Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Ukichukua km 22 from coast ya Nchi husika UKa apply kote kwa Iran na Oman utaweza Apply hio Sheria? Hebu soma tena comment yako vizuri.
 
Iran hakuomba masaa 11,kwani nao walitoa masaa 20,US akubali mapendekezo yake kumi la sivyo wangeichakaza middle east yote na masaa machache kabla ya hayo masaa ya 48 ya Trump kuisha ,Iran alirusha mabomu mengi sana kwenye ardhi ya Myahudi.

Mtu ambaye hana utu ni Trump, ambaye alitoa hiyo kauli na sasa hivi kuna Maseneta wanataka ku-invoke 25 ammendment wajaribu kumuondoa.
 
Acha kutudanganya, Iran 10 point proposal ndio iliokubaliwa as base for negotiation na Iran waliipost Muda Tu, Trump ndio kakubali Jana, hayo mengine ni uongo uliotunga.
 
Hili ndo la msingi ila kwa watu baadhi wanaaoona hii kama jihad. Hawajali uchumi wala uhai wa watakaoathirika

Kingine hayo masharti kwa mtu mwenye akili sidhani kama yana uhalisia.
WAmepigana juzi Tu vita vya siku 12 wakati wapo katikati ya mazungumzo USA Kawasaliti na kuanzisha vita.

Ni kama Mimi nikuchukue wewe tukalewe bar halafu kijana wangu azunguke nyuma aje aibe kwako. ..

So ili kuzuia hilo lisitokee tena ilibidi Iran kufanya vitu ambavyo vinamuumiza Sana USA asije kurudia tena, na hio 10 point negotiation ya Iran ina address Hilo.
 
picha hii inatumiwa kama kebehi na mashabiki wa Israel na Marekani kwa Wairan lakini ina funzo kubwa sana.

Leo hii ukitoa Iran ni taifa gani duniani viongozi wa kisiasa na ulinzi wapo tayari kuwa mstari wa mbele kufia nchi na wananchi kabla hata ya askari wa ngazi ya chini kufanya hivyo ?

Leo hii Tanzania tukikumbana na hali kama ya Iran tuna viongozi wangapi walio tayari kufia Tanzania na Watanzania kabla hata ya askari wa ngazi za chini kuingizwa vitani au ndio watakuwa mstari wa mbele kukimbilia ughaibuni ?
 
Endelea tu kujilizaliza-Liza maana huna maana yoyote!!
Kina Mandela, Castro, Che Guevara, Samora Machel, wote walikuwa wanapigania uhuru,
Ni kweli watu hao walikuwa wapigania uhuru na hawakuwa Magaidi Kama wewe unavyodai.
ulisikia wapi watu hao wakijitoa mhanga kuua watu wasio na hatia? Wapi uliwaona wakiteka nyara watu?
Acha kutetea ujinga Hamas,Hezbollah na Houth ni magaidi!!! Oct 07,2023 Hamas walifanya Ugaidi Kama ulikuwa hujui basi huo utakuwa ujinga wako tu.

Uache kudanganya watu Tanzania ilisaidia wapigania Uhuru si Magaidi Kama Hamas,Hezbollah na Houth!!
Hebu fikiria mnavyodanganyana kuwa ukiwa ukifanya Ugaidi Una pesa Mabikira 72 hapo hapo hamuambiwi Je Mwanamke atakapokufa anafanya Ugaidi yeye anapewa stahiki zipi?? Mlivyo mazwazwa ha uulize!!!

Mkienda Mecca mnaambiwa kumpiga Shetani mawe na mlivyo mazwazwa mnarusha mawe kupiga kitu ambacho hakionekani!!!!

Najua unatumia dini kwa sababu ya kiwewe tu ulichonacho ndiyo maana nawaombia Wafuga Midevu na Majini mna matatizo sana nawashauli tu muanze Kufuga Ng’ombe wa Maziwa na Kuku wa mayai muondokane na ujinga wa Kufuga Majini!!!
Huna hoja na naamini huielewi hata source ya mzozo huu maana Unasikika kulalamika tu
 
Nina swali moja, kwa nini kila baada ya muda iran inavamiwa wanapigana alafu baada ya muda wanakubali ceasefire?

Khamenei kauliwa, larijani kauliwa, top generals wameuliwa. Why wanakubali ceasefire? Wamelipa kisasi?
Mkuu unapigana na nchi zenye bajeti mara 1,000 ya bajeti yako ya ulinzi na uchumi maana umewekewa vikwazo miaka zaidi ya 50 so lazima iwe unfair fight.

Iran kapambana sana kuepusha sio tu serikali kudondoka ila hata nchi kutotawalika.
 
Ujinga mtupu kuona ni sifa viongozi wa nchi wakifa/wakiuliwa na maadui hii inaonyesha ni udhaifu wa Hali ya juu sana katika Jeshi na Vikosi vyote vya ulinzi na Usalama wa Taifa. Kwa majeshi yaliyoendelea inabidi kuwafukuza Kazi viongozi wote maana wameshindwa kufanya kazi yao sawa sawa!!

Tanzania huwezi kulinganisha na Iran na ni ujinga kulinganisha matatizo ya Iran na Tanzania!!!
 
Wewe ndiye unapotosha!! Masharti ya ceasefire mojawapo ni Mlango bahari wa Hormuz uwe wazi
Trump kazuia mashambulizi kwa kusema Hormuz ifunguliwe na sio kwamba Hormuz imefunguliwa ili Trump asishambulie.

