Ila ndugu zetu wanateketea kila uchwao na hawana hatia yoyote masikini!!! Allah awarehemuNchi inayotamba lna jeshi, teknolojia, silaha bora suniani na inasaidiwa na wamerekani na nato nzima, na bado inashindwa na vikundi vya mgambo tu.
Hapo ndiyo utaelewa kuwa Mwenyezi Mungu Mkubwa.
Alahu Akbar.
We jamaa una mwandiko mbaya sana.Katika suala ambalo halitakuja kutokea ni israhell kuishinda hamas paka mwanasiasa na awe makini mgambo wake wasije kimbia uwanja wa vita tuuu israhell ukihadithiwa na biibisii au baadhi ya wachafuzi hapa jf unaweza ukakufa
Neta Mungu anamuona
Wenzako wameficha makomwe yao mashimoni kukwepa drones,wewe unaangalia majirani kama chai yao imeungwa mdalasini!Umekuwa kibweka ndugu.Utabiri:
"Hawatatokea kwenye huu Uzi Yoav Gallant, MK254, Mzee Kigogo, Moisemusajiografii wala wale wasayuni nguli wa Chole."
Wenzako wameficha makomwe yao mashimoni kukwepa drones,wewe unaangalia majirani kama chai yao imeungwa mdalasini!Umekuwa kibweka ndugu.
Kwa hesabu yako bloody terrorists walikuwa watatu tu?Bado msako wa panyaroads unaendelea.Kuwa mwenye utulivu,usipapatuke.Huku ndiko kunaitwa Kenya huko kujikakamua.
Wenzako wangali wanapima upepo:
View attachment 3144755
Kwani imekuwa je tena si Nasrallah, Sinwar, na Hanniyeh ni marehemu, au?
Shekhe amka ukakojoe usije achia kubwa apo kitandaniKatika suala ambalo halitakuja kutokea ni israhell kuishinda hamas paka mwanasiasa na awe makini mgambo wake wasije kimbia uwanja wa vita tuuu israhell ukihadithiwa na biibisii au baadhi ya wachafuzi hapa jf unaweza ukakufa
Hao huwa hawakosi maneno mdomoni na kuwaza maluweluwe muda wote.Walianza kujidanganya kwamba Israeli hawawezi kuingia Gaza.Wakaja tena,Hezbollah ni kiboko.Israeli akianzisha mapigano nao tu,ndiyo mwisho wa Myahudi.Mpaka leo sijui watayakataa maneno yao?Blah blahs nyingi kuliko uwezo na uhalisia.Shekhe amka ukakojoe usije achia kubwa apo kitandani
Kushinda au kushindwa inategemea perpectives ya mtu. Kama wapiganaji wanakufa, makamanda wanakufa, viongozi wanakufa, wananchi wanakufa na makazi mnapewa amri ya kuyahama mnatii, huduma za maji, afya na nishati mnazuiwa kuzipata, na bado mnajiita mmeshinda, huo ni moyo mkubwa wa kupongezwaKatika suala ambalo halitakuja kutokea ni israhell kuishinda hamas paka mwanasiasa na awe makini mgambo wake wasije kimbia uwanja wa vita tuuu israhell ukihadithiwa na biibisii au baadhi ya wachafuzi hapa jf unaweza ukakufa
KAma hujui vitu obvious kama hivi ,hustahili hata kujibiwa acha kusoma udaku, fuatilia intetnational news ujue yanayoendelea dunianiWeka ushahidi wa ulichokiandika, bahati mbaya sana wajinga wenzako wamekupa likes
Una akili hata ya kuvalia viatu dogo au ndio unavaa kulia kushoto na kinyume chakeKumbe hamas ndo wameshinda vita?afu tukiwaambia wafuasi wa allah ni mbumbumbu mnalia lia
Israhell hio mbungi hatoboi huyo alofyekwa na paka aliishaliona hili ila paka anakaza fuvu ila hatoboiKatika Hali isiyo ya kawaida Leo Gaza imepigwa battle ya mtu be face to face askari 19 wa IDF wamedondoka
Kama tech tu ndio ingekua inaamua mshindi wa vita muda huu wangekua wamekomboa magaidi wao wote waliotekwa na wangekua wameikalia Ghaza ila mpaka leo Ghaza tena kule kaskazini wanakufa kama nzige au mungu wao kawasalitiHuu mtazamo wa Mungu mkubwa kidogo uikoseshe Pakistan bomu la nyuklia. Wenzao Wahindi walikuwa busy na sayansi na teknolojia, Wapakistani wanafanya research ya majini na sijui nani kupaa mbinguni. Kuja kushtuka wakagundua swala tano na nyuklia ni mbingu na ardhi, wakawezesha wanasayansi halisi.
Israel iko hapo kila mwaka inashinda nyie mnazidi kumtaja Mungu. Israel hapigwi kwa imani, ni silaha, mbinu, tech, washirika na mikakati.
Hakuna usawa mwamba kaamua kumchana mshuwa kama mateka waachiwe huru tuondoke Ghaza pale hatupawezi paka kamind mwamba kaamua kuwa mkweli mulitaka adanganye hamas kamatieni hapo hapoSiasa za Israel ni za ajabu sana nchi ilitakiwa kuwa pamoja wakati huu wa vita ilacha ajabu Kuna wapinzani kama wote kuanzia wanasiasa ngazi zajuu mpaka wananchi wa kawaida hii sio sawa ni hatar sana kwa Usalama wa nchi.
Kabisa israhell na baadhi ya wachafuzi wake hapa ndani waliamini itakua kama six day waaa yao yakutunga kumbe watu walijiaandaa israhell anajikuta kwenye wakati magumu na kikubwa kinacho fanya majamaa wasishinde hii vita ni hawana akili wenzao hamas wanapigana na wanajeshi wao wanapigana na mama wadada watoto hospital wazee nk ndio maana hawashindi vita na hii vita israhell kushinda asahau kuua wasohusika na kuvunja majengo ndio ushindi pekee mgambo wao washachoka wanalazimishwa tu kwenda kupiganaIsraeli walidhan watapigana miezi 2 washinde vita ikiwa ndefu na huna jeshi humilivu lazima uchoke ndo kinachowatesa ..kila mmoja akienda ghaza hatamani kurudi tena huko japo naona Netanyahu anawasukumia huko tu waenda
Mda wote tu una waza ugaidi shekhe ndo mnavyo fundishwa hvo kwenye mafundisho yenu ya alah?Kama tech tu ndio ingekua inaamua mshindi wa vita muda huu wangekua wamekomboa magaidi wao wote waliotekwa na wangekua wameikalia Ghaza ila mpaka leo Ghaza tena kule kaskazini wanakufa kama nzige au mungu wao kawasaliti
Na hapa ndio wazayuni wanapochoka mwaka sasa nachenji wahuni wamekaza walisema kivuko cha rafah kinapitisha silaha wamekizuia ila silaha wanazo hii vita israhell hashindi⚡️ Israel Hayom: For the first time in several months, Israeli soldiers are facing Palestinian resistance fighters in face-to-face combat at close range in Jabalia, which led to the killing of 19 soldiers, a relatively high number that indicates the difficulty of the fighting.
Hehee acha ujinga dogo mbona sio chatoAkijisemea chambuzi la medani za habari za kimataifa kutoka kizimkazi Bwana Utam
Bahati nzuri mjinga mwenzangu ume replyBahati mbaya sana wajinga wenzako wamekupa likes