Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Mwamba Putin ashapeleka mafuta Cuba tuone US atamfanyaje

Mbabe ni mbabe tuu
China imetoa msaada wa solar

Cuba sasa inazalisha 900MW kutoka solar sources

Hiyo imekidhi theluthi moja ya umeme Cuba

Na bado China inaendelea kushusha mzigo wa solar all across the Island

Plus na mafuta kutoka Russia angalau sasa Cuba itaweza kuzalisha umeme wa kutosha

Marekani iliweka embargo ili wananchi wa Cuba wateseke na wameteseka kweli

Hospitalini watu wamekufa sana kwa sababu ya kukosa umeme na shughuli nyingi za kiuchumi zilisimama

Mungu ana makusudi yake kuzifanya Russia na China ziwepo duniani tungeteseka sana na huu ushetani wa Marekani
 
Nimepost humu kila mtu alisoma majina. Pia usiruke mada,ulidai kuwa Hizbollah haiwezi kufanya kitu iko obliterated ilhali inashambulia Galilaya na kuna internal displacement.
PITIA UZI NIMETAJA MAKAMANDA WOTE MMOJA MMOJA.
Na juzi tu wameuawa IDF soldiers wengine zaidi ya 30.
Aya hao Hizbollah unaodai hawafanyi kitu wako wapi?? Au hao waliouawa wameuliwa na mizimu!??
 
Kambi za jeshi kwisha habari
Halafu mwisho unasema wanarusha vikombora!!
Hivo vikombora wanarusha kina nani?
Mambo mengine hayahitaji hata sample za damu au stool au urine kupima Afya ya akili ya mtu namna tu anavoandika unajua yuko katika hali gani.
Endelea kujifurahisha ww zezeta!! Akili zako kuhusu vita ni sifuri! Iran yupo kwenye siku zake za mwisho!
 
🀣
 
🀣🀣🀣🀣
 
Kambi za jeshi kwisha habari
Halafu mwisho unasema wanarusha vikombora!!
Hivo vikombora wanarusha kina nani?
Mambo mengine hayahitaji hata sample za damu au stool au urine kupima Afya ya akili ya mtu namna tu anavoandika unajua yuko katika hali gani.
Hahaha mnanipigia spana hao misukule mpaka Uzi wanauona wa moto
 
USA ni Cancer ya huu ulimwengu Hilo ndio Taifa linalo paswa kufutwa first , kwanini wasimchangie wambonde
 
Usifurahie Iran kupiga facility za nyukilia za israel.

Wote tunajua Waisrael ni makatili hasa.
anaweza fanya jambo la kinyama pale Iran.

Tuwaombee raia wa IRAN na ISRAEL ambao hawana hatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…