Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Nimegundua kweli wewe ni mtu wa fasihi, huna ufahamu wa mambo ya kiusalama na geopolitics.
Kwa mfumo wa uongozi wa Irani jinsi ulivyo hii vita itategemea na aina yaAyatollah watakayempata. Vita bado ni mbichi.
Trump na Netanyahu wametoa tamko kwa raia wa Iran wajitokeze wapambane na serikali yao lakini ni kama Iran wameziba masikio.
Njia pekee ya kuuangusha utawala wa Iran ni kuingiza wanajeshi ardhini. Mbali na hapo hakuna matokeo yoyote watakayoyapata labda kumuua Khomein.
Kwa usiku wa jana Israel na Marekani hawakufanya shambulizi hata moja. Kuanzia saa 2 usiku hadi saa 8 Iran imefanya mashambulizi makubwa sana non stop bila ya kuwa na uongozi. Hofu yangu inakuja ni aina gani ya kiongozi watakayempata: Wakimpata laini ambaye viatu havimtoshi utakuwa ni ushindi wa Marekani na Israel. Ikiwa wakimpata mgumu hakutokuwa na mabadiliko yoyote-Again, njia sahihi ni kuingiza wanajeshi ardhini.
Kama ilitarajiwa kwa miezi sita, unataka kiongozi awe amejificha kipindi chote bicho?Hii vita haikuwa ya kushutukiza ilitarajiwa.
Mapenzi upofu.Hio mbinu ya kuua makamanda wa kijeshi kwa Iran imeshaonyesha haifanyi kazi..
Mwanzoni Israel alifanya sana covert ops za kuua wanasayansi kwa kudhani kwamba kuua wanasayans wale vichwa wa sayansi ya atomic wangefanikiwa kabisa kusimamisha projects zao kitu ambacho waliona ni kupaka rangi upepo.
Ndipo wakaanza mashambulizi ya moja kwa moja na hadi US kushambulia vinu vya nuclear, na hapo hawajafanikiwa, sasa wamerudi tena...
Na hili hawatofanikiwa maana dalili zote zinaonyesha Israel hii vita anakwenda kuomba ceasefire. Maana wamejaribu kuwatafuta top commanders wawaue lakini hawajafanikiwa sana.
Vita iliyopita waliua top commanders karibu 30, hivi sasa top commanders wamekuwa makini sana. Wapo mahala wanatoa maelekezo, na nafasi zote zipo replaced kazi inaendelea. Na waliuawa kwa kusthukizwa kwa mbinu chafu ya Trump kusema wanafanya mazungumzo kumbe wanaandaa kuivamia Iran.
Iran hairushi mabomu hovyo, ni vile medias zinawadanganya, Iran inapiga kwenye mshono.. ndio kwanza masaa 48 hayajapita lakini Tel Aviv imechakaa...
Hio mbinu ya kuua makamanda wa kijeshi kwa Iran imeshaonyesha haifanyi kazi..
Mwanzoni Israel alifanya sana covert ops za kuua wanasayansi kwa kudhani kwamba kuua wanasayans wale vichwa wa sayansi ya atomic wangefanikiwa kabisa kusimamisha projects zao kitu ambacho waliona ni kupaka rangi upepo.
Ndipo wakaanza mashambulizi ya moja kwa moja na hadi US kushambulia vinu vya nuclear, na hapo hawajafanikiwa, sasa wamerudi tena...
Na hili hawatofanikiwa maana dalili zote zinaonyesha Israel hii vita anakwenda kuomba ceasefire. Maana wamejaribu kuwatafuta top commanders wawaue lakini hawajafanikiwa sana.
Vita iliyopita waliua top commanders karibu 30, hivi sasa top commanders wamekuwa makini sana. Wapo mahala wanatoa maelekezo, na nafasi zote zipo replaced kazi inaendelea. Na waliuawa kwa kusthukizwa kwa mbinu chafu ya Trump kusema wanafanya mazungumzo kumbe wanaandaa kuivamia Iran.
Iran hairushi mabomu hovyo, ni vile medias zinawadanganya, Iran inapiga kwenye mshono.. ndio kwanza masaa 48 hayajapita lakini Tel Aviv imechakaa...
Fuatilia..Mbona sijasikia popote kuwa Russia na China wanam-backup Iran?
Russia anawezaje kutoa msaada hali ya kuwa naye anauhitaji wa msaada?
Huyu mchina nadhani ni mtu ambaye hataki kuwa involved na vita yeyote, hata kwa Urusi sidhani kama Mchina alimsapoti Russia.
Huo msaada wao mimi nitaupima kwenye matokeoFuatilia..
