Sio bule, utakuwa umetumwa na kanisa kuja kuleta ubishi usiokuwa na maana maana kanisa limekuona ni mtaalam ktk hiyo nyanja ya ubishi wa kijingaWewe uliyechokozwa kwa nini usikatae ili vita iendelee mpaka apatikane mshindi? Wewe uliyekubali ndiyo Unaonekana umezidiwa kwenye ulingo!!
Israel hawezi kupigana vita peke yake dhidi ya Iran.
Hilo wote tunalijua na wala si siri.
Unajua nchi yenye wayahudi wengi duniani ni ipi?Na tangu imeundwa iyo Israel mwaka 1948 hajawahi kupigana Vita yoyote pekeyake ni uwongo !!!
wanaopigana ndio awa USA na Ulaya !!!
Hakuna cha Vita ya Siku 6 wala siku 10 ni media Propaganda mashine tu leo ndiomana Walokole wanadai Israel taifa teule!!!!
Sababu za zile Propaganda utasikia Israel wananguvu sana wanaweza piga hata iyo Marekani na Dunia😀😀!!!
zile zama technology mawasiliano ilikuwa ndogo.
.ndiomana Propaganda ilifanikiwa zaidi..✍️
Niliona picha nikashangaa sana , niliona mpaka Al Jazeera wamepost picha na habari ya kutoa speech nikachukulia masihara , ngoja nikaVerify isijekuwa wamempa usemaji mtu mwingine anaitwa Abu Ubaidah .
Sasa hau Iran toka wameanza kupigana na Israel nitajie hata kamanda mmoja au kiongoz mmoja waliouwa wa Israel zaidi ya kuuwa raia sasa Israel akiamua kujirushia makombora hovyo huko Iran unajua madhara yake? Wewe uliona wapi nchi inapigana vita inatumia raia wake kama ngao kwenda kulinda madaraja ni sababu wanajua Israel hawezi kupiga raia. Yaani leo serikali ya Iran inaheshimu na kuwapigia raia wake magoti kisa Netanyahu.
Akili huna unaongozwa na ujinga uliokithiri badala ya kuleta fact unaandika ujinga ukurusa mzima. Huna akili zaidi ya akili ya kuongozwa na hisia na kwa akili hizi Israel na Marekan wataendelea kuwatafuna vichwa kila mtapoanza kuimarika yaani watakuwa wanafanyia majaribio ya slaa zao. Yaan unapigana na mtu unashindwa kuuwa hata balozi wake wa nyumba 10 halafu yeye kafyeka serikali yote unadai umeshinda kama sio upunguani ni nini?Swali lako kama sijakosea nikwite mbumbumbu au unajizima data!!!
kwani we Ujui kuwa Israel imepitisha Sheria ya kusema uwongo kukana Ukweli!!!!????
ikiwa raia tu wanaficha kuhusu hesabu ya Vifo vyao !!!!!!
unategemea tutaambiwa kuhusu kiongozi wao yoyote kuwa Kafa Vitani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
raia tu hesabu wanaficha unatuuliza kuhusu Viongozi wao!!!
Ni kwamba Viongozi wao wakifa wewe sisi tutajua kutokuonekana kwenye Vikao vyao basi.!!!!
Israel hasemi kiongozi wao yoyote kafa Vitani ni mwiko kwao kisheria!!!!!!!
japo Base zao za Jeshi zimeteketezwa makao makuu yao Mossad nk yameteketezwa!!!
wamechapiga sana lkn vifo wanaficha kisheria jua tena kisheria iliopitishwa Bungeni!!!
So Mfumo wa ni kuficha Maafa yao Dunia isijue
ili wenye akili za vichwa vya kuku Wataendelea kuimba taifa teule lenye nguvu linaweza piga Dunia yote😜 !!!!
mijitu yenye akili kubwaaa kuliko baba zao!!!😜
Kumbe kiakili wapumbavu tu.
Uwezo wao kupigana na mgambo tu!!!
.Sio JESHI kubwa km Iranian nk.
Ila humu 😁🙌Milipuko mikali ina endelea kusika huko tel aviv, no cease fire mpaka wakimbie 🔥🔥
View attachment 3568635
😁🙌🙌Iran ime shambulia kwa vyuma vikali eneo la bahrain 🔥🔥
View attachment 3568638
🤣🤣Iran ime shambulia kwa makombola mazito huko eneo la dimona israeli 🔥🔥🔥
Umeeleweka vizuri Sana. Tatizo unaobishana nào Ni empty set kichwani.lengo la Marekan angesema ni kuuwa Viongozi wa Irani basi tungesema kashinda !!!
lkn Trump kasema lengo ni taasisi ya Serikali kwamaana ya Mapinduzi ya uwongozi ili kuwakomboa wa Iranian sasa sijui kafanikiwa apo!!!
Hawataki kabisa kuhesabu achievements za Iran, ila Wako busy kuhesabu alichopoteza Iran. 😀😀😁Mbaya zaidi niyeye baada ya kipondo eneo lote la Gulf States
Hahaaa so na sisi tumepata updater wetu !!? 😁😁Iran ime shambulia eneo la ras laffam huko qatar, milipuko yashamiri🔥🔥
😁🤣🤣Tukiamka asubui tunakuta ni waisrael wanataftana kwenye Vifusi sio Iranian ila tumekuzoea lete Muziki💀💀💀💀💀
😁😁Hii dunia inaenda kasi sana kutoka kwenye kushambulia na kuangamiza makombora,drone,na kuipindua serikali mpaka kushambulia vyuo vikuu,mahospital,madaraja na reli na vituo vya umeme.