Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Namwonea huruma sana nentanyahu wa tandahimba ndugu Echolima1 🤣🤣🤣

Watu wa karibu yake wamlinde asije kujinyonga
 
Acha watu wajifurahishe ni haki yao.
 
Mtu akipost akipendacho simshangai ila kuna mmoja naona yuko busy kutukana ambao anahisi hawaipendi Iran au wanaipe da USA. Ana kazi ya kuita watu majina ya kashfa? Kwanini utukane wenzio kisa watu usiowajua wanauawa?
 
Kamtafute Secunder hata FB yupo.
Ukimkosa ndio uniambie.

Wacha UFALA wewe,kama Israel ina intercept kila kombora kwanini Imezuia taarifa zisitoke??
Kwanini wakazi wa Galilaya wamekimbia Galilaya!?
Hivi ninyi mnatuchukulia sisi WAPUUZI WENZENU!??
Hamna nchi inaweza kuzuia kika missile. Hata Israel wanasema ni 70-80% efficiency. Ukirusha 100 at least 10 yanaweza kupita na ndio maana Iran anarusha nyingi mara moja.
 
Sababu inayofanya Benjamin Netanyahu kutoonekana hadharani kwangu binafsi ni tatu:

1) Kuhofia usalama wa maisha yake:

Inaonekana Iran imedhamiria kumuuwa kwa njia yoyote ile!! Kwa maendeleo ya teknolojia kwa dunia ilipofika ukitoa video,picha n,k wazee wa kazi ni rahisi kuunganisha nukta!!!!!!!!! Hata mauaji ya Ayatollah yalifanyika kwa njia hii!!!!!!

​

Iran denies supreme leader dead after Trump comments - and vows to kill Netanyahu​


Sunday 15 March 2026 10:45


2) State inaweza kuwa imemfanya mateka!

State inaweza kuwa imechoshwa na matendo yake! Wakaamua wafanye yao!






3) Ni mgonjwa.

Kwa umri wake plus mikikimikiki ya hii vita, inawezekana akawa anaumwa coz siyo ajabu sana.

Nb: Ni mtazamo wangu.
 
Na
4 Kafa
 
Mtu akipost akipendacho simshangai ila kuna mmoja naona yuko busy kutukana ambao anahisi hawaipendi Iran au wanaipe da USA. Ana kazi ya kuita watu majina ya kashfa? Kwanini utukane wenzio kisa watu usiowajua wanauawa?
ukiwazidi tu hoja lazima joto lipande😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…