let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Na huu ndiyo uislamu halisi. Gori lenu ni kuua waio waamini wote.Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. (Quran)
Mwenyezi Mungu hawakatazi kuwafanyia hisani na uadilifu wale ambao hawakupigana nanyi kwa ajili ya dini, wala hawakuwafukuza katika nchi zenu. Hakika Mwenyezi Mungu anawapenda wafanyao uadilifu. Isipokuwa Mwenyezi Mungu anawakataza kuwafanya marafiki wale wanaopigana nanyi katika dini, na wakawafukuza katika nchi zenu na wakasaidia katika kufukuzwa kwenu, na wawafanyao marafiki, basi hao ndio madhalimu" (60: 8 - 9)Na huu ndiyo uislamu halisi. Gori lenu ni kuua waio waamini wote.
Nimaeneo tofauti tofauti na yanatofutiana umbali zaidi ya kilometers 20 kila eneo!!
Kuna sinema nyingi kwenye hii vita.
Kuna deception kubwa mno na watu wengi have fallen pley.
Huyu jamaa hapa leo ni mwandishi wa habari ila juzi tu alikuwa anapumulia mashine na kuna wakati ni mujeda.
Umewahi kulilia Mamilioni wa Waafrika walio uawa wakati wa utumwa, Mwarabu akiwatia minyororo, watoto wanaozaliwa wakitupwa porini, watu wazima wakitupwa porini, wengine baharini pale wanapo onekana kutomaliza safari?
Umewahi kulilia Mamilioni wa Waafrika walio uawa wakati wa utumwa, Mwarabu akiwatia minyororo, watoto wanaozaliwa wakitupwa porini, watu wazima wakitupwa porini, wengine baharini pale wanapo onekana kutomaliza safari?
Ethiopian Jews ni weusi tiiNa mbele ya myahudi?
Waarabu ndio walioleta hii kadhia ya ugaidi. Kuua wasiomuamini allah.Acha stori za kusadikika, hivi ulikuwepo wakati babu zako wamefungwa minyororo? Ulishuhudia? Tena acha kutuletea hizo stori zenu mnazokaririshwa sijui makanisani au mashuleni!! Hii ni vita tunajionea live, na sio za kuhadithiwa.
Mnawachukia sana waarabu, badilikeni
Hata waarabu wapo kibao ambao ni weusi.Ethiopian Jews ni weusi tii
Mbowe hajawahi kushika hata panga halafu majinga ya ccm yanataka kumfananisha na magaidi ya HamasKiongozi wa magaidi ni mwenyekiti wenu wa maisha Mbowe na mahakama ilisha lidhibitisha hilo.
Wanaitwa watwana aka vijakazi huko arabuniHata waarabu wapo kibao ambao ni weusi.
Tulia wewe! Ugaidi lazima ukomeshwe.Kafiri ktk moyo imejaa chuki dhidi ya muislam
Hv mnapenda kusema WaTanzania eti wanaroho nzuri huu mtazamo daima umenishangaza, hv jamii inayopenda ushirikina inawezaje kuwa na roho nzuri?Kumbe wewe Mkenya wala sishangai nyie mna roho mbaya mnoo nilikuwa najuuliza kuna Mtanzania wa hivi kumbe sijui Jaruo au mkikuyu. Endelea kushangilia vifo vya Gaza.
Kama ambavyo mbowe aliitwa gaidi kwa sababu ya kupinga masilahi ya ccm, basi tambua ndivyo Hamas inavyo itwa magaidi kwa sababu ya kupinga masilahi ya Marekani na Israel.Mbowe hajawahi kushika hata panga halafu majinga ya ccm yanataka kumfananisha na magaidi ya Hamas
Waarabu ndio walioleta hii kadhia ya ugaidi. Kuua wasiomuamini allah.
View: https://youtu.be/rNcOuvqjVO0?si=7KmjMRhKP3klpIZM
Ni kweli watz tunacho kiweza ni unafiki tu lakini ni watu tulio jaa chuki za kijinga.Hv mnapenda kusema WaTanzania eti wanaroho nzuri huu mtazamo daima umenishangaza, hv jamii inayopenda ushirikina inawezaje kuwa na roho nzuri?
Unafiki, uwongo, chuki ya mafanikio ya mtu mwingine, ni heri mtu ambaye ni muwazi na Hana mambo ya chinichini kuliko mtu mwenye mambo ya chinichini na anajifanya mwema...
Ili tutoke hapa tulipo ni muhimu kuanzia Kukubali kuwa "WATANZANIA SIO WATU WEMA KAMA TUNAVYOJILISHA UPEPO KILA SIKU..."
Mkenya atakiwa Bora Kwa sababu kama ni adui anajionesha kama ni mwema anajipambanua, ni juu Yako Sasa...
Ila huku kwingine mtu anakuchekea na kukuonesha anakupenda kumbe Yeye ndio chanzo Cha mabaya na magumu yote unayopitia...
Nenda Oman na Saudia uone waarabu weusi wanavyo ishi maisha bora tena ndani ya Oman wako mpaka serikalini na ni viongozi wakubwa.Wanaitwa watwana aka vijakazi huko arabuni
"msiviamini vyombo vya habari vinavyomilikiwa na waarabu...."Kuna kipindi kimoja kinarushwa na Al jazeera kinaitwa Witness. Nimekiona jana nimeumia sana.
Eti wanakufa zaidi ya mara 6🙌 duhHii vita ina propaganda kubwa.
Kuna watoto na akina mama wanakufa zaidi ya mara 6.