babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Tuliambiwa Kikosi cha anga kimeangamizwa, jana kuna ndege ya F-35,imetunguliwa.Tukaambiwa Iran hawana Navy, ila wanaogopa kupitisha meli zao,huku meli ya US Ford,wakatumbia ilipata hitilafu kidogo mlipuko wa ndani watu 200 wamejeruhiwa na moto ulichukua masaa 30 kuuzima.Waongo waongo, Iran awe na hali mbaya jana tu kapiga target tatu nchi tatu tofauti Qatar, Saudi na Myahudi mwenyewe (Haifa na Bazan Oil Refinery)na yote yametoboa,so mashambulizi ya jana yana maanisha ,mifumo ya air defense yote imechemka na kuna rumours ukichana na radar na mifumo mengine ya anga kubondwa, ila mzigo wa interceptors, unaelekea kukata na ndio maana sasa hivi Iran kila akirusha imo.
NI kweli ndugu ila kumbuka Gaza hakukuwa na jeshi kulikuwa na wanamgambo wanaijichanganya na raia na wanavaa kiraia hivyo ni ngumu kupigana nao na wengine walikuwa wanaishi kwenye mahaandaki hivyo walikuwa wanaibuka tu kushambulia na kurudi shimoni.Israel ni bora angani ardhini sina uhakika
Vita vya Gaza nilivyo kuwa nafuatilia walikuwa wakipigwa ardhini ki hovyo sana bila msaada wa angani jeshi lao la ardhini halina maajabu kama la angani
Vietnam war,Korean War kajifunze upyaHakuna jeshi la ardhini lolote dunia linaweza kuzidi uwezo wa jeshi la anga, anayekupiga akiwa angani ni lazima awe mshindi hata nyie wa ardhini muwe bora kiasi gani.
😄US treassury secretary Scott Bessent "We might unsanction the Iranina oil on the coming days".
Kunani tenaaaa!??
Trump mwenyewe alishasema kwamba jamaa wako smart 🤣Iran siku ya jana na leo kafanya matusi sana dhidi ya intelligence ya Trump!
Kwanini?
Eeeeh bwana eeeh, jana Israel ilifanya shambulizi dhidi ya mitambo ya kuzalisha nishati ya gesi katika taifa la Iran.
Iran wala hawakulialia, ila walikuja na tangazo kwamba, miundombinu ya nishati ya Israel na washirika wote wa USA hapo mashariki ya kati itashambuliwa na jeshi la Iran.
Oyaaaah, Mungu si Athumani, jioni ikaingia, Waajemi wakaanza kutimiza ahadi waliyotoa.
Mitambo ya mafuta Kuwait ikapigwa, mitambo ya mafuta Saudi Arabia ikapigwa, Qatar nao hawajaachwa, mitambo ya nishati ya gesi imebondwa, leo wamemaliza kwa kuwatembelea Wazayuni, mitambo ya mafuta ya Haifa imelambishwa cheche.
Bila kusahau, leo ndege ya kivita inayopambwa sana na mashabiki wa USA, F-35 ilitaka kutamba kwenye anga la Iran, ikapapaswa.
Haya yote ni matusi, jeshi ambalo Trump anasema amelimaliza nguvu kwa asilimia 100 linatangaza kufanya mashambulizi maeneo specific, tena hayo maeneo yana ulinzi wa kutisha wa anga, bila kupepesa linafanya kweli mashambulizi na kuzifikia target, oyaaah hapa Trump ameyakanyaga.
😄US treassury secretary Scott Bessent "We might unsanction the Iranina oil on the coming days".
Kunani tenaaaa!??
Trump mwenyewe alishasema kwamba jamaa wako smarIran siku ya jana na leo kafanya matusi sana dhidi ya intelligence ya Trump!
Kwanini?
Eeeeh bwana eeeh, jana Israel ilifanya shambulizi dhidi ya mitambo ya kuzalisha nishati ya gesi katika taifa la Iran.
Iran wala hawakulialia, ila walikuja na tangazo kwamba, miundombinu ya nishati ya Israel na washirika wote wa USA hapo mashariki ya kati itashambuliwa na jeshi la Iran.
Oyaaaah, Mungu si Athumani, jioni ikaingia, Waajemi wakaanza kutimiza ahadi waliyotoa.
Mitambo ya mafuta Kuwait ikapigwa, mitambo ya mafuta Saudi Arabia ikapigwa, Qatar nao hawajaachwa, mitambo ya nishati ya gesi imebondwa, leo wamemaliza kwa kuwatembelea Wazayuni, mitambo ya mafuta ya Haifa imelambishwa cheche.
