Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 6,406
- 9,830
Watu wanaroga aisee sio mchezoUpo sahihi kuna sehemu niliwahi kufika Tanzania hii kuna mtu ana ng'ombe 2000+ katikati ya pori tengefu hata pt wala game hawajui πππ na wanapita hapo kwenye doria mara kwa mara
Mara nyingi sana wanachomana wao kwa waoNdio maana wale hawapo kundi moja na wahalifu wengine, udhaifu wao ni wanawake na kuwaamini Sana watu wanao hustle kama wao.
Ni kwamba kumbe alipenyezewa kwake na mamlaka sasa sijui nae ana cheo au lah... ila aliposhikwa na dogo hakuonekana tena...na aliekuja kueleza hilo ni mwenyewe wakati yupo juu kuwa yule dogo alitumwa na mamlaka kwasababu wakati anawekwa chini ya ulinzi walikuwa watatu yeye bosi, mwanae na huyo msukumma ila chakushangaza msukuma wala hakustuka kabisa ni kama walikuwa na mahusiano na wale watuDogo wakisukuma alikua Afisa?
Alikua mchomaji lakini jamaa alifanikiwa kuchomokaNi kwamba kumbe alipenyezewa kwake na mamlaka sasa sijui nae ana cheo au lah... ila aliposhikwa na dogo hakuonekana tena...na aliekuja kueleza hilo ni mwenyewe wakati yupo juu kuwa yule dogo alitumwa na mamlaka kwasababu wakati anawekwa chini ya ulinzi walikuwa watatu yeye bosi, mwanae na huyo msukumma ila chakushangaza msukuma wala hakustuka kabisa ni kama walikuwa na mahusiano na wale watu
Tafuta hela weweOya dogo kobaz ole wenu nyie kobaz mumdhuru mchaga wetu mgalatia mwenzetu. Kanyooka mkristo safi. Mnamchukia kwasababu kawabana nyie kobaz wauza madawa mafisadi papa na wakwepa kodi.
Jagina Tanganian Kubwa la Maadui
Kuchomoka tajiri?Alikua mchomaji lakini jamaa alifanikiwa kuchomoka
Nyinyi walugaluga mmeingia mijini juzi tayari mnajiona mnajua kila kitu na kitecnoTZ haina Mafia.
Ina watoa rushwa tu.
Kungekuwa na Mafia, kina Rostam wasingekuwa wanaficha pesa nje ya nchi.
Wakuu wa vitengo huwa wanajua picha nzima sema kuna doti moja au mbili zinakosekana/ hawana uhakika 100% na wanaendaga polepole mno hadi unajaa πMmh lymo akikumaliza ujuwe umeisha,na anakukamata nankidhibiti ubaoni no kuchomekeana
Nakumbuka wakati wa nzowa,getini kwake alipelekewa gari kama zawadi tu akalichomoa
Binafsi nlishakutana sana nzowa.a,kuna mtu nlikuwa namjuwa alikuwa mtu wa mipango,nzowa akawa ananiambia hivi yule jamaa anafanya mitkasi zile au nkamwambia mzee yule ashaaachaaa sahv ni mkulima tu muda tu
Kuna siku nzowa akamtimbia jamaa akamkuta jamaa yuko bize na mashamba tu π
Tukirudi kwenye mada,ukitimbiwa na polisi wao watachukua pesa tu
Ila wakija kitengo lazima wakungoeeee
Ova
Inategemea una backup gani kaka...yule shikuba unadhani bila serikali ya marekani kumuhitaji Kuna mtu angeweza kumshika bongo hii? Usisahau shikuba kwao ni mchingaMmh lymo akikumaliza ujuwe umeisha,na anakukamata nankidhibiti ubaoni no kuchomekeana
Nakumbuka wakati wa nzowa,getini kwake alipelekewa gari kama zawadi tu akalichomoa
Binafsi nlishakutana sana nzowa.a,kuna mtu nlikuwa namjuwa alikuwa mtu wa mipango,nzowa akawa ananiambia hivi yule jamaa anafanya mitkasi zile au nkamwambia mzee yule ashaaachaaa sahv ni mkulima tu muda tu
