matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
ππNaelewa mkuu
AShura ana umaarufu wake hapa Tz
Ila Israel anatembeza kichapo sio mchezo
Weka picha ??? Sisi tunazo habari tetesi wote wawili uliowataja kwasasa wapo kwenye FRIJI β οΈβ οΈβ οΈβ οΈβ οΈBenja nyau amekutana na mkuu wa mossad muda huu
tutarajie surpriseπ
Hapo ndio utakapo jua kwamba mungu ni mchongoA Kuwaiti woman expresses her anger about the presence of US occupation bases in her country and throughout the region:
"We donβt want them [US] here! What does it mean they 'liberated' us through America? By invading Iraq? They took their money, they took everything they wanted. Get them out!
If we stand as one, weβll be the greatest power in the world. Everyone will fear us!
How long will you stay silent? How long will you lock your door and say 'Iβm living in safety'? Your safety wonβt last.
What happened to them will happen to us.
We are one Arab peopleβEgypt, Iraq, Syria, Lebanon, Moroccoβall of us! Just wake up! Move already! Enough! Wake up! Move a little.
Itβs a disgrace whatβs happening. Itβs against humanity and religion. Iβll set religion aside and say we are without religionβwhere is our humanity? Where are they? When will they move?
Every day another 'peace summit.' What peace? There is no peace anymore! We want our rights, and thatβs it!"
Weka iyo picha mkuu??Kuna picha zinasambaa wababe Delta force wako chini ya ulinzia wa IRGC. Walijaribu kuingia ground kikomando wachache wamededi wengine wote wamekamatwa wamepigishwa magoti.
Ni kweli hii au ni vita vya AI
ππRussia aliwahi kulimwaga hapo Ukraine maramoja na hakurudia
Fake video!!Shida ni source Tu?
Source ya video watu wakipiga kelele na bomu linaonekana live mpaka linatua bila siren
View attachment 3553360
πππMkuu inabid wakulipe wayahudi na America...unafanya kazi yao kwa usahii! Bilashaka we ni agent wao!
Ni AI ile mkuu.Kuna picha zinasambaa wababe Delta force wako chini ya ulinzia wa IRGC. Walijaribu kuingia ground kikomando wachache wamededi wengine wote wamekamatwa wamepigishwa magoti.
Ni kweli hii au ni vita vya AI
Sasa unafikiri wakuu wa Israel wana IQ ndogo km Ayatollah π€£π€£Weka picha ??? Sisi tunazo habari tetesi wote wawili uliowataja kwasasa wapo kwenye FRIJI β οΈβ οΈβ οΈβ οΈβ οΈ
Ulikuwepooooo?Vita ilipofikia suala la sheria, Sijui zΓ kimatΓ ifΓ , Sijui za wapi, Sijui za nini, hilo suala halipo. Kila mtu/nchi itatumia uwezo wake wote, na kila mbinu kumkomoa mwenzake.
Walianza US na Israel kuuΓ watoto WA Shule Wa Iran. Je, huko Siyo kukiuka Sheria za vitΓ ? Watoto wanamakosa gani?
Wahuni sio watuKurds wanawaambia wao sio bunduki za kukodi..
Leave The Kurds Alone, We Are Not Guns For Hire.
View attachment 3553255
Ana kula Hela zao tu Bure , hata hivyo ni Bora washukuru hii vita ilivyo tokea imewasaidia kuweza kuujua utapeli wa USA , πππUS Kakamatwa pabaya, interceptors zinaisha kwa washirika wake, viongozi wanamuambia US apeleke interceptors, lakini zinachelewa.
US ni tapeli, alikula mikataba kulinda washirika, sasa nini maana ya kuingia mkataba na nchi fulani kuilinda.
US aindoe kambi zake ME, hakunamsaada anafanya. US ni tapeli.
View attachment 3553280
Internet umekuja kuweka uchi mambo mengi sana ππWakurdi wanazidi kuwakataa Israel na US..
Jamaa wanawakataa wazi wazi hawataki unafiki.
View attachment 3553282
Nimefanya uchunguzi wangu sio kweli ni AI. Jamaa kasahau kucrop watermark ya nano banana au Gemini ai ipo kwa pembeni. Hii vita ni ya kwenda nayo pole pole ukweli na uongo umechangwanywa kwa level ya juu sana.Weka iyo picha mkuu??
Ni USD 1Bln mkuu kwa nilivyosoma namiWachamuzi wa vita CNN wanakadilia US wanatumia USD 890 m kwa siku,so hivita ikienda wiki maana yake USB 9Bil zitakuwa zimekatika. Iran nae hapoi wala haboi.