Watasema ni AIHaya channel ya ufaransa hiyo,US kichwa kinauma, inabidi atafute sehemu nyingine salama pakutua ndege zake na kuweka mafuta,baada ya mda upepo utakata.
View: https://m.youtube.com/watch?v=uW5cuuOzz7E&pp=ygUbVVMgcnVuIG91dCBvZiBpbnRlcmNlcHRvcnMg
Sawa sawa director wa mossad.Kwa akili yako ulikuwa unajua hawajui?
Kuna mwenzako nimepost habari hapa kutoka CNN ,ikielezea uharibifu mkubwa kwenye kambi za US middle, anasema CNN wapo kinyume na Republic? Vipi na wewe unakubali.....?Mkuu hilo swali nimeligeuza ili upate kufahamu kwa hizo nchi za Israel na Iran zinapiga marufuku hizo media
Lile ambacho unahisi Israel anakificha ndio hiko hiko Iran anakificha kwa kuzuia hizo media na mitandao ya kijamii.
Pia unapaswa kujua hata Iran waliipiga ban Al Jazeera kwa zaidi ya mwaka
Haya madude wanaficha wapi?wanachapwa sana ila hayaishi, us na israel wakitaka ushindi wapige wamalize hivyo virushia makombora, hapo Iran watasalimu amr la sivyo sion wanamaliza vipi hii vitaFootage captures the seventeenth wave of missiles launched as part of the "True Promise 4" operation, targeting positions of the zionist entity and its American ally.
Kilichofanyika kuchelewesha kuokoa mateka ulikua mpango wa makusudi, ili wapate muda mrefu wa kuwaua waarabu wa Gaza, mana tangu oktoba 7 waisraeli waliuliwa kama 1200 ivi na hao waarabu wa gaza wakauliwa roughly 70,000 na baada ya kuridhika ikabidi uitishwe mpango geresha wa kusitisha mapigano.Mossad ambao wameshindwa fahamu mateka walipo kwenye kieneo kama mitaa mitatu cha Gaza? ambacho kimezungukwa pande zote na Israel?
Yapo sehemu safe na salama hivyo ni vigumu kuharibiwa na Marekani na Israel na sio moja tu yapo mengi takribani kila mkoa wa Iran.Haya madude wanaficha wapi?wanachapwa sana ila hayaishi, us na israel wakitaka ushindi wapige wamalize hivyo virushia makombora, hapo Iran watasalimu amr la sivyo sion wanamaliza vipi hii vita
Acha mambo yako, sa ngapi Iran katoa taarifa zake au hao wananchi wa kawaida wanakufata wewe PM. Iran kazima hadi internet na hizo record ni kulingana na taasisi nyingine tu na sio serikaliYes ila watu wa kawaida mostly, Iran hawafichi Vifo vyao, Kati ya hao wengi wamefia mashuleni na Hospitali, watoto wadogo etc.
Iran pia ana uwezo huo akiamua kulenga watoto na wanawake ila atleast wao Wana deal na military infrastructure.
"kupigwa ban kawaida Ila haijaondolewa" Mkuu hiki umeandika nini? Inawezekana kingereza kigumu ngoja nikuandikie hiviKuna mwenzako nimepost habari hapa kutoka CNN ,ikielezea uharibifu mkubwa kwenye kambi za US middle, anasema CNN wapo kinyume na Republic? Vipi na wewe unakubali.....?
Kupigwa ban kawaida hila hajaondolewa.
Wana brief kila masaa kadhaa, mfano hio shule ya watoto vifo vilikua 40 siku ya Kwanza kila wakifukua wanatoa maiti mpaka zimefika hizo 165 wakasema wamameliza suala la uokoaji na hio ni idadi ya mwisho, kuna vifo vya Red crescent, kuna Chuo kililipuliwa, residential area nyengine etc. Mpaka wanajeshi wao waliokufa kuna data.Acha mambo yako, sa ngapi Iran katoa taarifa zake au hao wananchi wa kawaida wanakufata wewe PM. Iran kazima hadi internet na hizo record ni kulingana na taasisi nyingine tu na sio serikali
Nyie tushawazoea mkipigana na Israel taarifa ni wanawake na watoto tu!!π¨ EXPOSED: Who exactly was responsible for killing 171 schoolgirls in Minab?
On the morning of February 28, one of the first Israeli missile strikes hit an elementary school in Minab, Iran. 171 girls and 14 female teachers were killed.
Israel and the US want the world to look away. But one man owns this strike β IDF Chief of Staff, Gen. Eyal Zamir.
Hereβs why heβs accountable:
π΄ Strikes abroad are approved by the General Staff β and the first waves are personally ordered by its Chief. Thatβs Zamir.
π΄ Target selection and timing are managed by the Operational Directorate, in lockstep with the Chief of Staff.
π΄ Zamir himself praised the "significant achievements" of the first dayβs strikes. He knew exactly what β and who β was hit.
171 girls. He knew the death toll. And he called it an achievement.
Na wameweka ushahidi wa videoDuh US wamepita na meli ya kivita ya Iran huko Sri Lanka. Ilikuwa inarudi nyumbani US submarine ikaichapa Torpedo
Israel huyuπ₯π₯π₯π₯
Assassination operation kwenye moja ya jengo huko Tehran. Taarifa zaidi zitakuja
View attachment 3552357
Kuna US army baseIla iran kama wazimu umempanda turkey wamemfanyaje tena π mwisho tukose viwalo vya sikukuu!
Hawa wanadhani kuwa hii vita Marekani kajiandaa janaNaona unajitahidi kutafuta faraja. Kwahio wewe unafikiri USA hawajui capacity ya Iran kiasi wamchokoze bila enough weapons? Yaani wachambuzi wa Tz mnajua kuliko walioanzisha vita.
Israel ilikuwa bado na uwezo wa kuokoa mateka na kuiharibu Gaza au kuua watu kwa kuendeleza vita. Na ingekuwa ushindi mkubwa kwao na ingeandaliwa documentary, movies na vitabu kama operation Entebbe.Kilichofa
Kilichofanyika kuchelewesha kuokoa mateka ulikua mpango wa makusudi, ili wapate muda mrefu wa kuwaua waarabu wa Gaza, mana tangu oktoba 7 waisraeli waliuliwa kama 1200 ivi na hao waarabu wa gaza wakauliwa roughly 70,000 na baada ya kuridhika ikabidi uitishwe mpango geresha wa kusitisha mapigano.