Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

ukiwa pale uae ukiangalia simu yako saa unakuta imeandika 39:40 hiyo inatoka na kuchezewa kwa mfumo wa gps mambo ya jamiing na spoofing ndiyo maana iran wanatumia mfumo wa china wa beidui
 
Kaliwa kichwa yule Kiongozi mkuu anakuwaje kimya nyakati kama hizi !? Kwanza Kwa tabia yake ilivyo mtu wa kupenda misifa he can't remain silent,
angalia mnavyojiaibisha kiasi hata mnacholeta humu hata kama kina ukweli mnaonekana waongo
 
bado sana kufikia huko ya Japan inaweza tumika nyuklia lakini ni yale mabomu ya kimkakati USA alishasema kuwa zile silaha zake za nyuklia za kipindi hicho ni kubwa sana kwa ulimwengu wa leo kuzitumia ndo akaunda silaha za kimkakati bomu kikipigwa linaweza kuathi sehemu ndogo tu. maana hebu fikiria leo apige hapo Tehran si atakuwa hata raia ambao wanamsapoti
 
yaani hata mtoto mdogo anaweza akikataliwa eti Israel limepigwa vibaya sana huko kutwa nzima midege inapeleka moto tena bila upinzani wowote hali ikoje
 

Kamanda anaumia,halafu huku kuna watu wanakwambia Iran anahali mbaya. Iran kawa suprise watu hata wao hawaamini,General Kenneth anaongea kwa uchungu.Kila resources za kijeshi zilizo Middle East karibia zote zimelipuliwa na huo uwekezaji uliwachukua US miaka hamsini na sizani kama kuna nchi za middle east kama zitakubali US aweke base.
 
awa Iran kwani hawana kabisa hata AD moja ya maana au si na wao warushe ndege zao ziwe zinafanya intercept maana naona jamaa wanajichagulia tu pa kupiga
 
Unajiaibisha Tu kila unapofungua mdomo, Hizbollah ni chama cha kisiasa cha kishia, kama Kuna mfano Tanzania ni kama unavyosema Chama cha wakatoliki. Unachotuambia hapa ni kama Wasabato toka Kenya wakaja Tanzania wakaanzisha Chama cha Ukatoliki. Unaongea Tu nonsense sijui unaokoteza wapi.

Hizbollah na Sunni ni mafuta na Maji,

Pia Before Hamas ambayo ni ya juzi tu hapa, Wapalestina walikua ni Baath wing, same to SAdam Hussein, Bashar Al Asad na wengineo, Yaser Arafat alikua ni Baath pia. Kwenye Vita vya Iran na Iraq Yaser Arafat alikua anam support SAdam Hussein kama Baath mwenzake,

Mahusiano ya Iran na Wapalestina yameanza hivi karibuni, miaka ya 90 kwa mdomo na juzi juzi 2007 walivyoshinda uchaguzi ndio wakawa wanapewa material support.

So mkuu usidanganye watu wazima humu kwamba Kundi la kishia lebanone zimetengenezwa na Wasocialist wa Kisunni wa Palestine haimake sense yoyote kwa MTU anaejua siasa za huo Ukanda.
 
ukiwa pale uae ukiangalia simu yako saa unakuta imeandika 39:40 hiyo inatoka na kuchezewa kwa mfumo wa gps mambo ya jamiing na spoofing ndiyo maana iran wanatumia mfumo wa china wa beidui
Anatumia Beidou Mda mrefu Sana, USA hawezi mruhusu atumie GPS, anafahamu hili toka wakati ana design hizo missile.
 
Duh we jamaa wewe!
Nenda kaisome Beirut crisis.
Wakimbizi wa Palestina hawahusiki na Hizbollah hata KIDOGO.
Hivi unajua kama ndani ya Hizbollah kuna WAKRISTO!?
Huyo waziri mkuu unayemzungumzia aliyeuawa ni fitina ya Israel.
Israel iliwafadhili SUNNI ili wapindue serikali ya kikristo Lebanon,Shia ndio waliowaokoa wakristo kupitia hizbollah.
Ndio maana wakristo wanaikubali Hizbollah na sunni ndio wanaipinga hizbollah.
Hiyo Israel mnayoiona ya maana inawanyanyasa sana wakristo hapo mashariki ya kati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…