Bila kusahau, leo ndege ya kivita inayopambwa sana na mashabiki wa USA, F-35 ilitaka kutamba kwenye anga la Iran, ikapapaswa.
Haya yote ni matusi, jeshi ambalo Trump anasema amelimaliza nguvu kwa asilimia 100 linatangaza kufanya mashambulizi maeneo specific, tena hayo maeneo yana ulinzi wa kutisha wa anga, bila kupepesa linafanya kweli mashambulizi na kuzifikia target, oyaaah hapa Trump ameyakanyaga.
😁😁Mkuu samahani kama hutojali mlipuko mkubwa ama mdogo una ujuaje ? Sasa hivi upo Iran mkuu ?
Lakini mlipuko sio mkubwa!? 😄😄
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Haifa refinery imebondwa huko, F-35 ilikuwa imeingia kwenye anga la Iran imepewa mpapaso, sasa sijui anamdanganya nani!?
Base gani haijashambuliwa? Labda Jordan na Syria huko ambayo ipo mbali na Iran, Unajua maana ya kila MTU ajilinde anavyojua yeye? Sio Tu base zimepigwa Bali Askari wa USA wanawindwa mtaa kwa mtaa, wakienda hotelini ama popote wakionekana Shahed zinakuja kupiga ndio maana Balozi za Marekani zikatoa tamko kila MTU ajilinde mwenyewe.
View attachment 3560160
Hawa wanajeshi wa marekani ndio maisha Yao sasa hivi wanajificha kwenye shelters wanasubiri Tu kupoe wakaokolewe. Hakuna tena Jeshi systematic hapo.
Balozi na kambi za Saudia, Iraq, Bahrain, Kuwait, Qatar na Emirates kote kumepigwa Sana. Kuna kambi zimepigwa watu wamekimbia kabisa, kila siku drones zinapita juu na kupost video online.
😁😁 Swali limekaa kichokonozi sana,Naomba kuuliza inamaana mabomu yote ambayo Israel na marekani wanashusha hapo Iran , hayajaweza kuangamiza kabisa uwezo wa irani wa kurushwa makombora? Hili kitaalamu linawezekanaje au wairani wanatumia mbinu Gani?
😁
View: https://x.com/i/status/2034710820048052540
Nini tena hii Netanyahu na Trump mbona wana niangusha
Huyo kilaza achana naeTuoneshe amehojiwa wapi na nani!??
Nimemtukana nani? Mbona hanipa false accusation???
Kwahiyo Yariv Levin ameteuliwa interim kama pambo!??
Embu tutajie ni channel ipi imeonesha live Netanyahu akihojiwa na sio decoded!?
Crazy 😄Kuna watu wanafkiri hormuz ndio suluhisho la vita huko Iran.
Hamkumbuki kibabe tu US waliweka mabomba ya kuchota mafuta kwenda kwao Kuwait,Iraq,Libya baada ya vita.
Kinachoenda kutokea wataweka miundo mbinu yao Iran,washaondoa taka zote
wametoa taarifa tu kuomba support ili wasilaumiwe baadae.
Mwisho watasema tuliwataarifu hamkutujali.
Sasa tumefanya tunachoweza.
😁Vietnam war,Korean War kajifunze upya
What was the out come ya hiko kikao cha tarehe 7, because mpaka sasa hakuna dalili yoyoteKwa mujibu wa gulf states hakuna operational base ya USA kwenye gulf state. Na amehamisha radar za mwisho na kuzipeleka Israel.
Hakuna wanajeshi kwenye kambi za USA mid east,wanajeshi wameondoka muda mrefu na waliobaki wapo kwenye balozi na wengine wapo mahotelini.
Asilimia kubwa ya baloz zimeshambuliwa.
USA ni hakika amepoteza influence kwasababu march 7 waarabu walikaa kikao kuona namna gani wataunga umoja tofauti na kutegemea USA kwa kitendo cha USA kuhamisha ADS na kuzipeleka Israel kiliwauma sana.
Kama unavyodai hapa, kwamba wakionekana mahali popote ni shahed, inakuwaje hizo base bado zina operate?Base gani haijashambuliwa? Labda Jordan na Syria huko ambayo ipo mbali na Iran, Unajua maana ya kila MTU ajilinde anavyojua yeye? Sio Tu base zimepigwa Bali Askari wa USA wanawindwa mtaa kwa mtaa, wakienda hotelini ama popote wakionekana Shahed zinakuja kupiga ndio maana Balozi za Marekani zikatoa tamko kila MTU ajilinde mwenyewe.