Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kabisa Maana washia wakishapata influence watu wataacha kwenda mecca kuabudu kitovu Cha ibada kitahamia Kwa washia so USA Aana mkataba na Saudia wa kuilinda legacy ya mecca na kuitunza isipotee huku wao wanapewa wese
Washia huenda hija Makkah
 
Ongezea Jordan hapo kwenye list nae anapelekewa moto muda huu.
Anajaribu ku trigger vita iwe ya eneo zima ila hajui kama wenzake tayari wanajua mchezo wake.
.
Atapiga piga ila mwishowe ataishiwa tu
 

Iran kuna watu ndio hawapendi utawala wa Ayatollah ila kwa Pamoja wairan wote wanaopenda na kumchukia Ayatollah hawawapendi Shah, Shah mwenyewe kila siku anasujudia ule ukuta israel
Inawezekana ila Iran haikua nchi ya kidini tokea hapo, ni mapinduzi ya kiislam ndio yaliyoifanya itoke kuwa nchi ya kawaida yenye uchumi wa juu hadi kuwa ya kidini...Dunia nzima Gen Z hawataki tena ishu za dini kama umegundua...so nchi yoyote inayoweka dini mbele lazima upate upinzani kutoka ndani
 
Duhh huo mlipuko umepigwa na kina nani !?
Iran hanaga huo uwoga hawajawahi kuacha kujibu mashambulizi , wewe stay tune ujionee vita
 
Mnoooo 🤣🤣🤣

Ile ilikuwa jeuri nzito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…