Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kuna msemo mmoja maarifu sana kwenye Geopolitics unasema "military operations must serve as clear political objectives"

Kwa mantiki hiyo kama political objectives umeshindwa kuzi-achieve automatically umeshindwa vita.

Political objectives ya USA in Vietnam ilikua ni kuwazuia Vietnam kujiunga na umoja wa kikomonist..

Matokeo yake Marekani alishindwa vita, akapigwa na kupoteza wanajeshi wake zaidi ya 60,000 lakini pia zaidi ya wanajeshi million 1 wa USA waliathirika na vita hiyo.

Na Vietnam alifanikisha kujiunga na ukomonisti

Kwa Maelezo hayo unasemaje USA alishinda vita?

USA alicho kua akifanya ni civilian targeting pamoja na biological warfare ndiyo maana alikua raia wengi sana wa Vietnam lakini malengo yake hayakutimia.

ACheni ushabiki, bila fact.
 
Wao waanamini Marekani ni Alfa na Omega
Hovyo kabisa
 
Sema Iran wamebadili Sana Vita, baada ya hivi vita kila nchi inabidi ijifkirie Silaha zake,

Gharama ya Sniper na vifaa vyake inafika Hadi $20,000, wakiwa sniper kadhaa hapo juu hasogei MTU.

Ila Iran anatuma kidrone Tu cha $5000 anafuta wote, hakuna haja ya kuja kurushiana risasi, so Askari wote hao train zao, vifaa vyao vyote ni useless kwenye vita vya sasa.
 
Simuelewi waziri wa vita wa marekani (Pete Hegseth) anavyomuita Mojtaba coward wakati yeye hata uwanja wa kivita tu hajakanyaga ilihali mwenzie yuko eneo linalovurumishiwa mabomu kila siku. Netanyau mwenyewe wamemficha kama kweli hajauawa
 
Kwanza Jamaa wapo zao Ndani
Hakuna kutumia Mafuta sijui Videge Purukushani nyingi watu kibao
Wanabonyeza tu Kitufe
Matokeo huko nikama haya👇

View: https://x.com/i/status/2033066159528870214
 
Nimeona habari muda si mrefu kupita Al Jazeera.. raia wa Israel hapo Tel Aviv wameandana kupinga vita.
Raia wanasema hii haikubaliki kabisa., hawalali kwa amani
Si mlesema hapo Tel aviv watu hawachukui habar? Au nimesahau?
 
Anachofanya hata kama hayakuhsu ila yatakuathiri kwa namna moja au nyingine, kwa sasa au hata wakati ujao. Trump keshasema akimalizana na Iran, anafuata Cuba, hii haikustui mkuu? Kuna sababu ya msingi kwanini Marekani bado hajapata usaidizi rasmi toka kwa washirika wake NATO. Hakuna logic ya uvamizi wa marekani na israel kwa mataifa mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…