Kuna siku nzowa akamtimbia jamaa akamkuta jamaa yuko bize na mashamba tu π
Tukirudi kwenye mada,ukitimbiwa na polisi wao watachukua pesa tu
Ila wakija kitengo lazima wakungoeeee
Ova
Unaniletea stori za Zanzibar.Nyinyi walugaluga mmeingia mijini juzi tayari mnajiona mnajua kila kitu na kitecno
Italian Mafia
View attachment 3641136
Mexican Cartel
View attachment 3641137
Shkuba alikuwa na backup moja hivi kubwa (jina kapuni)Inategemea una backup gani kaka...yule shikuba unadhani bila serikali ya marekani kumuhitaji Kuna mtu angeweza kumshika bongo hii? Usisahau shikuba kwao ni mchinga
Hicho ndicho ninachokijuwa mimi aiseeNina brother wangu JW yupo uko ..wale jamaa task force yao wamechanganya kila idara umo..kuna JW,TIS,POLISI na idara nyingine ..wakikubananisha uchomoki mzee wanakuwa wapo full details ..aliniadhitia kuwa kuna mission moja iyo ilikuwa ya kumchunguza PAPA na Taikon wa ngada mchezo umechezwa Papa kajaa mazima wakambananisha na mzigo picha linaanza jamaa alitoa m600 cash in dollar chap yani yaishie pale pale jamaa wapoozwe ugumu unakuja kuwa mmetoka vitengo tofauti alafu amjuani na amuaminiani kila mtu anamuona mwenzake snitch balaa likawa apo kuna polisi mmoja akajilipua akasema tuchukueni izi hela uyu tukimpeleka black site atapiga simu uyu atachomoka walikuwa watu 6 ..wakajilipua kila mtu 100m wakapotea wakamuachia papa mzigo wake wakampa dk10 mzigo upotee na yeye asionekane kama miezi 2 awe low key
Ndio maana kaka nikasema huyo kwao ni mchingaπππ...vipi unakujua mchinga weww ni mkongweShkuba alikuwa na backup moja hivi kubwa (jina kapuni)
Ova
Yes tajiri alimaliza kesi yake?Kuchomoka tajiri?
So kila mmoja ana gharama yakewakati wa jpm nikapigiwa Simu usiku kuwa Kuna wasomali wapo 13 lengo waingie Mozambique ila mchongo umestukiwa kwahiyo wazee wametega kuanzia mchinga,lindi mjini hadi mnazi mmoja.. na jamaa uwezo wa kuwavusha Hana kwasababu utawala uliopo wa moto na wavushaji wengi wamepigwa mvua kweli kwasababu wakiunganishwa na ugaidi wa Mozambique...Nikamuhoji vipi bei wanalipaje akataja pesa ndefu inayovutia nikamchek mkubwa mmoja wa lindi jamaa anaogopa nikampa bei jamaa akachomoa kwa unyonge kabisa nikampa dili mtu mmoja mwenye heshima zake mjini na mkongwe wa dili chafu jamaa aliwafuta yeye mwenyewe aisee mbele ya vizuizi vyote vile
Unaweza ukawekewa backup mpk wanaokuwekea wanakuchokaInategemea una backup gani kaka...yule shikuba unadhani bila serikali ya marekani kumuhitaji Kuna mtu angeweza kumshika bongo hii? Usisahau shikuba kwao ni mchinga
Aloo π«‘π«‘Unaweza ukawekewa backup mpk wanaokuwekea wanakuchoka
Sema ukamataji wa wenzetu
Hawanaga haraka wao wanatk concrete evidence wakumalize kama yule beka ranger wa migomigo
Walivyommaliza
Ova
Jamaa wakikupoint hawajabahatisha wana file lako loteUnaweza ukawekewa backup mpk wanaokuwekea wanakuchoka
Sema ukamataji wa wenzetu
Hawanaga haraka wao wanatk concrete evidence wakumalize kama yule beka ranger wa migomigo
Walivyommaliza
Ova