Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

So Iran ana piga miguu yote !? Kichapo everywhere at the same time !? Na hapo Iran ndio sio Russia πŸ˜„πŸ˜„
 
βœ… Iranian drone strikes high-rise in Dubai

Circulating footage appears to show the moment an Iranian drone hits a tower in Dubai, sending up a cloud of smoke and a shower of sparks, media reported
Hapo uchumi lazima upate stroke wafanya biashara lazima wale Chocho πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Watalii nao ndio kabisaaa πŸ™Œ
 
Toka vita inaanza hapa iran mtandao haujazimwa ila apps za nje hazifanyi kazi ni IMO tu ndio inafanya kazi ila apps zao wairan zipo hewani kama kawa

Humu propaganda ni nyingi sana na mbaya zaidi siwezi bishana na kijiji cha wajuaji
Umekuja kuichafua Hali ya hewa kabisa ya pro USA na pro Israel 😁
 
Ana kula Hela zao tu Bure , hata hivyo ni Bora washukuru hii vita ilivyo tokea imewasaidia kuweza kuujua utapeli wa USA , πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Kabisa mijesh ya ovyo kabisa yamekimbia kambi zao eti
tena wewe Boss unatakiwa kuwataftia chocho za kujificha kwenye hotel 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

sasa ingekuwa Iran inawalenga rasmi Maboss wenyewe ingekuaje!!

mbaya zaid wanakimbia mitambo yao wenyewe aibu kubwa sana.
 
Yaani aibu sana !? Kawaacha Anao walinda akajaribu kukimbilia Cyprus 😁😁

Yaani ni aibu After this war lazima tu hao washirika wake wa meadle east watalazimika kuiangalia upya hiyo mikataba Yao ya ulinzi imekaa kiutapeli sana
 
Kufukua underground missile city za Iran, B-2 inajiandaa kufukua kwa bomb ambalo kishindo chake kinakaribiana na kishindo cha bomb la Nuklia GBU-57 Massive ordinance Penetrator.
Gharama ya hili Bomu tu ni Bilioni 849 tsh kwa bomb moja. Ukijumuisha na gharama ya usafiri, maintenance na tahadhari inafika karibu Trillioni 1 za kibongo. Hapo ni bajeti za mwaka za wizara kadhaa.
Tujengeni nchi wazee vita sio poa. Na hapo linaweza kukosa shabaha au lisifikie lengo yote hiyo trillion moja ikawa sufuri au likatunguliwa hilo dege peke yake bila bomu bei yake ni
Trillioni 3 na uchafu😊😊
 
🀣🀣🀣 anashindwa kuzuia hisia zake ogopa sana mapenzi
🀣

Unaamua kuwa reporter then unachagua kuegemea upande mmoja ,!!!

Jamaa anaweza akatoa habari 10 za Israel na USA kurusha mabomu ndani ya Iran then akatoa habari 2 za Iran kurusha mabomu in Israel

Nikiona post zake nacheka sana 🀣
 
Unaongelea bongo Nchi ambayo Iko nyuma kuhusu technology so una i- compare na Israel really!? Jaribu kutoa mfano mwingine chief
Huwezi kuzuia. Bongo hapa oct 29 mtandao ulizimwa lakini watu walirecord matukio yote
Polisi walitoa vitisho hakuna mtu kusambaza video na picha. Bado watu maelfu walimtumia larry madowo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…