Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Yes ngoja tuone lakini kwa vyovyote hii ni vita itakayoamua nani abaki kwenye ramani dunia kati ya Israel na Iran........
Kwenye hili hakuna kusikitika mkuu, n furaha tele kuona magaidi Wakienda kula Bikra walizoahidiwa na Allah AkbaruInasikitisha..
Na hapo Israel hayupo kwenye mood ya vita πDah!
Salami wamemuua mzee, hivi Israel wanajiamini nini haswa na wamejipanga kiasi gani kupokea majibu licha ya kufahamu fika wanasaidiwa na US?
Wazee wa kujifariji buana π€©π€©Vita imeanza rasmi.
Mpaka sasa Netanyahu atakuwa ameshakimbilia kujificha Gaza..
Iran lazima itajibu, na ikijibu Israel haitopenda kitakachotokea.. mchokozi hapa ni Israel.. Trump ameiponza Israel.
Ukiwa muislamu automatically unakuwa gaidiKwani nini maana gaidi?
HakikaNi kweli.
China hanufaiki Sana kwa Iran ukilinganisha na USA.
Urusi ni mzungu. Vita vyake vingi na USA ni kama Vita vya Kupanga. Na sio vita Serious.
Hata Iran ikiingia vita na Israel bado wanufaika ni walewale Wazungu ambao ni USA na Urusi.
Kivyovyote vita haitamsaidia vyovyote Iran.
Ishatokea sasa, Haya kuleni dozi hizo π₯Hili sikutegemea kutokea
Pole mkuu, Najua ilivyo ngumu kuwatetea Magaidi πMuda utazungumza..
Nyau kisha enda jificha hahahaha
Ni sahihi na HIKI ndicho walichokifanya na hii ni awamu ya kwanza. Naamini awamu ya pili wanaweza kumalizia wote akiwemo na yule Babu kiongozi wao. Ayatollah kafikishiwa salamu KWA msaidizi wake wa karibu kufumuliwa na kujeruhiwa vibaya.Let wait and see but Israel amepiga Iran at very high precision.
Iran ni nchi ya Kiimla ambayo viongozi hukaa madarakani miaka mingi, sasa ukitokea umewaua ghafla unatengeneza ombwe la uongozi na maamuzi..
π€£π€£
Saddam alitia huruma sana aisee.
Yaani na ubabe wake wote ule wajeda wa Marekani wakamchomoa toka kwenye mtaro
Israel ilijuaje wanapolala?Ali Shamakhan naye kaumia vibaya sana huyu ni member of the expediency discernment council of Iran
education:
Mwanzo wa mzozo kivp mkuu, kwan h n mara ya kwanza Israel kutoa dozi? πHUu ni mwanzo wa mzozo, Iran hatanyamaza ujue
Hii nchi ina usengerema mwingi sana kwa viongoziNo reform No Election π π π π
View: https://www.instagram.com/p/DKz7yl9NBhm/?igsh=aTcyZnU1ZjRuNnMw
Kwa hio Iran imekwisha au hahaha kwani ni yeye ndiye anarusha Missiles nyie makenge kweli. Tumewambia tulieni muone majibu ya Iran leo hii hii mbona mnawashwa tulieni ili vikizama vyombo huko msipige kelele
View: https://x.com/Osint613/status/1933350812664684612
Bahati yako hauko mitaa hiyo ππ huyo ndio alikuwa chawa mkuu
Kwamba Israel hajui kuwa Iran nae atashambulia?Tulizana mbona huwa mnapupa sana tulieni tuliwambia US atak8mbia Red Sea mkawa mnamcheka Yemen mwisho US akapiga magoti.
Israel hawezi kuvumilia kipigo kinacho kuja time itaongea hata USA atachapwa tu sababu yupo kwenye game Iran kisha hakikisha hayo
Kama upi?Hii nchi ina usengerema mwingi sana kwa viongozi