Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

πŸ˜„πŸ˜„
 
Basi huyo Ayatollah hakufaa kuwa kiongozi. Unajiachia tu ili usionekane mbinafsi mpaka unauliwa kizembe hivyo. Wayatoe sasa hayo makombora wayatumie. Unayaficha chini ya ardhi huku unakula kichapo,au anasubiri yazae yawe mengi ndiyo ayatumie? Ujinga ni kulala jaa kisa unajenga nyumba. Unaficha silaha chini ya ardhi uendelee kula kichapo
 
MLinganisho wako unaonyesha huna akili zaidi ya kukariri mambo ,

kiongozi aliyeuwawa miaka 60 iliyopita na huyu aliyeuwawa juzi kwenye kipindi Cha science na technology kubwa ya ulinzi
Vita ni wiki ya pili sasa top rank leader yote imefutwa
Meli zote zimefutwa
Maviwnda ya silaha na makombora yameshambulia

Na Bado kichapo kinaendelea sio BLA BLA za Ayatollah et tutazamisha meli kazamiahwa yeye
 
BLA BLA TU kama Ayatollah Khomeini
Mnazidiwa Hadi na wadudu wanaolinda viongozi wao kwa gharama yoyote

Unajua maana ya kiongozi mkuu wa nchi wewe au unabwabwaja TU

Kama kiongozi mkuu wa nchi hayuko salama na raia yupi aliye salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…