Russia wanatoa plans na mikakati kukabili US na Israel.
China walisha kubaliana na Iran kumpatia anti ship missiles, CM-302 ambazo ni supersonic zinapita chini ya maji.. kuna vifaa kama satellite tayari Iran inatumia hadi sasa..
Hata saa 48 hazijapita tujipe muda, lakini inasemekana msaada wa kimikakati na vifaa katika hivi, Russia na China wanatoa msaada mkubwa.
Wabongo kwa maujinga tu, hatujamboHuo msaada wao mimi nitaupima kwenye matokeo
Ceasefire ni kutupa taulo kama ingalikuwa ni boxing.Mkuu Ceasefire ni Mbinu za kivita kama mtu kukimbia.
Kukimbia sio kushindwa vita. Unakimbia ujipange upya.
Kushinda vita ni kumuangamiza kabisa adui. Kuteka na kutawala eneo la adui. Kutamalaki. Huko ndio kushinda Vita.
Wazungu wao upeo wao ni mkubwa Sana. Sijui kwa nini jamii zingine hazifikiri kama wap.
Ile Vita ya Siku 12 kuna watu Kwa upeo wao wanasema Iran alishinda.π€π€ Sijui wamesoma wapi mambo ya kijeshi na kivita.
Ukishinda vita kuna mambo yataashiria umeshinda mojawapo kumpangia uliyemshinda masharti ikiwezekana anakulipa. Au kuchukua eneo lake ili ujilipe mwenyewe.
Kumuwekea viongozi wako wawe badala yako. Huko ni kushinda vita.
Uganda ilipovamia Tanzania.
Tanzania iishinda vita kwa sababu iliweza kuingia mpaka nchi ya Uganda na kubadili Regime. Huo unaitwa ushindi.
Kumfukuza adui akaondoka huko sio kushinda vita Bali ulijitetea tuu. Kwani Siku nyingine anaweza kurudi.
Ndio maana unaambiwa Israel kwa kusaidiwa na Marekani haijawahi kushindwa vita mbele ya Waarabu. Kwa kufuata Mambo ya kivita na kimedani.
Lakini wenye upeo Mdogo au wanaojifariji watasema Iran au Palestine iliwahi kushinda Vita mbele ya Israel.
Jamaa mbishi anakuja kama Mvietnam .Mapenzi upofu.
Fuatilia..
Russia wanatoa plans na mikakati kukabili US na Israel.
China walisha kubaliana na Iran kumpatia anti ship missiles, CM-302 ambazo ni supersonic zinapita chini ya maji.. kuna vifaa kama satellite tayari Iran inatumia hadi sasa..
Hata saa 48 hazijapita tujipe muda, lakini inasemekana msaada wa kimikakati na vifaa katika hivi, Russia na China wanatoa msaada mkubwa.
Wengi uwezo wao wa kufikiri mdogo humu watakuelewa basi, Fox wanareport damage Tel Aviv ni kubwa kupita wakati wowote, sasa hivi huoni iron dome wala patritot, Iran kaanza na Radar na Base za waarabu Kwanza kuvunja mfumo wote, Even Meli vita za Marekani zishaondoka huo Ukanda nyengine zimeenda India na nyengine zimekimbia nyuma ya IsraelKwenye vita ili uweze kumpunguza mwenzako nguvu unashambulia military infrastructure ambayo mengine huwekwa kwenye majengo au makazi ya kiraia.
Kombora au missile ya aina yoyote ina gharama sana kwenye utengenezaji wake. Kwa hiyo, usidhani kuwa watu wanapopiga mahala fulani basi wameamua wapige. Fikiri kwa mapana ndugu yangu, vita si kitu cha mchezo kama unavyodhani.
Mkuu yaani wewe unafikiria vita kama mchezo wa Boxing au Simba na Yanga.Ceasefire ni kutupa taulo kama ingalikuwa ni boxing.
Israel na US kwa vita ya siku 12 walikuwa wanaishiwa interceptors, hivyo ingalifika muda Iran hata ingerusha missiles dhaifu zaidi zingeingia Israel pasipo pingamizi.
Iran ilikubali ceasefire sababu walishtukizwa, na ukweli walipata hasara, lakini hii vita ya sasa walikuwa wameshajipanga.
Hivyo 12 days war Iran ilikuwa tayari kuendelea na vita.
Vita ya 12 days war lengo la vita ilikuwa ni regime change na kutokomeza project za urutubishaji wa nuclear, je walifanikiwa lolote katika hilo?