Unapotosha dogo, kama Hormuz ingekua ndio imefunguka basi kusingekua na haja ya Trump kudai ifunguliwe
 
Ukichukua km 22 from coast ya Nchi husika UKa apply kote kwa Iran na Oman utaweza Apply hio Sheria? Hebu soma tena comment yako vizuri.

Hiyo Sheria ipo.
Inaweza ikawa ngumu kuwa applied pale harmuz.
Ila ilikuwa iko applied.

Hizi tozo za transit fees ambazo sasahiv inabid zilipwe kwa Iran na Oman hazikuwepo kabla ya vita.

Iran kwasababu alikuwa anapiga allies wa US. Angepiga meli yoyote ya hao allies.

Meli ambazo zilikuwa zinapita ni China. Kwasababu yeye hafungaman na upande wowote
 
Mkuu unapigana na nchi zenye bajeti mara 1,000 ya bajeti yako ya ulinzi na uchumi maana umewekewa vikwazo miaka zaidi ya 50 so lazima iwe unfair fight.

Iran kapambana sana kuepusha sio tu serikali kudondoka ila hata nchi kutotawalika.

Umenena vema.

serikali ya Dola ya Kiislam ya Iran imesimama kwa majaribio mawili ya kimapinduzi.

Mfumuko wa bei nchin Iran Mwez Oct - Dec 2025 ukifikia 42%.
Raia wakaandamana kuondoa serikal.

Us - Israel wakaona na wao wawasaidie .

Ila majaribio mawil yote yameshindikana.

Ila Mm naamin sio mwisho.
 
Samahani mkuu,
Kwani hao viongozi wamemalizwa kwa kutafutwa au waliuliwa wakiwa kwenye mapambano ya ground

Viongozi mara nyingi hawapigani vita ila huwa wanatoa direction tu kwa hiyo. Viongozi Wa Iran kupatikana kirahisi inaonesha nguvu ya marekani

Lakini pia, siamini kama misingi ya demokrasia na sheria za kimataifa zikiwekwa kando, sidhani kama marekani atatumia week kuimaliza. Rejea Nagasaki na Hiroshima, sasa pigia miaka zaidi 70 mbele. Teknolojia itakuwa ya maangamizi imekua kwa kiasi gani
 
Si unasema hakuna popote Iran kasema kafungua Mlango bahari wa Hormuz? Soma hapo chini ili uendelee kuwazuga Wafuga Midevu na Majini wenzako!!
We jamaa tatizo elimu na lugha ni ndogo. Umeambiwa safe passage chini ya coordination ya Iran armed forces na technical limitations maana ni jeshi la Iran linasimamia nani apite na kwa vigezo gani vya kitaalamu sasa hapo ndio kufungua? Kwani zamani meli zilikua zinapita kwa kuongea na jeshi la Iran kwanza?

Ndyo kufungua gani huko? Maana hata sasa meli zilikua zinapita ila kwa kibali na kulipia jeshi la Iran
 
Ndio maana anaamuumiza kwenye ardhi ya majirani zake ambao ni washirika ila yeye hana ubavu Wa kufika marekani na akafanya hata nusu ya marekani anachoweza kufanya katika ardhi yake.

Kiufupi iran yupo strategic kwa sababu hana machaguo mengine zaidi ya hayo. Kiufupi akienda uso kwa uso na marekani bila allies ama sheria za kumbana mmarekani. Iran itafutika kwa muda mchache sana
 
Itafutika kwa muda gani ambao umeshindikana mpaka sasa ? Sheria zipi zimembana Marekani mpaka sasa ?
 
Lakini pia, siamini kama misingi ya demokrasia na sheria za kimataifa zikiwekwa kando,
Ziliwekwa kando, wamelipua shule za mabinti wadogo na wakijua kabisa. Jana Israel imelipua synagogue la wayahudi hapo Tehran wakati maeneo ya kidini, shule, hospitali, n.k ni makosa ya kivita.

Hayo hayo yalitumika kushtaki Nazi Germany, Charles Taylor, Slobodan Milosevic, kina Ruto na uhuru n.k ila wakifanya USA na Israel ni halali.

Israel imetumia phosphorous kemikali iliyokatazwa ila Iran walipotumia cluster bombs wakaishtaki UN!!

sidhani kama marekani atatumia week kuimaliza. Rejea Nagasaki na Hiroshima, sasa pigia miaka zaidi 70 mbele. Teknolojia itakuwa ya maangamizi imekua kwa kiasi gani
Hata China ikiitaka Taiwan si itatumia nuclear tu, same to Russia kwa Ukraine mbona Putin anapigana bila nuclear si angemaliza vita siku moja. Kama unataka kubadili utawala au kuchukua mafuta, kufungua Hormuz ukipiga nuclear hauwezi pata chochote hapo maana madhara yake yataathiri hadi US wenyewe na allies wake middle east ikiwemo Israel.

Iran pia inayo dirty bomb (unatumia enriched uranium kwenye hypersonic missile/ICBM) ila haikutumia maana hiyo huwa ni last option kabisa kwenye crisis yoyote maana ukitumia nuclear basi hakuna kurudi nyuma wewe uliyetupa na aliyetupiwa wote mnapotea kwenye ramani ya dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…