Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Wewe una matatizo ya fulani, swala la dini na uwezo wa vita vinatoka wapi? Na aliyekuambia mimi ni mkristo ni nan? Yaani mimi nishabakie vita kidini wakati najua kabisa Iran anazidiwa pakubwa na US na Israel na anauliwa viongozi wake miaka nenda rudi lakini yeye ameshindwa fanya hivyo kwa watesi wake.

Hivi wewe unaona swala la Irani kuuliwa viongozi wake waandamizi wote wa jeshi na serikali na bado wanaendelea kuuliwa unaona ni dogo na hivyo malipizi yake ni kupiga kambi za jeshi za America na majengo huko Israel? Unadhani wao hawapendi kuuwauwa viongozi wa Marekan na Israel? Ndugu usiongozwe na hisi labda kama hufahamu Electronics wafare ambayo Israel na Amerca wanaitumia. Hii ni hatri sana na wanaweza wakaangamiza viongozi wote kwa muda mfupi labda waamue kuishi maisha ya ujima tena ule ujima wa early stone age.
 
Isreal mchana huu amechezea. Nimehangaika sana kuzi attach, zinachukua muda mrefu sana. Nyengine zinakataa kuwa attached sijajua tatizo ni nini?!
Na mtu hataki kuamini hii vita myonge anaibuka mshindi siku zote sterling ni yule anaechangiliwa huku na kule, harafu anashinda
 
IRAN ameguswa shida ni Dunia nzima kwenye mafuta yamepanda bei yeye ndo. Kitovu cha mafuta kwake
 
Sasa una bisahana mpaka ninavyo QUOTE kutoka kwenye media ,so lazima kuna sehemu unamatatizo.

Sasa kuuliwa kwa viongozi wao kumewapunguzia nini? Vita ni vita humchagulii mtu cha kupiga, mbona wao ndio wa kwanza kupiga vituo vya mafuta na gas,vip ina maana viongozi wa Iran waliisha? Sasa kuna cha ajabu gani Iran kupiga majengo na vituo vyao......
 
ISRAEL kwasasa inapewa Vidonge Asubui mchana usiku kutwa 🧨🧨❌️ 3️⃣

Km ISRAEL inashindwa kurusha Kombora km2000+
from ISRAEL to Iran. ΒΏΒΏΒΏΒΏ

Vipi itaweza kushinda au kupigana na Iranian yenye kupiga
Km 4000+ wakiwa ndani ya Ardhi ya Iran🀠🀠🀠🀠🀠

Naona Trump kaanza kutekeleza matakwa ya Iranian🀠🀠

Vikwazo talatibu vinaondoshwa !! tutasikia mengine Son!!!

Iran endeleeni kumpa magonjwa dawa 🧨🧨 ❌️ 3️⃣ kazi kipimo cha utu,,✍️
 
Nimesikia Iran wamejaribu kurusha kombora hadi Diego Garsia kilometer 4000 kutoka Iran huku uwezo unaofahamika wa iran ni kurusha makombora km 2000 tu. Moja limefeli ningine limetunguliwa.
Hii maana yake nini.

Yamepiga Shabahaa yote ma2 kisiwa cha Diego Garcia πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Marekani inagombana na MEDIA zakwao mkuu jiongeze hapo 🀠🀠

Marekani km Toto lake Israel mabega juuu!!!!!

kwasasa wanapambana na MEDIA wanawafunga mpaka waandishi WAZUNGU wenzao km wa CNN.

Waandishi wanatakiwa kuandika ya Iran tu sio wao wakibondwaπŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯🀠🀠
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kambi ya jeshi najafanabad Isfahan
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la dezful
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la ahvaz
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la khuzestan
 
Ukweli si MAREKANI si toto lake Israel hawana Makombora ya kwenda km 2000+

siku za nyuma
Niliwai kutaka kujua ikiwa Marekani kawai kurusha ktk VITA ipi
mpaka leo kimyaaa😜😜😜

tupeni majibu kwa faida ya wasomaji wa Jamii forum !!!??

Isiwe lipo yapo lkn zaidi kuwepo kwenye makaratasi yao tu😜😜😜.

JAMANI si tunaona Trump anahangaika kutafuta Base za ndege kwenye Nchi mbali mbali

au nasema uwongo!! rip JPM πŸ™

Marekani na Israel zinapigana Vita vyakizamani nisawa kabisa kusema ivi 🀠🀠🀠

Mana Iran yupo kwake lkn miji ya Israel Miji. Gulf States inawaka MOTO πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…