Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

The general who betrayed the Iranian leader by revealing his exact location has repented. He took his own life on live broadcast. Sensitive video.
View attachment 3552705
Video ya zamani sana hii..
Hivi kwanini mnatunga story? habari hujahakikisha unadanganya watu..
Hii video , huyo ni professor, na Hapo ni Tripoli, video ya zamani..
 
🇮🇷 Iranian Parliament Speaker, Mohammad Bagher Ghalibaf:
—
We will not stop until the aggressor is punished.

Do the American military commanders not report on the increasing effectiveness and precision of Iranian strikes, and on the painful losses they have incurred?

It is said that lawmakers in the United States do not have an exit plan, but they exaggerate and deceive in the media to control the markets.
 
🇮🇷 Islamic Revolutionary Guard Corps:
—
Khorramshahr-4 heavy missiles of the IRGC Aerospace Force were launched toward the heart of "Tel Aviv" in the nineteenth wave.
 

Attachments

  • VID_20260305_185256_472.mp4
    4.2 MB
Mkuu hili alilosema Pedro Sanchez huo mwaka 2003 ndio ile vita ya Sadam, operation desert storm, niliwajibu humu, lakini ukiwa unawaambia watu wanakuita majina ya ajabu.

Niliwaambia nchi nyingi hivi sasa haziwezi jiingiza kwenye hio vita ya kitapeli.
 
Nimeangalia pia SBS news hata Israel wananchi wao wanalalamika maisha yamekuwa magumu na Iwanasema wangekuwa na Access wangeonyesha jinsi Iran anavyopiga majengo na huduma za kiraia,hii vita mbaya sana
Wamesemea wapi sasa kama wamezuiliwa
 
🚨🟡🟢 Hezbollah:
—
In response to the criminal "israeli" aggression that affected dozens of Lebanese cities and towns, including the southern suburb of Beirut, and after monitoring a gathering of "israeli" enemy soldiers at the Blat site at 4:55 PM today, Thursday, 05/03/2026, the Islamic Resistance fighters targeted it with a guided missile, achieving a direct hit.
 
🚨 Large explosions and massive plumes of smoke were reported after vital targets were struck by missiles in Bahrain.
 

Attachments

  • Screenshot_20260305_191630_Telegram.jpg
    75.9 KB · Views: 17
  • VID_20260305_191612_114.mp4
    516.8 KB
  • VID_20260305_191608_854.mp4
    245 KB
Wakristo humu na kote hawakuwai kumkosoa magufuli.
Hii comment yako ndio naiona sasa hivi. Mkuu unataka kusema wale kina maaskofu waliokua wanamkosoa magufuli Kama askofu bagonza, askofu mwamakula, askofu kakobe, askofu mwingira, askofu niwemugizi, askofu shoo wote hawa hawakuwa wakristu?
usichokijua hata watu wanaotekwa leo ni kikundi cha jiwe bado kinaendeleza utekaji,Samia anapambana kutaka kukiangamiza
Mkuu huu ni uongo ambao upo wazi, hakuna haja ya kuongopa kwenye hili Wala kubishana na hili ni kuniongopea wewe mwenyewe. Rudia speech ya Samia baada ya wale kina mwangi kutekwa
KEYTIMA nae ana kundi lake la utekaji kwa mlengo wa kidin
Huu ni uongo mkuu kitima hawezi kuwa na kikundi cha utekaji. Kuwaza hivi ni kujikosea mwenyewe

Naelewa wengine ambao ni pro regime. Lakini wewe usitumie uongo kuhalalisha kuw pro regime. Haifai mkuu
 
🚨 Missile and drone sirens are sounding in "Rosh HaNikra", "Shlomi", "Hanita", and throughout the northern border.
 

Attachments

  • Screenshot_20260305_191847_Telegram.jpg
    69.8 KB · Views: 15
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…