kijana mtu mzima.
Nasema Uongo Ndugu Zangu
 
Mbn kila Mara anafanyiwa sherehe HV huyu dad anakitega uchumi au anatumia utelezi wake kwa muda huu

HV Kwan huy Ana elimu gani huyu mam chuo alisoma wapi au diploma yake kachuluwa wapi

Nani main sponsor wake Ni Nani na Ana uchumi gani
 
Ngoja Waje
 
Krish Ndikumana; ni mtoto wa staa wa Bongo Movies na aliyekuwa msakata kabumbu wa kimataifa wa Rwanda, marehemu Hamad Ndikumana ambaye jana Jumapili Aprili 24, 2022 ilikuwa ni siku ya kipaimara ya mtoto huyo.

Hii ni baada ya komunio ya kwanza ambayo Krish aliipata mwaka jana katika Kanisa Katoliki jijini Dar es Salaam na jana ikawa ni kipaimara yake. 👇👇

kom.jpg

Akizungumzia tukio hilo kubwa kwa mwanawe huyo, Uwoya anasema; “Namshukuru Mwenyezi Mungu, nina furaha iliyopitiliza kwa sababu haikuwa rahisi, namshukuru Mungu kwa kuniongoza na kunifunika kwa damu yake nikaweza kumlea mtoto.

Sherehe hio ilijaa mastaa, pesa za kutuzwa na burudani kede kede

This definitely looks like a traditional attire/theme...and if you take a close look the kid is wearing pants/trousers inside.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom