Hao hamasi wanatumia watu kama ngao na wanajificha kwenye majengo ya kijamii. Niambie Hilo Bomu utakalotuma lichague hamasi halafu Liache raia.Sijui kama una familia au unaangalia habari kweli unaamini hamna vifo vya watoto Gaza ni propoganda daah! Huo ulioleta ndiyo ushahidi wako .
nawashangaa sana hawa watu wanaoshabikia udhalimu wa israelKuna kipindi kimoja kinarushwa na Al jazeera kinaitwa Witness. Nimekiona jana nimeumia sana. Watoto wanateseka sana kwenye hiyo vita. Mungu asaidie haya yaishe.
Hamas hawaponi pia. Wewe ndo umesomea ujinga. Wewe utamtambuaje Hamas? Mungu wao amewapa Amri kusafisha Gaza. Wewe Kaa kimya subiri wateule watekeleze Maagizo ya Mungu.Na wewe uwe unatumia. akili zako unameza kila propaganda kwa hiyo Hamas uwa wanajificha kwa watoto na wanawake mabomu yakirushwa yanachagua watoto na wanawake wao wanapona? Hivi huko shuke mlikuwa mnaenda kusoma ujinga?
hee nani anajutia saizi kuingia vitani Hamas or Israel? sijaelewa aponenda ukamwage sumu wewe unasubiri nini maana wenzio huko wanajuta kuingia vitani
Sasa Hamas sio Jeshi na hawana kambi Wala vituo kusema Israel aende kushambulia kambi zao.Tuloshasema Hatutaki Raia Gaza. Tuna Operesheni maalum ya Kuua Magaidi ya Hamas. Awe mwanamke, Mzee, mtoto madam hakuondoka Gaza huyo ni Gaidi atauawa.
mimi wenyewe nimeshangaaa 😂Ulikua na ulazima wa kuiandika Rombo kwenye comment yako? Acha chuki za kipunbavu dhidi ya wachaga shwaini mkubwa.
Kwani waliambiwa waondokeHii vita ina propaganda kubwa.
Kuna watoto na akina mama wanakufa zaidi ya mara 6.
Hivi hizi kauli zake huwa zinasaidia nini sasa kama huwa akiongea hakuna hata anaestuka watu wanaendelea kuvurumisha mabomu tu kama kawaida?Wewe una utoto bado na ushabiki mandazi…
UN Secretary-General Antonio Guterres warns that Israel’s relentless bombardment of the Gaza Strip is turning the enclave into a graveyard of children, adding that no party in a war is above international humanitarian law.
Wewe ushaanza kumbagua hata mtanzania mwenzako wa romboWewe punguania kabisa ushabiki mandazi unajiona Muisrael mweusi wa Rombo.
Msikilize Muisrael halisi nyie bakieni na ushabiki mandazi watoto wanauliwa eti mnashangilia.
JEWISH SON OF A HOLOCAUST SURVIVORS SPEAKS OUT AGAINST THE GENOCIDE IN GAZA
“I’m Jewish, I’m Israeli, my parents were the only survivors of their families from the Holocaust.
I’m not going to support a genocide , am I ?”
Hakika hakiwezi kuwepo na hawatumii kabisa neno ugaidi kwa HAMAS wamekuwa biased hadi wanakera.Ukitaka kuangalia propaganda za Hamas wewe tune to Aljazeera,huwa naangalia hadi nacheka.Al Jazeera ni channel inayopigania maslahi ya waislam wala usipate nao shida. Nasubiria kipindi kinachoangazia uhalifu wa Hamas kama kitakuwepo.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Kama hao wanawake wamekubali kuwaficha hao Hamas kwa hiari yao wenyewe na kuwatanguliza watoto wao ulitaka Israel iwafanyeje? Mbona kwa idadi ya waliokufa wanatajwa wanawake na watoto tu,ile number inayobaki ni kina nani?Magaidi Ni waisrael wanao ua wanawake, vikongwe na watoto. Niambie justification ya kuua watoto, kuwazimia umeme, kuwanyima dawa , chakula na maji.
Hakuna ukatili zaidi ya huo.
Mkuu hebu tuambie kwa hiyo hao 10k+ waliokufa wote ni kina mama na watoto tu?Na wewe uwe unatumia. akili zako unameza kila propaganda kwa hiyo Hamas uwa wanajificha kwa watoto na wanawake mabomu yakirushwa yanachagua watoto na wanawake wao wanapona? Hivi huko shuke mlikuwa mnaenda kusoma ujinga?
Lakini huwashangai wanaoshabikia udhalimu wa Hamas wa October 7?nawashangaa sana hawa watu wanaoshabikia udhalimu wa israel
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. (Quran)nenda ukamwage sumu wewe unasubiri nini maana wenzio huko wanajuta kuingia vitani
If evil only wore uniform, we could expire it for good. But at last evil is deceptive & deceitfulWewe una utoto bado na ushabiki mandazi…
UN Secretary-General Antonio Guterres warns that Israel’s relentless bombardment of the Gaza Strip is turning the enclave into a graveyard of children, adding that no party in a war is above international humanitarian law.
Kiongozi wa magaidi ni mwenyekiti wenu wa maisha Mbowe na mahakama ilisha lidhibitisha hilo.Magaidi ya yashughulikiwe bila huruma
Na mbele ya myahudi?Nenda kaolewe huko arabuni maana unawapenda sana!
Kwanza mtu mweusi anaonekana kijakazi tu mbele ya mwarabu
Eh kwahiyo wanao takiwa kufa ni wanaume au kila mwanaume aliko gaza basi ni mpiganaji wa Hamas?Mkuu hebu tuambie kwa hiyo hao 10k+ waliokufa wote ni kina mama na watoto tu?
Vyombo vya habari vingi havitumii neno ugaidi ,hata hivyo vyombo vya habari vya kimagharibi havitumii neno ugaidi kwa sababu sio kazi yao kutafsiri nani ana sitahili kuitwa gaidi.Hakika hakiwezi kuwepo na hawatumii kabisa neno ugaidi kwa HAMAS wamekuwa biased hadi wanakera.Ukitaka kuangalia propaganda za Hamas wewe tune to Aljazeera,huwa naangalia hadi nacheka.