Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kuna tetesi pia kuwa General Dan Caine hakutaka kwenda vitani na Iran!


View: https://youtu.be/nQisCa6bQ4U?si=Q5MOdO_-pXfdMkzd
Trump fala sana. Kavunja waziwazi moja ya ahadi zake kuu: ahadi ya kutoanzisha vita mpya isiyo na kichwa wala miguu.
 
πŸ˜„πŸ˜„Yeah sure Simu Tayari zimeshapigwa
 
Juzi kuna Kadinali katoka Vatican waisreli wamempiga mteke, na kumzuwia asifanye ibada ya matawi.Israeli wamelaaniwa na Mungu.
 
Huu sasa ndio ukisikia UCHAWA
Huyu msenge anatetea kibarua chake kwa Trump na anasema Regime change in Iran imeshakamilishwa kwa kumuua Ayatollah na nafasi yake kuchukuliwa na mtoto wake
LiterallyπŸ˜‚

View attachment 3565452
πŸ€£πŸ€£πŸ™Œ Hawa wanataka kuwafanya watu wote duniani ni wapumbavu Jana niliona trump akiliongea Hilo , so regime imefanyika na wamefanikiwa kumuweka mtawala ambaye wanayemtaka wao !?? Haya majamaa Akili hayana 🀣
 
Hii vita inamaneno mengi ya uongo.
Tangu wiki iliyopita walisema base zote za USA zimepigwa na zimeisha.

Kumbe bado zipo.

Pia walisema wamepiga makombola yote ya iran na yameisha. Cha ajabu iran bado anarusha makombola.

99% yanayosemwa ni uongo
 
Lkn trump huyuhuyu alisema iran wameishiwa makombola.
Je, nikweli?
 
Hii vita inamaneno mengi ya uongo.
Tangu wiki iliyopita walisema base zote za USA zimepigwa na zimeisha.

Kumbe bado zipo.

Pia walisema wamapiga makombola yote ya iran na yameisha. Cha ajabu iran bado anarusha makombola.

99% yanayosemwa ni uongo

Sawa ni uongo hata huyo General wa CENTCOM wa US ni muongo? Halafu husitegemee eti kambi ikipigwa wanajeshi wataondoka mda huo huo,kambini kuna siri nyingi sana lazima wazilinde pamoja na kupigwa,hivi unazani juzi baada ya kupigwa kwenye kambi zao za Saudi waliondoka mda huo huo? Maana kuna ndege zimeharibiwa, ukiondoka adui akichukua picha na baadhi ya ndege zako,kwenye uwanja wa kivita maana yake umepoteza. Hata Iraq sehemu ambayo kambi nyingi zimefumuliwa kuna baadhi ya kambi wanajeshi wa US bado wapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…