LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Sawa. Punguza ujinga thoughHow can a world war be ended in one day? We uko sawa akilini kwako. Mlituambia siku za nyuma Israel kavunja viwanda vya kutengeneza Missiles itachukua miaka labda 20 au sio nyie.
Leo mnatuletea story Ayatollah alikuwa target. Chief of staff sijui nani sijui nani bila dalili mnakuja imba ukanisa hapa hahaha. Iran dogo ni level Ingine ndio sababu US anajidai hayupo kwenye vita wakati yupo ndani ya vita, anajua kinacho kuja sio kizuri hapo Middle East Israel hawezi kushinda hi vita kisha jichimbia kaburi we nenda kaimbe nyimbo kanisani ujifurahishe tu subiria uone anavyo malizwa Israel
Anapokea kipondo heavy muda huu,second round hii. Naona Israel kanogewa sasa,Iran imekuwa pombe ya ngomani kila mtu anajichotea tuu.We ulishasikia Israel imeipiga vibaya Iran?
Hahahaha umekuja na porojo kama kawaida yakoBaada ya saa wa Israel wasubiri mvua.
Inasemekana wako wa Iran ambao ni wafanyakazi wa Mossad wamehusika kuwauwa hao viongozi wa Iran. Si ndege kama wanavyo dai
Magaidi tulieni mle dozi ili muanze zile kelele zenu za Israel anaua watoto na wanawake π mana nyie magaidi mkishambulia Israel mnaua Panya tuu πWe ulishasikia Israel imeipiga vibaya Iran?
Kikobazi cha kike hicho kimepata kiwewe kinaongea mambo ambayo haya make sense!Waislamu bhana π
Yn Israel ndo wanatoa kipigo afu unakuja ety kuwaonea huruma ety wananchi wao wana wakati mgumu π
Nyie subir muanze kilio cha Israel wanaua watoto na wanawake, mana ndo kilio chenu, mana Israel akishambuliwa hawajawahi kusema mnaua watoto na wanawake wao π
πBaada ya saa wa Israel wasubiri mvua.
Inasemekana wako wa Iran ambao ni wafanyakazi wa Mossad wamehusika kuwauwa hao viongozi wa Iran. Si ndege kama wanavyo dai
Anamuonea huruma bingwa na kufurahia aliyeshindwa πKikobazi cha kike hicho kimepata kiwewe kinaongea mambo ambayo haya make sense!
Israel kwenye haya mashambulizi inalenga wanasayansi wa nuclear wa Iran , viongozi wakubwa kijeshi, air defenses, missiles sites na wanafanya covert sabotage operations...Baada ya saa wa Israel wasubiri mvua.
Inasemekana wako wa Iran ambao ni wafanyakazi wa Mossad wamehusika kuwauwa hao viongozi wa Iran. Si ndege kama wanavyo dai
Mimi ni mlokole nasali kanisa la ufufuo na uzima, kanisa letu limefungwa siku hizi naomba nyumbani, kwa kweli nakemea katika jina la Yesu kwa hiki kinachoendela..Magaidi tulieni mle dozi ili muanze zile kelele zenu za Israel anaua watoto na wanawake π mana nyie magaidi mkishambulia Israel mnaua Panya tuu π
We tulizana dogo kipigo kinaelekea Tela Aviv bada ya saa tena Iran watapiga pia majumba safari hi pia sababu Israel kapiga majumba kule Iran.Hahahaha umekuja na porojo kama kawaida yako
Na nyie magaidi tafuteni sponsa mana Magaidi wenzenu hawawezi kuwasaidia πIli kudhibiti mtandao wa magaidi Mashariki ya Kati ni muhimu kumpiga pini sponsa wao.
Dunia bila ugaidi inawezekana
Tulia kwanza, Israel wapunguze idadi ya magaidi ili wapelekwe peponi kula Bikra kabla hazijaisha πMimi ni mlokole nasali kanisa la ufufuo na uzima, kanisa letu limefungwa siku hizi naomba nyumbani, kwa kweli nakemea katika jina la Yesu kwa hiki kinachoendela..
Mi naona wewe umekaa kishabiki zaidi! Kwani Marekani alitoka umbali gani kwenda kuoigana Iraq? Vietnam? Au kwenda Libya? Issue inakuja unaenda kuanzisha vita kwa resorn gani? Netanyahu ndiye mvuriga amani wa Middle East! Kundi la Netanyahu limeanza kutajwa tangia 1948 katika kundi la kigaidi la Lehi lililomuua mwakilishi wa UN ambaye alitumwa kusuruhisha mgogoro wa Israel na Palestina, na huko ndipo wakaanzisha kabisa chama cha Siasa cha Likud mpaka leo ndicho kinaongoza serikali cha Netanyahu.π π π Alianza kuwaponza watu wa Gaza, akaenda, Syria, Iraq na Yemen, sasa watu wamemgeukia..
Mtu anatoka KM 3000 anapiga mikoa Kibao unakaa ndani
OYA ww gaidi,We tulizana dogo kipigo kinaelekea Tela Aviv bada ya saa tena Iran watapiga pia majumba safari hi pia sababu Israel kapiga majumba kule Iran.
Dah!We tulizana dogo kipigo kinaelekea Tela Aviv bada ya saa tena Iran watapiga pia majumba safari hi pia sababu Israel kapiga majumba kule Iran.
Iran haiwezi kuifanya kitu Israel labda ni tamaa tu za kufikirika.Vita imeanza rasmi.
Mpaka sasa Netanyahu atakuwa ameshakimbilia kujificha Gaza..
Iran lazima itajibu, na ikijibu Israel haitopenda kitakachotokea.. mchokozi hapa ni Israel.. Trump ameiponza Israel.
Israel itachapika mtakimbia hii jf.Tulia kwanza, Israel wapunguze idadi ya magaidi ili wapelekwe peponi kula Bikra kabla hazijaisha π
Namuunga mkono Netanyahu, Hakuna mazungumzo ya amani, ni mwendo wa kutoa dozi tuu π₯Mi naona wewe umekaa kishabiki zaidi! Kwani Marekani alitoka umbali gani kwenda kuoigana Iraq? Vietnam? Au kwenda Libya? Issue inakuja unaenda kuanzisha vita kwa resorn gani? Netanyahu ndiye mvuriga amani wa Middle East! Kundi la Netanyahu limeanza kutajwa tangia 1948 katika kundi la kigaidi la Lehi lililomuua mwakilishi wa UN ambaye alitumwa kusuruhisha mgogoro wa Israel na Palestina, na huko ndipo wakaanzisha kabisa chama cha Siasa cha Likud mpaka leo ndicho kinaongoza serikali cha Netanyahu.
Netanyahu alitajwa tena kuhusika kifo cha aliekuwa Waziri Mkuu wa Israel Yitzhak Rabin akiwa madarakani Nov 4, 1995 kisa tu aliongozo mazungumzo ya kumaliza vita ya Palestina kitu ambacho kina Netanyahu hawakutaka.
Huyu Netanyahu ana shida kubwa kichwani mwake.
Lini iliwahi kuchapika tukakimbia JF?Israel itachapika mtakimbia hii jf.