Mbona wanarudi tena kudai yale yale , regime change, kutokomeza projects za Iran kufanya urutubishaji wa urani na wameongeza kipengele kingine kuzuia mpango/uwezo wa Iran kumiliki makombora ya ballistic na hypersonic.
Hapo utasema walishinda vita?
Na hivi sasa dalili zote zinaonekana Israel anakwenda kuomba ceasefire na hakuna lengo hata moja kafanikisha.. na Iran hii vita ya sasa wanakwenda kushambulia kwa nguvu kuliko vita ya aina yeyote ile.
Sidhani kama location ya Ayatollah ilikuwa big deal..Mkuu hao Warusi na Wachina ni matapeli.
Kwanza usiwataje maana wanatia hasira watu wanafiki.
Iran yeye kajitahidi kwa sehemu yake. Lakini bila washirika Iran ni kama wale Waandamanaji wa Mo29 mbele ya serikali.
Iran hana uchumi.
Hana Teknolojia
Hana ushawishi
Hana silaha kubwa kama USA.
Niambie anashindaje?
Ukishakuwa na Pesa unaweza kununua taarifa yoyote, popote muda wowote.
Unafikiri Kama Ayatollah ameuawa unafikiri location yake iifikaje kwa hao mazayuni?
Kama taarifa ya kiongozi mkubwa kama Ayatollah inavuja no taarifa gani nyingine ipo Salama?
Wewe ukiona Marekani anabweka Sana ujue ameshajua G Spot ya Adui yake.
Kama anatumia hio strategy, this time inakwenda kuwa cost.Mkuu yaani wewe unafikiria vita kama mchezo wa Boxing au Simba na Yanga.
Vita ni kuuana. Kumwagana Damu. Kuangamizana.
Marekani akiona amekupiga ukarudisha kinyume na matarajio yake. Anarusha taulo sio kwa sababu umemshinda Bali ni mbinu ya kupunguza gharama na anataka ashinde na aendelee kubaki superpower.
Kumbuka Superpower wote Duniani Dola zao zilianguka kwa sababu ya vita.
Sasa Marekani yeye sio mjinga. Hataki kuanguka kwa style hiyo.
Ndio maana anakuanza yeye alafu akiona unajimudu kidogo anasitisha vita. Ambapo were(Iran) angetakiwa asisitishe.
Mbinu ya pili anatumia washirika ili kushare cost ya vita. Hiyo ni Akili.
Sio Mjinga ataka sifa za kijinga kukupiga alafu mwisho wa vita anajikuta ameporomoka na superpower mwingine anachukua hatamu.
Sijui kama unaelewa
Ndio Mpango wake huo.
Lakini usifikiri USA anampango mmoja tuu. Yaani akili Yake inamuwaza tuu Iran. Anamipango mingine katika maeneo mengine.
Hivyo anapiga kidogokidogo
Nimeshakuambia Ceasefire ni mbinu ya kivita kwa Wamarekani. Wapi huelewi?
Iran kama anaakili, si anaishambulia Israel, si ameishinda, awaambie hamas na Hezbollah tayari tumeitiisha Israel ingieni mvamie mchukue Maeneo yenu.
Au awake utawala anaoutaka Iran.
Sasa subiri Iran apigwe kikamilifu utaona washindi wanafanyaje mambo yao.
Sidhani kama location ya Ayatollah ilikuwa big deal..
Maana hata yeye Ayatollah alishazungumza kuhusu kuuawa.
Na aliishi maisha ya kawaida kabisa na familia yake. Na ameuawa akiwa na famili yake. Hakuwa kwenye handaki kama Netanyahu.
Inategemea na jamii na jamii, kuna jamii Kufa kwenye vita ni status.ππ
Ushabiki kitu kibaya.
Kwamba kiongozi mkuu na safu ya viongozi watakwe kulengwa na adui?
ππ
Huoni kuwa ni aibu kiongozi kuuawa kama ngedere yaani kwenye pigo la Kwanza tuu.
Hata Gaddafi alikuwa mwamba maana angalau yeye amekaa kwa muda mrefu. Au Bashad Alsady
Hii ni ideology ya west, viongozi wengi Iran wanapanda daladala ama hujui hili?Mkuu location ya Ayatollah sio big deal?π€π€.
Hapo humzungumzii Ayatollah personal unazungumzia Ayatollah kama taasisi.
Sijui kama unaelewa.
Viongozi wa serikali na kijeshi wanafamilia ndio.
Hivi unajua kiongozi wa nchi analindwa kuliko vinu vya Nyuklia?
Kama anatumia hio strategy, this time inakwenda kuwa cost.
Israel ndiye anakwenda kulipa gharama ya hii vita.