Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Umejibu vyema mkuu. Lakini kuna hata dalili za Israel kujirudi na kumkubali Yesu Kristo? Maana walianza kuwatesa mitume hadi kuwaua . Vilevile Mitume Petro na Paulo ( aliyeitwa Sauli kabla) walipitia madhila mengi chini yao ikiwemo kufungwa jela.
Hakuna, hao wamejaa kiburi mkuu,

Ila baada ya muda watafanya hivyo.

Na wakifanya hivyo ndipo ile siku itakuwa imefika.

Until then Israel ni Taifa la kawaida tu ila lenye vipaji vingi.
 
UAE wehu 😁 so walitaka Iran wafanyaje !? Wawaache !? Majinga sana wao aliyewatuma wamruhusu USA aweke kambi zake kwao ni nani !?
 
‏🚨عاجـــــــــــــــل

اليمن: أنصار الله في يعلنون استئناف الهجمات الصاروخية على الكيان الصهيوني .

العراق: المقاومة تعلن استئناف الهجمات الصاروخية على كيان إسرائيل .




لبنان: حزب الله يعلن استئناف الهجمات الصاروخية على تل أبيب .

AL Houth, Hezbollah Iraq na Hezbullah Lebanon tumeanza kushambulia Israel

Wako wapi walio sema wapo wapi Hezbullah? Hahaha
 
Hakuna, hao wamejaa kiburi mkuu,

Ila baada ya muda watafanya hivyo.

Na wakifanya hivyo ndipo ile siku itakuwa imefika.

Until then Israel ni Taifa la kawaida tu ila lenye vipaji vingi.
Israel kwenye vipaji na teknolojia hiyo inajulikana wapo juu mnoo. Ndio maana hakuna mtu wa kuisaidia Iran kwa sababu nchi kubwa zote za dunia zina uhusiano mzuri na Israel kwa kutegemea kunufaika na teknolojia ya raia wa Israel.
 
The United States has deployed its Space Force, Air Force, Navy, Marine Corps, and Army in the operation against Iran.Source: WaPo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…