Myahudi kachafukwa achana labisa na hao watu misri anawajua vizuri hao watu miungu yao kumi plus ilikung'utwa mpaka pharao akatema bungo na akawaachia waende nchi ya ahadi.π₯π₯π₯π₯
Israel imetoa wito kwa wananchi wa Iran kukaa mbali na maenoeo yote ya kijeshi nchini Iran
reservists sio mgambo ni Askari wa AkibaUnajua maana ya reservists?
Kmmk π€£π€£π€£Mbabe wa Middle East ni IRAN , piga upinde hao
Wanafurahi kwamba wao hawadhuliki au? Dawa yao na wenyewe watandikwe Risasi wasaliti hao.π₯π₯π₯π₯
Video footage: Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la parachin Tehran. Wananchi wa Iran wakifurahia mashambulizi hayo
Hakuna cha myahudi nyuma yake yupo US , kipindi cha nyuma kabla ya teknolojia kukua umatumbini watu mlijazwa maujinga sanaMyahudi kachafukwa achana labisa na hao watu misri anawajua vizuri hao watu miungu yao kumi plus ilikung'utwa mpaka pharao akatema bungo na akawaachia waende nchi ya ahadi.
π€£π€£Uzi huu ni kipimo cha akili ya waswahili
Huko Israeli Jews ni asilimia 70 tu, wanafuatiwa na idadi kubwa ya waislam alafu Wakristo alafu Druze...na dini zote hizo zipo serikalini na hata jeshini...sasa shida ya kuwa Jew au ni nchi ya Israel?Wisrael wana dini Yao inaitwa Jewish hawaamini katika ukristo na hawamtambui yesu kwanza ukimtaja yesu hadharani Israel ni kinyume Cha Sheria unafungwa
Ndio ujue dini ni mchongo na hizi dini mbili ziache kuwashobokea waisrael
Huko Israeli Jews ni asilimia 70 tu, wanafuatiwa na idadi kubwa ya waislam alafu Wakristo alafu Druze...na dini zote hizo zipo serikalini na hata jeshini...sasa shida ya kuwa Jew au ni nchi ya Israel?Wisrael wana dini Yao inaitwa Jewish hawaamini katika ukristo na hawamtambui yesu kwanza ukimtaja yesu hadharani Israel ni kinyume Cha Sheria unafungwa
Ndio ujue dini ni mchongo na hizi dini mbili ziache kuwashobokea waisrael
ππ Jeshi la Mungu mwaka Jana walipigika vibaya na muajemi Israel ikawa uchi wanyama Kila mtu alijionea maajabu walivyo kuwa wana aminishwa kwamba Israel ni super power kumbe ilikuwa uongo bwanaHakuna cha myahudi nyuma yake yupo US , kipindi cha nyuma kabla ya teknolojia kukua umatumbini watu mlijazwa maujinga sana
Duh! Kwahiyo Yesu kwao hawamtambui?Wisrael wana dini Yao inaitwa Jewish hawaamini katika ukristo na hawamtambui yesu kwanza ukimtaja yesu hadharani Israel ni kinyume Cha Sheria unafungwa
Ndio ujue dini ni mchongo na hizi dini mbili ziache kuwashobokea waisrael
Sasa kama ilitarajiwa unalialia nini? TuliaAnapigwaje?
Hiyo ilitarajiwa na Iran alikuwa anasema kabisa tu kushambuliwa bases za USA zitakuwa halali yao, so wenzake walijiandaa na nchi zote hizo zimeambiwa kushambuliwa kwa Iran ni kwa ajili ya usalama wenu pia
Hongera mkuu hongera sanaKubeti sijui na sijawahi waza kujifunza asee
Usiamini propaganda za magharibi Iran ana support kubwa sana ya wananchi ingawa marekani na Israel wanapenyeza Kila aina ya fitina kuleta internal conflict and unrest.Ubaya wa Iran ni kwamba anakosa hata sapoti ya wananchi
Hii ni mbaya sana maana hata wananchi wako wanaweza kushirikiana na maadui zako kukuangusha.
Ni sawa na kinachoendelea saizi hapa Tanzania halafu ikatokea tumevamiwa na US
Marekani ni mkorofi ila Sometimes nchi zingine zinafanya makosa makubwa ya kumpa sababu US.
Nchi ikiwa na utawala wa kiimla unaokandamiza haki za raia ikiwemo utekaji na mauaji, wananchi watachoka na kutamani kuona anguko la huo utawala.
Ni miezi kadhaa nimekuwa nikiona kwenye post za Trump kule IG raia wa Iran wana comment wakiomba Trump awasaidie, ni kama sisi tulivyokuwa tunafanya.
Ngoja niwe nakupa Elimu kidogo.Unajua maana ya reservists?
Wao wanataka utawala wa Ayatollah udondoke. Unafikiri siku Tanzania ikishambuliwa watu wkte watasikitika? Wapo mamilioni watashangilia, hivyo basi na nchi zingine ni hivyo hivyoWanafurahi kwamba wao hawadhuliki au? Dawa yao na wenyewe watandikwe Risasi wasaliti hao.