Irene Uwoya afanya sherehe ya milioni 100 ya kipaimara cha mwanaye

Irene Uwoya afanya sherehe ya milioni 100 ya kipaimara cha mwanaye

Status
Not open for further replies.
Staa mwenye cash bila dili za matangazo jana alimfanyia mtoto wake wa pekee sherehe ya kipaimara iliyomgharimu zaidi ya million 100! Kwa kweli ilikuwa ni sherehe ya kifalme.View attachment 2199981
What is this!!sasa huyu Hana hata kakampuni ni mwendo wa kudanga tu,anafanya sherehe ya 100M!faida yake nini?hizi kiki za kipuuzi sana.
 
What is this!!sasa huyu Hana hata kakampuni ni mwendo wa kudanga tu,anafanya sherehe ya 100M!faida yake nini?hizi kiki za kipuuzi sana.
Wivu utakuua wewe ulitaka afanye sherehe ya laki 1
 
Wanasema wameanzisha kundi lao wanajiita drama queen yupo uwoya, wolper, sepetu, kajala, lulu, na aunty ezekiel, nimeona wamewabwaga wengine kama shilole naona kachukia huyo🤣🤣🤣😂😂 na shamsa naona amejibembeleza kwa kumsifia uwoya kwenye comment ila ajajibiwa🤣🤣🤣😂😂😂 , shilole ndio kanunaa huyo
Shamsa wahuni wanajipigia tu
 
We jamaa uandishi wako !!!!.Irabu na silabi kuzichanganya ndio mtihani kwako..lakini umeeleweka....
Nisaidieni mkuu nijue aise mnk nilisoma umasaini huko hvyo tabu tupu mkuu ingawa et na mm Nina degree kbsa duh acha kbsa
 
Ila inaonekana bado kuna wabongo roho mbaya na ma bingwa WA kufatilia Mambo ya watu Tu .......umetamani kuwa mtoto WA uwoya??.......kwanini usikaushe mpaka ulete huu ugoro hapa
Wasipofuatiliwa wanajisikia vibaya,maana Hilo ndio Lengo Lao kuu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom