Kwa mfano wakati wa kovidi JPM hakuvaa barakoa na wa chini yake hawakuvaa barakoa.Viongozi wa Iran na makamanda wa jeshi wanaishi kwa kufuata falsafa za Ayatollah, mfano mzuri Tanzania, kipindi cha JPM uliona jinsi viongozi wengi walikuwa wakifuata mienendo ya JPM.
Kuanzia kina Kasim, wakuu wa mikoa n.k..
Kiongzi wako hawezi kjitoa fanya jambo flani halafu wewe unajificha na hujitoi.
Ndio maana wanakuwa easy target.
Usomchukulie poa,kapiga kazi ya kibabe sana Kursk UrusiHuyo dogo mnamu overrate sana hana maajabu.
Kichapo anachokula Hizbollah unakiona au? Waambie Houthi warushe hata RPG. Hamna anaewashindwa wanakuwa neutralized wanaachwa. Baba yao anafinywa sasa waambie waungane naye.Vitaje hivyo vikundi?
Na pia usisemee tu vikundi vinavyobeba silaha kwa landcruiser pickup.
Vikundi vya Iran vyote vina silaha za viwago vikubwa hadi vifaru na makombora ya masafa marefu.
Mkuu iran anarusha makombora, likitua limetua ndio habari nazoleta, baada ya hapo mpaka wataporusha tenaTuletee za Iran akitoa kipigo acha upendeleo
Putin alisema week mbili namaliza kazi Ukraine, mwaka wa tano na kina kiduku nyuma yake, kapoteza almost a million soldiers na hajui vita itaisha liniππUsomchukulie poa,kapiga kazi ya kibabe sana Kursk Urusi
Hakuna physics ya hivyoJidanganye kuwa AI.
Vyombo vya habari hata vikubwa wamepost hiyo.
Iran hatumii Meli na Ndege, in short Hana Meli wala Ndege mpya yoyote tofauti na vimeli/Viboti vidogo Tu vya patrol. Gharama ya kutengeneza manowari moja ni makumi ya matrilion mwenzako hio anafyatua makumi elfu kama sio malaki ya makombora na Drones.Meli na ndege zote kwisha. Zimebaki missiles na honestly hizi missiles zinawatoa jasho USA na Israel ndio maana wanataka kuhakikisha Iran hatengenezi nyungine.
Na wa Houth Wana hitaji ni kuwezeshwa kisilaha TU,mambo mengine waachieni wao.Israel amekamatwa na Hezbollah huko, na missiles za Iran zinashuka kama mvua... Saudia kama anaingia vitani basi ni shinikizo la Israel, kwa maana hadi sasa Israel na US inatafuta mshirika yeyote ajitokeze kuwasaidia.
Na ajitafakari kama yupo tayari kwa maafa ya vita, maana watapigwa pasahaulike kama ni Saudia. Yemen wana hasira sana na Saudia. Houthis tu pekee huwa wanaipelekesha mperampera Saudia.
Kule wanachimbua viwanda vya silaha na kuvigeuza mchanga , Iran atabakiziwa manati na mawe tuuπ₯π₯π₯π₯
Mashambulizi yaliyofanywa hivi punde maeneo ya magharibi mwa Tehran na karaj zimetumika bunker buster bombs
Shida ninyi watu mnaweka hisia mbele kuliko uhalisia.Wameteketeza viwanda vyote vya silaha na sasa wanashambulia hizo silos za ballistic missile, stock inaisha karibu
Issue ya Iran wao wanatuma makombora kila baada ya masaa 10Tuletee za Iran akitoa kipigo acha upendeleo
Aisee Rain ππ
Kwa niliyoiona sidhani kama propaganda maana ni sawa na tukio la mwaka jana.Propaganda video ni kama zile drone zinapiga kelele kama bodaboda.
Hakuna ndege yeyote ya Iran sasa, zote zimelipuliwa au zimefichwaIran hatumii Meli na Ndege, in short Hana Meli wala Ndege mpya yoyote tofauti na vimeli/Viboti vidogo Tu vya patrol. Gharama ya kutengeneza manowari moja ni makumi ya matrilion mwenzako hio anafyatua makumi elfu kama sio malaki ya makombora na Drones.
Kilicholipuliwa ni private yatch, za watu binafsi Tu, na hizo Ndege zao mig za zamani bado zina patrol Anga la Iran.
Wana tight budget hivyo inabidi waitumie efficiently na sio kutengeneza projects ambazo ni luxury. Meli ghali na kuipiga ni rahisi, haina faida nyingi.
mmeona muweke na bendera ya Israel ππMimi kwangu huo ni mkong'oto OG AKA Mkong'oto genuine!!!
Israel analipua raia kushinikiza serikali ya Lebanon kuwapokonya silaha Hizbollah.Kichapo anachokula Hizbollah unakiona au? Waambie Houthi warushe hata RPG. Hamna anaewashindwa wanakuwa neutralized wanaachwa. Baba yao anafinywa sasa waambie waungane naye.
Basi waachage kulisha watu matango pori , na hii sio Kwa USA tu na Israel ni Kwa Nchi zote zinazo create hayo mapipa , Uongo ni mwingi sana kuliko uhalisiaso far hakuna airdefense system duniani ambayo inazuia makombora kwa asilimia mia..