Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Iran ni muda gani wanatulia? Yaani kila saa vyuma vipo angani hakika wanakuta kuchokoza nyuki.
Mpaka vita iishe atakuwa hana alichobakiza.
Iran wana advantage kiukubwa wa jiografia,yanayotokea sasa hata 1980-1988 yalitokea.
Je Israel ana uwezo wa ku sustain mashambulizi kwa muda mrefu!??
Kumbuka Hizbollah nao hawapoi wanarusha vyuma.
 

Attachments

  • IMG_20260309_193446.jpg
    143.9 KB · Views: 13
  • Screenshot_2026-03-09-19-24-44-698.jpg
    174 KB · Views: 16
  • Screenshot_2026-03-09-19-25-16-835.jpg
    148.4 KB · Views: 17
Iranian Foreign Minister Abbas Araghchi:

"9 days into Operation Epic Mistake, oil prices have doubled while all commodities are skyrocketing.

We know the U.S. is plotting against our oil and nuclear sites in hopes of containing huge inflationary shock. Iran is fully prepared.

And we, too, have many surprises in store."

Nawakubali sana Waajemi!!!
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la kusini mashariki mwa Tehran. Milipuko mikubwa
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
πŸ”₯πŸ”₯πŸ˜„πŸ˜„ Hapo walipo hawaamini wanacho kiona wanatamani kukataza mitandao ya kijamii ipigwe ban isiwepo Tena lakini ndio hivyo Tena haiwezekani πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Technology wameileta wao wenyewe Leo hii Ina waadhibu, Mambo yote hadharani
 
πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…