Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari


Kabisa, na Iran ametambua hilo anapiga kwenye mshono, yaani Trump akibahatika kutoka kwenye hii vita hawezi tena kuleta kiherehere. Atafanya hata sherehe.
KABISA
 
Ogopa sana like kitabu kinaweza kukufanya ndugu yake shetan
 
Na hakuna mnaloweza kufanya!

Sad!
Wakristo KWELI mna roho chafu... Iran ingepiga kombola la kuua watoto mngechachamaa hapa... .
Nyie chuki zenu kuu kwa waislam, ndiomaana hata Samia mnamchukia sababu ya dini yake tu,pamoja na kufanya mazuri mengi,mmewaponza watoto wa watu wameuliwa October 29 kwa kufuata kauli sshoga Kitiima.
 
💥💥💥💥
Video footage: Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la yazd
 

Attachments

  • 2026-03-04_22-21-44_0.mp4
    132.7 KB
Na kweli si unaona , angeongea nae Israel hivi sasa kungekuwa na amani.
 
Mkuu kwa nn mara zote kwenye kukosolewa raisi huwa unaamini sababu ni dini? Magufuli alikuwepo alikosolewa sana, unahisi nae alikosolewa sababu ya dini?
Mnaitia unyonge sana hii dini kiasi kwamba muda wote unahisi watu wanawachukia
 
Mkuu mimi siwezi kukwepa. Nasema hapa Israel wameifungia Al Jazeera, kuna mtu anaweza kubisha hili?

Swali langu kwako unahisi pia kwa nini Iran imezuia media kama cnn na BBC nchini kwake?
Yaani hapo ndio umejibu,bado hujanipa sababu ya Aljazeera kuondolewa kwenye ardhi ya Myahudi na Mpalestina? Na kulipuliwa majengo.

Halafu hamna sehemu niliyokataa kwamba BBC na CNN hawajaondolewa Iran.
Mkuu mimi siwezi kukwepa. Nasema hapa Israel wameifungia Al Jazeera, kuna mtu anaweza kubisha hili?

Swali langu kwako unahisi pia kwa nini Iran imezuia media kama cnn na BBC nchini kwake?
 
Si unajua kuna wa Iran pia wanapigania nchi yao wakiwa nje ya nchi yao?
Tena wanafanya kazi kubwa kuliko walioko field.
Si kweli, walioko field ndio wanakutana na mazingira magumu, na ndio wapo tayari ku face hata kifo...
 
💥💥💥💥
Naem Qassam Kama mkuu wa Hezbullah: Israel imeua makamanda 500 wa Hezbullah baada ya ceasefire
 
Yaani hapo ndio umejibu,bado hujanipa sababu ya Aljazeera kuondolewa kwenye ardhi ya Myahudi na Mpalestina? Na kulipuliwa majengo.

Halafu hamna sehemu niliyokataa kwamba BBC na CNN hawajaondolewa Iran.
Mkuu wala usiende mbali, Al Jazeera waliondolewa sababu hawakidhi matakwa au habari wanazotaka Israel. Lugha nzuri hawakua pro government

Hivyo hivyo kwa cnn na BBC nao waliondolewa Iran sababu hawakidhi matakwa na habari wanazotaka Iran. Lugha nzuri hawakua pro government
 
Jamaa una mbwembwe wewe!hizo mbwembwe mwenyewe unajiona ushakuwa myahudi hapo! Kwamba mipango yote unaijua! Sipati picha hapo kitaa kwenu unavyojitutumua kuwalisha matango pori
Wewe unayejiona Mbwa-koko tulia Iran anyoroshwe!!

Kwanza tuambie mazishi ya Gaidi Ayatollah Ali Khamenei yatakuwa lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…